Kwanini kila siku ni Diamond Platnumz hawa wengine hamuwaoni?

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,411
3,374
Baba lao (Diamond)-kushoto kulia (harmonize)
Mdogo mdogo (Diamond)-mpaka kesho (harmonize)
Wezele (rich mavoko)-on the low (burnaboy) full video
Niwahi (rich mavoko)-je utanipenda (Diamond) kwenye onesho la fashion
Na nusu (Nandy)-tip toe (jason darulo)
Scene ya wacheza kareti.
Alele (mbosso)-jericko (simi)scene ya mwisho kwenye mapazia meupe

Tetema (Diamond)-acha lizame (harmonize ) cheki Diamond na harmonize walivyo vaa
Acha lizame ( Nandy)-paranawe (harmonize) beat

Hizo ni chache kati ya video nyingi ambazo video directors wametumia idea za watu wengine. Ni kweli Diamond hawezi kulipa director wengine kama adam juma, hanscana,joowzey,n.k ambao hawana tuhuma za kukopi?

Jibu ni hapana. Nani yupo tayari ku search video za Brazil ili kujua hanscana kakopi wapi,hakuna. Hapo ndipo utajua kwamba Diamond ni mti wenye matunda.

Kama hanscana kakopi video direct ya hapa bongo mpaka kesho na kushoto kulia na hakuna uzi uliofunguliwa kulalamika kama ambavyo anafanyiwa kijana Diamond.

Je, watatafuta video iliyokopiwa toka Brazil?

Hapo ndipo mtakapo kuja kuambiwa na wataalamu kuwa Kenny ndio director bora zaidi halafu mkabaki mnashangaaa. Video direting ina husu vitu vingi ndani ya video kama colour changes, colour grading, body motion,n.k lakini watu mkiletewa kapicha tu mna conclude kuwa jamaa kilaza.

Unacho paswa kujua ni kwamba kutumia idea ya mtu mwingine sio kosa ila ni lazima ufuate utaratibu kitu ambacho wcb wanafanya. Ndio maana hakuna hata msanii mmoja aliyewahi kusema kaibiwa idea na Diamond au WCB zaidi ya watu ambao most of them ni haters wake na ndio point waliyo bakiwa nayo.

Hata hivyo jamaa wanazidi kusonga mbele licha ya kupigiwa kelele kutoka baila, sikomi, hadi sasa.
 
Kama wanaiga at least wangekua wabunifu kuongeza vionjo basi kwa kuuonesha uma taaluma yao kwenye kuiga iko vipi.
 
Diamond ni mtu anayetoa hit ,kwahiyo ni rahisi watu kichimba asili ya wimbo ,ila sasa hawa wengine kama wimbo siyo hit utajuaje amecopy ,mtu anacopy wimbo bado anafunikwa na wimbo original ya nini kumdiscuss
 
Uzi ulitakiwa ufungwe hapa.
 
Diamond ni mtu anayetoa hit ,kwahiyo ni rahisi watu kichimba asili ya wimbo ,ila sasa hawa wengine kama wimbo siyo hit utajuaje amecopy ,mtu anacopy wimbo bado anafunikwa na wimbo original ya nini kumdiscuss
hapo ni kweli
 
Umesahau alikiba(seduce)_dj snake(let me love you ft Justin bieber) hii Hadi rangi
Baba levo(high na low)_burna boy(another story)
anthony_art usisahau pia Lupela ya kiba Ni copy & pest ya I am more addicted ya Hussein machozi especially kwenye Melody mpaka beat kasoro mashairi.Pia Kiba kakopi mistari ya ngoma despacito
 
Wizi ni wizi tu
Hao wote ni wezi hakuna mdogo wala mkubwa
Wote ni wezi
Mbona umeruka?
Yope>>>baba lao>>>>> kushoto kulia..
 
Wizi ni wizi tu
Hao wote ni wezi hakuna mdogo wala mkubwa
Wote ni wezi
Mbona umeruka?
Yope>>>baba lao>>>>> kushoto kulia..
Ndio maana huwa nasema wewe jamaa ni jinga sana, hivi umesoma nilichoandika ukaelewa au unakurupuka tu ku comment kama kawaida yako???
 
Ndio maana huwa nasema wewe jamaa ni jinga sana, hivi umesoma nilichoandika ukaelewa au unakurupuka tu ku comment kama kawaida yako???
pancho boy Ni mzee wa kukurupuka nahisi hata hiyo nafasi aliyopata kwenye media haina tofauti Kama wakina mwijaku,baba levo, Steve nyerere,Juma lokole
 
Ndio maana huwa nasema wewe jamaa ni jinga sana, hivi umesoma nilichoandika ukaelewa au unakurupuka tu ku comment kama kawaida yako???
Ukweli ni kuwa huwa natoa maneno ya ukweli na yanayokunyevua nyevua..

Mtu hawezi kuumiza kichwa kusoma mashudu...kama haya..
Wizi ni wizi tu hao wote wezi

Huwa namjibu MTU kutokana na anavyokuja
 
pancho boy Ni mzee wa kukurupuka nahisi hata hiyo nafasi aliyopata kwenye media haina tofauti Kama wakina mwijaku,baba levo, Steve nyerere,Juma lokole
Naona nakunyevua nyevua dogo kiasi kwamba hulali ,huli unaniwaza tu..
Too bad umeolewa tayari sina kitu hapo

Huwa mnanichokoza wenyewe nikisema ukweli sasa twende sawa
Hao wote ni wezi
 
Back
Top Bottom