Ombi: Dewji ungana na Diamond Platnumz muanzishe Wasafi Football Club

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Namshauri Mo Dewji ashirikiane na Diamond Platnumz kuunda timu ya Wasafi Football Club.

WASAFI ni blrnd yenye nguvu sana nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Wasafi media imepata mashabiki lukuki katika kipindi kifupi tangu kuanzishwa kwake ikizipita media kongwe katika mitandao ya kijamii.

Wasafi ni brand yenye nguvu sana kuliko hata simba yenyewe.

Au mnasemaje wakuu?
 
Naunga mkono hoja.
Wasafi wako vizuri sana kwenye ishu za kujibrand.
Kwa hyo MO akijiunga na wasafi kuanzisha club watapata umaarufu mkubwa kwa gharama ndogo tu.
Ila ambacho sina hakika nacho ni kwamba football club inaweza kuwa biashara na kuweza kurudisha pesa za uwekezaji?
 
Kama wanasema pale simba anafanya biashara tu, hata wasafi itawezekana kwa sababu mtaji mkubwa ni mashabiki na wasafi ina mashabiki wa kutosha na Diamond ndo bingwa wa promotion.
 
You're not in position ya kumshauri MO, tafuta hela kwanza ili tujue kama una akili ya kuendesha Miradi mikubwa.
 
Siku hizi Mo kabobea kwenye michambo na maneno ya uswahiliswahili. Kumbe siku zote akimwonea wivu Haji
 
Back
Top Bottom