Mume wa Alicia Keys amuomba Diamond kuwatuliza mashabiki wake katika kumshambulia mkewe kwa kumpa sekunde 26 ndani ya wimbo wake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,500
9,279
Mume wa msanii Alicia Keys, Swizz Beatz amelazimika kuingilia kati baada ya mashabiki wa Diamond Platnumz kumshambulia mke wake mtandaoni kwa kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake wa Wasted Energy kwa sekunde 26 tu

Katika chapisho lililotolewa na Pulse Live, Swizz Beatz alimtetea mkewe akisema yalikuwa maamuzi ya Diamond kushiriki kwa sekunde 26 katika wimbo huo, lakini wawili hao (Diamond na Alicia) bado wana Nyimbo nyingine ambazo itatolewa hivi karibun

========================
Alicia Keys' husband Swizz Beatz has been forced to intervene after Diamond Platnumz fans attacked her for giving their superstar only 26-seconds feature in her new Album dubbed ALICIA.

In a post seen by Pulse Live, Swizz Beatz defended his wife saying it was Diamond’s wish to be allocated 26 seconds in their song Wasted Energy, but the two (Diamond and Alicia) still have other projects (Songs) that will be released soon.

Beatz added that Chibu Dangote should talk to his fans so that they can stop complaining; with a promise that the two still have more in store for their fans.

Swizz Beatz defends Alicia Keys
Diamond shared a screenshoot of an article done by the Grammy Awards Site on Alicia Keys Album that also had his name with a caption that reads: GRAMMY SAID THAT!!.......DOWNLOAD!!! STREAM!! & SHARE TO THE WORLD....... #ALICIA The Album by aliciakeys Available on All Platforms WorldWide!! 🌍”

The post prompted Swizz Beatz to defend Alicia saying “My Brother 4 life. Please let your fans know you did as you pleased on the rec and this is just part 1🙏🏽.

Chibu replied "OOOH yes!! more Bombs coming".

Another fan told Alicia You wasted our priceless Diamond Platnumz by giving him only 26 seconds. I’m very disappointed in you”
Again Alicia’s husband had to respond stating that “She didn’t waste anything, we let our brother Diamond do as he wished and we are Happy. Relax”.

1600687873817.png
 
Watanzania kwakweli tuantia aibu, yani itafika mahali hadi kujitambulisha unatoka Tanzania ukiwa nje mtu utaona aibu. Yani watu wanaona kutkana ndo deal hawajui kuwa wanaweza waharibia wenzao. Walianza kwa Samantha, sasa kwa diamond, walishatukana hata kwa Beyonce, wakatukana kwa Davido, sijui tunaonekanaje kwa wenzetu maana ni aibu.
 
Back
Top Bottom