chakula

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wimbi la makundi ya nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua vinamaanisha kuwa mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula

    Shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu limesema katika msimu huu mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula cha kutosha kufuatiwa na wimbi kubwa la nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua. Shirika la Save the Children limesema, mimea na mazao ya mboga mboga...
  2. 2019

    JamiiForums Tanzania Kipi bora, kufurahia chakula haramu au kuendelea kuvumilia njaa?

    Natuamai mko powa. Toka Rais Samia aapishwe kuna watu wanahisi ni tumaini jipya Tanzania, hotuba hata 5 bado lakini watu wanahisi shida zao zimeisha. Ni kweli watu wapepata tumaini jipya? Magufuli alianzaje? Tumbua tumbua yake, fukuza fukuza yake, wafanyakazi hewa, vyeti feki, matamko matamu...
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mamlaka iwaruhusu watu waende kwenye mashamba na vijiji vya karibu wakajitafutie chakula, hapa tulipo ni nyika tupu

    Kutokana na ugumu wa ajira kwenye nchi hii naomba Mh Rais urahisishe mchakato wa watu kwenda nje ya nchi kutafuta ajira na kazi. Kikwazo kikubwa cha watu kwenda nje ya nchi ni passport na masharti yake. Hili limepelekea watanzania walio nje ya nchi wawe wachache sana. Nchi kama US kuna...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kundi la damu linaweza kubagua chakula? Mwanangu akila samaki anapata vipele na kujikuna. Nifanyeje?

    Mwanangu ana umri wa miaka miwili kasoro! Ana uchu wa samaki kinoma! Lakini bahati mbaya kila akila samaki anajikuna na kutokwa vipere mwili mzima mithili ya kupitiwa na mdudu washawasha! Je, nitumie mbinu au dawa gani ili mwanangu aendelee kula samaki bila shida hii ya kujikuna (allergy...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ala chakula cha gerezani kuonesha mfano

    Video hii hapa
  6. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahindi ya Tanzania ni salama

    MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA. Tanzania na Kenya Zimalize Mzozo Kidiplomasia - Zitto Kabwe Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe ameitaka Serikali ya Tanzania kukaa mezani na Serikali ya Kenya kumaliza mzozo wa Soko la Mahindi ya Tanzania nchini Kenya. Ndugu Zitto amesema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa na imani?

    Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa, imani. Yaani vyote vilikuwa vya kishenzi. Mtoto wa Mchungaji sielewi.
  8. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Harufu ya ushuzi Inatokana na chakula unachokula au inakuaje?

    Naenda moja kwa moja kwenye mada wakuu! Hivi mtu akijamba na ile harufu ya Ushuzi inayotoka muda huo huwa inanuka sana, sasa hii inachangiwa na chakula mtu anachokula au inakuaje? Je, kuna chakula mtu anaweza kula kikachangia harufu ya Ushuzi ikawa inanukia vizuri au harufu ikawa sio kali...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kazi ya Serikali sio kulisha watu, sitatoa chakula cha bure kwa wataokumbwa na njaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula. Rais Magufuli ametoa...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chalamila kutumia vyombo vya dola ili kulazimisha wazazi kuchangia chakula shuleni

    Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo . Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo na Ufugaji: Sababu za uhaba wa chakula

    Uhaba wa chakula ni hali ya kukosa ufikiaji wa uhakika wa chakula cha kutosha cha bei rahisi, chenye lishe. Sababu za Uhaba wa Chakula 1. Kukosekana kwa Ardhi ya Kilimo Chakula hupandwa au kuzalishwa kutoka ardhini. Umiliki wa ardhi huimarisha tija ya kilimo kwani inaweza kutumika...
  12. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Rwanda muziki kwao ni chakula

    Jamaa wana wasanii wakali mnoo wanaimba muziki mmoja classic sanaaa Na unadumu hauchoshi kabisa. Sio takataka za jamaa wetu wa bongo zinaeleweka club tu.. Kuna wale Ambassador of Jesus Christ walitamba sana na gospel zao Meddy - huyu haina haja ya kumuelezea sana alivyo fundi ,anajua kutumia...
  13. Whackiest

    JamiiForums Tanzania KUKOSA RADHA YA CHAKULA

    Habar za mudaa huu wanajamvi na pole na mizunguko ya wiki nzima na huu ni muda mzur wa mapumziko ukiwa nyumban na sehem mbalimbali za kupumzik Moja kwa moja kama kichwa cha maad yangu niombe kwa mtu ambaye amewahi kupata tatizo la kukosa radha ya chakula.kama Mimi hap na...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kufuatia maelekezo ya Rais Magufuli,bilioni 11 zaokolewa chakula cha wafungwa

    Jeshi la Magereza nchini limeokoa jumla ya Shilingi Bilioni 11, ikiwa ni gharama ya chakula cha wafungwa tangu lianze kujitegemea kwa chakula ikiwa ni maelekezo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kulitaka jeshi hilo litumie nguvu kazi ya wafungwa ilionao kuzalisha chakula. Akizungumza leo...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

    Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa katikati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda. Mezani mpo nane. Wewe ni mtu wa tatu kujiwekea chakula, utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu. Anachukua...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku uvaaji wa nguo fupi kwenye mabaa na sehemu zingine zinazotoa huduma za chakula na vinywaji

    Habari wadau. Uvaaji wa nguo fupi kwenye baadhi ya mabaa na mighahawa limekuwa ni kama jambo la kawaida ingawa kwakweli halipendezi na ni udhalilishaji wa utu wa mwanamke. Na Kwasababu hakuna sheria inayokataza jambo hili, inaonekana pia ni sera ya baadhi ya wamiliki wa mabaa na mighahawa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mpishi ambaye anajua kupika

    Habari zenu wana JF, Anahitajika mpishi ambae anajua kupika (mwenye uzoefu na iyo kazi atapewa kipaombele) pamoja na kuwa na uwezo wa kupima sahani za chakula kwa ajili ya mgahawa. Pia anahitajika mpishi mwengine kwenye chipsi na nyama choma, watakuwepo wawili na mmoja ameshapatikana bado...
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi usiku tunatakiwa kula chakula cha nguvu au chepesichepesi?

    Sijajuaga hii ishu. Watu wengi wanasema usiku tule vyakula laini laini. Lakini kuna hii ishu. Mtu akisha kula chakula damu nyingi inaelekea tumboni kusaidia ishu za umeng'enyaji na ufyonzaji wa msosi. Kitendo hicho hufanya damu inayoenda kwenye sehemu zingine kupungua. Damu inayoenda kwenye...
  19. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kupika machoba chakula cha asili kusini

    Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu). Jinsi ya kupika. Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama makopa ni mazima lakini kama ambayo yameliwa na wadudu yanaenda kuoza kidogo huwa ni matamu zaidi na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mhubiri wa Kiroho Kanisa la Mwenge Mpakani: Ukiwa umelala na Ukaota unakula Chakula, jua Wachawi ( Wanga ) wanajisaida Haja Kubwa Mdomoni mwako

    Kama hiki alichokisema leo Jioni katika Redio huyu Mhubiri wa Kanisa la Kiroho la Bwana Richard Mwacha hapo Mwenge Mpakani ni cha Kweli kabisa basi kuna uwezekano mkubwa wengi Wetu tumeshameza sana tu Kinyesi ( Mimavi ) ya Wachawi Usiku tukiwa tumelala huku tukiota kuwa tunakula Michips, Mikuku...
Back
Top Bottom