Labda mtu azikopi mwenyewe
Au nizikute kwenye hiyo disk
Au nizikilize radion
Au zitumwe kwenye .agroup.....
Yaani inshort ..sizielewagi tu...
Katika nyimbo zake 1000+ nilizozisikiliza ni 3 tu ndio nilizielewa
Lala salama
Ukimuona
Nataka kulewa
Kamuharibu mpaka harmonize
Wa aiyola,kidonda...
Leo Simon Msuva alipokuwa JKNIA amesema anatamani na atawasaidia mabondia wa Tanzania.
Mytake
Ni kama vile diamond alivyotuaminisha anahela ya kununua timu ya vpl ,halafu ikatokea mbao inauzwa million 300 tu, hakujitokeza hata kuomba negotiations.
Tahadhari Msuva asiwe kanjanja.
Diamond Platnumz Talks Growing Up In Tanzania & Breaking Into American Popular Music
Facebook Twitter Email
The recording artist, entrepreneur and media mogul discusses Tanzania’s musical landscape, success, expanding his empire and more
CHRISTOPHER A. DANIEL
GRAMMYS
OCT 6, 2020 - 1:36 PM
When...
Salam wakuu
Nimepata nafasi ya kusikiliza Wasafi FM kwa siku kama mbili sasa baada ya kuwashwa kwenye mkoa niliopo, na nimeweza kusikiliza vipindi vya asubuhi kabisa(goodmorning) na cha jioni(mgahawa). Kwasababu natamani mfanye vizuri zaidi, binafsi nimeona dosari Kadhaa zinazotakiwa...
Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support.
Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli alivyowasili visiwani Zanzibar
PROMO:
Baada ya alikiba kutoa diss track yake inayokwenda kwa jina la mediocre.
Ikielezwa kwamba ni dies kwenda kwa diamond...
Sasa mlengwa mwenyewe yaani diamond ametoa track yake inayokwenda kwa jina la "haunisumbui" ikielezwa kwamba ni diss yaani comeback kurudi kwa alikiba
Nategemea pia mawe hapa...
Baba lao (Diamond)-kushoto kulia (harmonize)
Mdogo mdogo (Diamond)-mpaka kesho (harmonize)
Wezele (rich mavoko)-on the low (burnaboy) full video
Niwahi (rich mavoko)-je utanipenda (Diamond) kwenye onesho la fashion
Na nusu (Nandy)-tip toe (jason darulo)
Scene ya wacheza kareti.
Alele...
Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976.
Ni kampeni za kihistoria, karibu.
==========
Updates;
MIGORI, IRINGA
LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
Anguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa kutetea au kuipiga kampeni CCM iwe kwa malipo au vinginevyo.
Kwa msingi huo, Diamond ni mmoja wa...
Mume wa msanii Alicia Keys, Swizz Beatz amelazimika kuingilia kati baada ya mashabiki wa Diamond Platnumz kumshambulia mke wake mtandaoni kwa kumshirikisha Diamond kwenye wimbo wake wa Wasted Energy kwa sekunde 26 tu
Katika chapisho lililotolewa na Pulse Live, Swizz Beatz alimtetea mkewe...
Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri maana Alicia Keys na mume wake ni wataalamu na walimu wakubwa wa muziki. Ndugu Diamond Platnumz...
Habari nzuri,
Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys.
Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo zitazokuwepo kwenye album yake hiyo mpya na moja Kati ya nyimbo ipo aliyomshirikisha Diamond.
Tumekuwa...
Msikilizeni huyu kijana.
Baadhi ya wasanii walikuwa wakifanya mambo machafu.
Mambo yasiyoendana na maadili ya Watanzania.
CCM iwe makini katika kuchagua wasanii wa kufanya kampeni.
=======
Kila baada ya miaka mitano ukichagua hovyohovyo itakugharimu wewe, mke wako, mdogo wako, mama yako...
Available in all digital platforms isikilize halafu leta maoni yako hapa
Personally nimependa sana ubunifu wa Diamond platnumz kutumia current situation pale anasema
"Tena wasipoteze muda kwa kura zao za kata,mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata."
All in all nyimbo ni nzuri
Hii hapa chini ni statement ya Petra diamonds leo asubuhi kwenye soko la hisa London(LSE)
Petra Diamonds Limited
("Petra" or the "Company")
Statement regarding allegations of human rights abuses
at the Williamson Mine in Tanzania
Petra Diamonds Limited states that a UK-based law firm, Leigh...
Rais Magufuli aliamua kumvulia na kumvisha kofia yake Diamond Platnumz simbaaa baada ya performance yake katika uwanja wa ccm kirumba jijini mwanza.
Ila kijana wetu anaadabuu, mara baada ya kuitwa jukwaa kuu alienda anakimbia 🤣🤣🤣
Diamond platnumz simbaaa baba lao rais halali wa muziki Tanzania.
Leo mgombea wa Urais kupitia chama cha mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli yupo jijini Mwanza baada ya kuwasili jana ambapo yeye na chama chake wanatarajia kuzindua kampeni zao jijini humo kwenye uwanja wa CCM Kirumba kuomba ridhaa ya wananchi kuendelea kuongoza serikali.
Mwaka 2015, Dkt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.