Petra Diamonds imefunguliwa kesi katika Mahakama ya Uingereza kutoka na Ukiukaji wa Haki za Binadamu

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
Hii hapa chini ni statement ya Petra diamonds leo asubuhi kwenye soko la hisa London(LSE)

Petra Diamonds Limited
("Petra" or the "Company")

Statement regarding allegations of human rights abuses

at the Williamson Mine in Tanzania

Petra Diamonds Limited states that a UK-based law firm, Leigh Day, has filed claims in the High Court of England and Wales against Petra and Williamson Diamonds Limited ("WDL"), the operator of the Williamson diamond mine in Tanzania that is owned 75% by Petra and 25% by the Government of Tanzania.

The claims are understood to have been filed on behalf of 32 anonymous individuals in relation to alleged breaches of human rights at the Williamson mine. The claims are understood to allege that Petra and WDL are liable for human rights violations, personal injuries and deaths suffered by these anonymous individuals at and surrounding the mine, arising from the mine’s security operations.

To date, the claims filed by Leigh Day have not been served on either Petra or WDL. In its letter before claim, Leigh Day has expressed an interest in alternative dispute resolution methods, including mediation.

Additionally, Petra has very recently received a letter from the UK-based Non-Governmental Organisation RAID regarding similar allegations raised by local residents and others relating to actions by WDL, its security contractor and others linked to WDL. Petra will cooperate with RAID in order to understand fully the nature of its concerns.

Petra takes these allegations extremely seriously. WDL, as the operator of the mine and owner of the mining concession, is carrying out an investigation, as fully and timeously as possible given the limitations imposed by the COVID-19 pandemic, supported by an independent, specialist consultant.

Petra is initiating its own independent investigation, through a separate specialist third party, reporting to the Petra Board. Responses will be provided to the claimants’ lawyers in accordance with the relevant pre-action procedures of the English court, as well as to RAID.

Petra has previously disclosed that there has been ongoing illegal artisanal mining taking place at Williamson over a period of time, due to the challenges in securing the large perimeter of the Special Mining Licence area, which covers 30.6km2 including the main 146 hectare orebody, together with alluvial resources. This illegal mining activity is managed by WDL and the local government authorities on an ongoing basis.

Petra operates in accordance with the Company’s Human Rights Policy and its Code of Ethical Conduct (both of which can be found on the Group’s website at: Petra Diamonds | Business Ethics), and the Company actively encourages the reporting of violations of these policies either through direct reporting at any of its offices or operations, or through the Deloitte Tip-Off Anonymous whistle blowing hotline. Both Petra and WDL are guided by, and seek to comply with, the Voluntary Principles on Security and Human Rights.
 
Dawa ya hayo yoote ni cdm ikisha ingia madarakani mwezi November baada ya kuibwaga kiroho mbaya ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao kidogo wapo Ulaya,issues ya ACCACIA na ndege tuliwaona walivyo tusaliti,mwengine kaenda WB kuzuia mkopo wa TZ kwa sababu za kijinga kabisa.

Yaani hawa wakipewa nchi watauza mpaka mchanga,watu tutakuwa hatujengi.Upinzani bado tatizo lao hawajui lipi la kupinga lipi la kuliacha.

Sometimes kama umeona mpinzani wako kafanya vizuri na unaona huwezi sifia kaa kimya,ila akikosea kosoa.
 
Hao kidogo wapo Ulaya,issues ya ACCACIA na ndege tuliwaona walivyo tusaliti,mwengine kaenda WB kuzuia mkopo wa TZ kwa sababu za kijinga kabisa.

Yaani hawa wakipewa nchi watauza mpaka mchanga,watu tutakuwa hatujengi.Upinzani bado tatizo lao hawajui lipi la kupinga lipi la kuliacha.

Sometimes kama umeona mpinzani wako kafanya vizuri na unaona huwezi sifia kaa kimya,ila akikosea kosoa.
Hao ndiyo tayari washspewa nchi na wananchi wa Tanzania, ccm jiandaeni kuwa washindani na kina TLP, chauma, cuf na tadea na nccr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Williamson.. field zangu nyingi nimefanyia hapo.

Napakumbuka compa kwa 'wahuni' walionipokea...Fighter wa Caspian kabla hawajavurushwa , saluti kwako!
 
Daah hii migodi mpaka serikali kuja kuimiliki kwa asilimia 50 na kuendelea kazi ngumu mno.

Anyway wapambane na hali zao. Mgodi wa Tanzania kesi inafunguliwa ulaya. Kizungu kigumu
Yaani hujui hata historia ya mikataba ya kipuuzi mliyoingia CCM na huyo Williamson kabla hisa hazijaenda kwa Petra..

kazi kushupaza shingo tu kimaandazi andazi!
 
Hao kidogo wapo Ulaya,issues ya ACCACIA na ndege tuliwaona walivyo tusaliti,mwengine kaenda WB kuzuia mkopo wa TZ kwa sababu za kijinga kabisa.

Yaani hawa wakipewa nchi watauza mpaka mchanga,watu tutakuwa hatujengi.Upinzani bado tatizo lao hawajui lipi la kupinga lipi la kuliacha.

Sometimes kama umeona mpinzani wako kafanya vizuri na unaona huwezi sifia kaa kimya,ila akikosea kosoa.
Ni wapi hapajauzwa mpaka sasa? hatua inayofuata ni wewe kutafutiwa mteja.
 
Back
Top Bottom