Ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku

Oct 23, 2020
93
125
Habari za jioni ndugu wadau.

Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama

Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k), Lengo ni kutengeneza/kuzalisha Tani 10 kwa siku.

Naombeni mwongozo kwenye ununuzi wa hizi mashine (pellets) hapa au nje ya nchi, na mashine zipi/kampuni gani bora kwenye uten.

Zaidi naombeni ushauri wa hii biashara kuhusu faida na changamoto zake.
 
DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,940
2,000

Hapo utahitaji Animal nutritionist. Mimi ni animal nutritionionist. Kwahiyo nichague Mimi niwe mshauri wako. Sheria inakutaka lazima uwe na mshauri wa mifugo aliyebobea kwenye masuala ya lishe ya mifugo yaani animal scientists.
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,753
2,000
Kila la heri mkuu, nenda SIDO, karibu nawe, huwa wana msaada katika suala la machine, sometimes mpaka funding.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,255
2,000
Kuku wenyewe mtaani wanalalamika "VYUMA VIMEKAZA", maana hata makoko ya wali na ugali hawayaoni kwenye mifuko ya taka.

Wapo kwenye kampeni za kumpigia kura Hashim Rungwe (Mzee Wa Ubwabwa).
 
geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
491
1,000
Hapo utahitaji Animal nutritionist. Mimi ni animal nutritionionist. Kwahiyo nichague Mimi niwe mshauri wako. Sheria inakutaka lazima uwe na mshauri wa mifugo aliyebobea kwenye masuala ya lishe ya mifugo yaani animal scientists.
Mimi ningekua wewe ningemuelewesha mkuu Bigger Than Life kila kitu bila kuacha kitu kuhusiana na hii project alaf mwishoooooooni ningeandika kwa herufi kubwa kwamba "MKUU BIGGER THAN LIFE MIMI HII NDIO PROFESHENI YANGU KAMA VIPI TUANGALIANE" Ukweli ni kwamba sio lazima yeye akuchukue lkn unakua umejimaketi kwenye jamii kubwa. Au unaonaje DASM?
 
farmersdesk

Senior Member
May 26, 2012
164
225
Habari za jioni ndugu wadau.

Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama

Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k), Lengo ni kutengeneza/kuzalisha Tani 10 kwa siku.

Naombeni mwongozo kwenye ununuzi wa hizi mashine (pellets) hapa au nje ya nchi, na mashine zipi/kampuni gani bora kwenye uten.

Zaidi naombeni ushauri wa hii biashara kuhusu faida na changamoto zake.
Nakushauri tembelea FARMERS CENTRE WAPO ILALA DARESSLAM wapo kwenye field hii muda sasa utapata ushauri mzuri sana na hawana choyo kwenye maswala ya kutoa elimu .muhimu sana kuwatembelea wanao jishughurisha na the same field. Mawasiliano 0752367114
 
Shukrani kwa ushauri nitaufanyia kazi mkuu
 
HDMI

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
648
1,000
Hapo utahitaji Animal nutritionist. Mimi ni animal nutritionionist. Kwahiyo nichague Mimi niwe mshauri wako. Sheria inakutaka lazima uwe na mshauri wa mifugo aliyebobea kwenye masuala ya lishe ya mifugo yaani animal scientists.
Wewe Animal Nutritionist una product gani sokoni? Unasaidia vipi wafugaji wadogo katika utengenezaji wa vyakula vya kuku? Au ndio utaalamu umebaki kwenye vyeti
 
DASM

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,940
2,000
Wewe Animal Nutritionist una product gani sokoni? Unasaidia vipi wafugaji wadogo katika utengenezaji wa vyakula vya kuku? Au ndio utaalamu umebaki kwenye vyeti
Sio kila mtaalam atakuepo na product yake sokoni. Chamsingi ni kuelimisha wafugaji binafsi na makampuni tuu inatosha . Kuna maengineer wengi but sio kila engineer atakuepo na kampuni yake ya ujenzi. Kuna wafamacia wengi wamekuepo ni washauri wa maduka ya Pharmacy lakini wao hawana maduka ya Pharmacy. Ili kuhakikisha anaweza kucompete sokoni ni vyema apate mtaalam aliebobea kwenye masuala ya feed technology.
 
Wewe ni mfugaji?? Nimeuliza maana moja ya changamoto wanayopata wafugaji ni formula za chakula. Ndio maana nikamtaka huyo mtaalamu aseme kama ashafanya utaalamu wowote na ukafanikiwa Kwenye formula za chakula.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom