diamond

  1. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kidude gani alichokiimba Diamond Platnumz hapa?

    Katika kibao chake kiitwacho Baba Lao, nyota wa muziki anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania Diamond Platnumz ameimba maneno haya katika moja ya verses kwenye wimbo huo "Eeeh! Tumewachapa (Kidude) Hakichomoki (Kidude) Kimewanasa (Kidude) Wanatapatapa (Kidude)" Hicho kidude anacho kiimba...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Exclusive interview na diamond kwenye kipindi Cha good morning kesho wasafi FM

    Diamond atakuwa kesho kwenye kipindi Cha good morning Cha Wasafi FM kinachorushwa kuanzia saa 11 mpaka saa 2 na nusu Asubuhi kutoa muongozo katika namna ya kupata msaada wake wakulipia Kodi ya miezi 3 kwa familia 500 so stay turned.
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

    Kuna rundo la watu wenye wasiopenda wema wa kijana wameegamia kwenye fikra potofu kwamba ilibidi huu msaada utoke kimya kimya, Jibu ni "NO" "HAPANA!!!" Kuna misaada inabidi itoke kimya kimya mfano kumsaidia omba omba wa barabarani au kumsaidia ndugu yako kodi, Ila kwa hali ya huu msaada wa...
  4. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ulichomfanyia Stonebwoy kwenye Black Madonna ni unyama. Sio kwa kumfunika huku

    Kama wewe ni msanii na una mpango wa kutoa wimbo ukamshirikisha huyu kijana wa Tandale inabidi ujiandae vya kutosha. Zaidi ya hapo mwachie tu wimbo uwe wake tu kama alivofanya Innos' B na Yope Remix Hii Black Madonna Stonebwoy ndo anaonekama kama kashirikishwa wakati ni wimbo wake Nimeshindwa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kuna siku karma itaongea kwa chuki na fitina anazofanyiwa kijana huyu!

    Habarini! Poleni kwa mtikisiko huu wa korona na Mwenyezi Mungu atuepushe, amina! tuendelee kuchukua hatua stahiki tafadhali! leo ni siku ya 3 kama sikosei nyimbo ya alikiba inatrend namba 01 views ni kama 1.4M. kuna mambo kidogo yananishangaza: 1. Kwanini views za huyu lazima mara zigande au...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie Diamond Platnumz

    Jina halisi: Nasibu Abdul. Umri: 30 years. Mtanzania maarufu zaidi huko duniani. Kijana mpambanaji zaidi katika historia ya tanzania. Mtanzania anaefuatiliwa zaid dunian kupitia platform na social network. Anamiliki label kubwa zaid afrika. Anamiliki label maarufu zaid afrika. Youtube king...
  7. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

    Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Diamond alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea lakini demu alichomoa

    Halo wadau wa celebrities forum. Nimepata habari sehemu kuwa kijana wa Madale aka Simba, Dangote, sukari ya warembo au Diamond Platinum, alitaka kumuoa Hawa wa Nitarejea enzi hizo, lakini binti alimkataa. Wimbo wa Nitarejea ni moja ya nyimbo ya kwanza za Diamond akimshirikisha binti Hawa...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Diamond aachia kionjo Cha wimbo wake

    Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz a.k.a baba lao wakati akiwa insta live akiwasiliana na mashabiki wake wa nchi tofauti tofauti ikiwemo kujibu maswali ya mashabiki wake akaamua kutoa kionjo Cha Baadhi ya mashairi ya moja ya wimbo wake ambao upo kwenye stoo ya nyimbo zake...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Sabby Angel: Nitamtuliza Diamond

    Msanii wa bongo movie na mwanadada mrembo amefunguka wakati akifanyiwa interview na gazeti la Mwananchi yeye ndio mtu atakayemtuliza Diamond cos asimilia kubwa ya wanawake hasa Hawa maarufu wanampenda Diamond kwasababu ya umaarufu na pesa hawana mapenzi ya kweli lakini pia wauzungu mwingi ni...
  11. mayowela

    JamiiForums Tanzania Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

    Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara. Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kilichovunja ndoa ya Diamond na Tanasha ni hiki

    Ni malaika slt, binti kutoka Australia, Mond alipagawa akafa video vixen wa jeje
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuharibu nyumba aliyokuwa amepanga

    Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya kuhamia Mbezi, jijini Dar es Salaam huku akidaiwa kodi ya mwezi mmoja. Mali hiyo yenye thamani ya zaidi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Diamond Platnumz kuendelea kuishi na Tanasha ni Mkubwa sana

    Wengi huwa nawaambia ukiona mtu na demu wake au mke wanagombana usiingilie kwa kumchamba au kumsema vibaye mwingine au kumuelekeza chuki dhidi ya mmoja no uta ahibika, lazima tuishi kwa kuwaelewa na kuwaombea ipo siku watarudiana. Niliwahi kwenda kuamua ugomvi wa binam na mumewe nikamlazimisha...
  15. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani: Diamond awatumia ujumbe mzito Wema, Zari, Hamisa na Tanasha

    ===================
  16. H

    JamiiForums Tanzania Diamond apewa zawadi na FIFA

    Msanii wa Kimataifa kutoka Tanzania alipata nafasi kutembelea Museum ya FIFA pale Zurich. Msanii Diamond ametua Uswizi mahususi kwa ajili ya show yake ambayo ameipa jina European Tour. Baada ya kuingia Museum ya FIFA amepewa zawadi ya kikombe kidogo pamoja na jezi yenye jina lake Platnumz no 9...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Jeje ya Diamond Hadi sasa ipo 1 on trending

    Wimbo wa diamond imeendelea kuwa no 1 on trending YouTube Ina wiki 1 tokea itoke. Ngoma za darassa,Nandy pamoja na aslay zimeshindwa kufika no 1 ngoma zote hizo zimetoka kipindi kimoja na ngoma ya jeje. Ukiachana na Hilo ngoma ya jeje imefanikiwa kuchezwa na media kubwa za kimataifa Kama MTV...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Diamond amewakomesha wambeya

    Tuliwaambia tokea mwanzo Diamond leo hata zungumzia mahusiano yake. Wambeya wengi leo wameumbuka wametumia MB's zao kwa lengo la kumsikiliza Diamond kuhusiana na tetesi zinazoenea kuhusu kuachana na Tanasha. Diamond hajazungumzia kabisa mahusiano yake na Tanasha badala yake ametambulishwa kuwa...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

    Juma Lokole "wanawake wanachezea nafasi wanayoipata kwa Diamond..Ingekuwa mimi Ningejijenga Kwanza Mimi na Kusaidia Ndugu zangu" wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei wanawake bali wanajichezea wenyewe... Wanakimbilia kupata Mimba wakijua ndio Mondi Atawapenda Milele ...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Uvumi wa kuachana na Tanasha; Diamond Platnumz kuongea na waandishi wa habari kesho Serena Hotel

    Diamond amepost kwenye page yake ya Instagram kuwa ataongea na waandishi wa habari kesho huku kukiwa na uvumi wa utata kwenye mahusiano yake. Inasemeka kuwa Diomond na Tanasha wapo kwenye mgogoro mzito na ikidaiwa kuwa penzi lao limefika mwisho. Je, ndicho kitu ambacho Diamond anataka...
Back
Top Bottom