CCM ikianguka, Diamond naye lazima umaarufu wake utaathirika kwa kushuka au kuingia doa humu nchini

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Anguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa kutetea au kuipiga kampeni CCM iwe kwa malipo au vinginevyo.

Kwa msingi huo, Diamond ni mmoja wa watu /wasanii ambao anguko la CCM halitomuacha salama na zile picha alizopigwa akiwa na Magu hata yeye mwenye hatotamani kuziona tena ila ndio zitatumika kumsuta kama sio kumponda na yote haya yatachingia katika kutia doa umaarufu wake na pia itatoa funzo kwa wasanii kuacha kutumika kisiasa katika siku zijazo.
 
Kwa namna upinzani wa Tanzania ulivyo, CCM si ya kuanguka Leo wala kesho, Mbaka siku wapinzani watakapo ungana bila unafiki ndipo wataweza kushindana na CCM na sio kuishinda. Itawachukua muda kuja kuishinda CCM.
Mwenyekit wako neno nje alafu unaongea ugoro gani sijui
 
Kwa namna upinzani wa Tanzania ulivyo, CCM si ya kuanguka Leo wala kesho, Mbaka siku wapinzani watakapo ungana bila unafiki ndipo wataweza kushindana na CCM na sio kuishinda. Itawachukua muda kuja kuishinda CCM.
"mbaka" kuandika tu hujui sina hakika kama haujatudanganya uchambuzi wako
 
Kwa namna upinzani wa Tanzania ulivyo, CCM si ya kuanguka Leo wala kesho, Mbaka siku wapinzani watakapo ungana bila unafiki ndipo wataweza kushindana na CCM na sio kuishinda. Itawachukua muda kuja kuishinda CCM.

Wala si kuungana siku katiba itakapo kuwa mpya ndio mwisho wa ccm au nec na polisi wakiacha washika mkono.
 
Tukisema wewe ni akili ndogo sana, tunamaanisha kuwa wewe ni patupu kabisa. Diamond anauza nyimbo sio siasa, na wanunuzi wake wako hadi west Africa, USA na Europe. Huoni kama hiyo itakuwa kazi ngumu sana kwenu.

Pili mumekuwa wapinzani wetu zaidi ya miaka 20, hatujawanyanganya mali wanaomiunga mkono, na viongozi wako hawa ujinga kama wako
 
Mkuu huwajui watu maslahi aka Opportunists.

Hao wengi unawaona wanajipendejeza CCM ni Kwasababu inacho cha kuwapa.

Siku ikianguka wote hao wataanza kujipendekeza tena kwa Mwenye madaraka atakayekuwepo.

Yaani watahamia upande wa pili tena kwa nyuzo za huruma, uzalendo 🤣🤣🤣wakiwa macho makavu kabisa
 
Aliekudanganya CCM itakuja kuanguka nani? CCM ni chama chenye mipango, msingi imara na malengo usitarajie kwanye maisha yako. Halafu kuhusu Diamond yule msanii aliesimama mwenyewe na pale alipo we are so proud of him yeye kuonekana na Rais haipunguzii kitu bali kumuongezea fans Atazidi kua juu siku zote...
#Wasafi 4 life.
 
Kwa namna upinzani wa Tanzania ulivyo, CCM si ya kuanguka Leo wala kesho, Mbaka siku wapinzani watakapo ungana bila unafiki ndipo wataweza kushindana na CCM na sio kuishinda. Itawachukua muda kuja kuishinda CCM.
CCM imeisha tangu 2015 Magufuli alivyopata kura asilimia 39 kitengo kikambeba safari hii kawachezea usalama kwa kuwekla wana ccm na watoto wa dada zake jeshi kwa muinua msukuma mwenzake ambaye muda wake kicheo ulikuwa bado ,uwa CDF kwa kuwapa mishahara minono polisi wakubwa huku wadogo hata posho zao akiwanyima nani atamtetea kwisheney magu go home chato
 
Back
Top Bottom