chakula

  1. Miss Zomboko

    Rais Magufuli: Kazi ya Serikali sio kulisha watu, sitatoa chakula cha bure kwa wataokumbwa na njaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewaagiza Watanzania kutumia mvua zinazonyesha kipindi hiki kulima mazao ya chakula na biashara ili kuepukana na janga la njaa, na endapo eneo lolote litakumbwa na njaa serikali haitokuwa tayari kupeleka chakula. Rais Magufuli ametoa...
  2. Erythrocyte

    Chalamila kutumia vyombo vya dola ili kulazimisha wazazi kuchangia chakula shuleni

    Mh Chalamila ametoa kauli hiyo ili kuwalazimisha wazazi kupeleka chakula baada ya kubaini kuwa wameshindwa kutimiza wajibu huo kwa njia ya amani licha ya kupatiwa maelezo na kuelimishwa faida ya utaratibu huo . Mtukufu Chalamila ametoa kauli hiyo ya maendeleo katika shule ya sekondari ya...
  3. J

    Kilimo na Ufugaji: Sababu za uhaba wa chakula

    Uhaba wa chakula ni hali ya kukosa ufikiaji wa uhakika wa chakula cha kutosha cha bei rahisi, chenye lishe. Sababu za Uhaba wa Chakula 1. Kukosekana kwa Ardhi ya Kilimo Chakula hupandwa au kuzalishwa kutoka ardhini. Umiliki wa ardhi huimarisha tija ya kilimo kwani inaweza kutumika...
  4. Its Pancho

    Rwanda muziki kwao ni chakula

    Jamaa wana wasanii wakali mnoo wanaimba muziki mmoja classic sanaaa Na unadumu hauchoshi kabisa. Sio takataka za jamaa wetu wa bongo zinaeleweka club tu.. Kuna wale Ambassador of Jesus Christ walitamba sana na gospel zao Meddy - huyu haina haja ya kumuelezea sana alivyo fundi ,anajua kutumia...
  5. Whackiest

    KUKOSA RADHA YA CHAKULA

    Habar za mudaa huu wanajamvi na pole na mizunguko ya wiki nzima na huu ni muda mzur wa mapumziko ukiwa nyumban na sehem mbalimbali za kupumzik Moja kwa moja kama kichwa cha maad yangu niombe kwa mtu ambaye amewahi kupata tatizo la kukosa radha ya chakula.kama Mimi hap na...
  6. U

    Kufuatia maelekezo ya Rais Magufuli,bilioni 11 zaokolewa chakula cha wafungwa

    Jeshi la Magereza nchini limeokoa jumla ya Shilingi Bilioni 11, ikiwa ni gharama ya chakula cha wafungwa tangu lianze kujitegemea kwa chakula ikiwa ni maelekezo ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya kulitaka jeshi hilo litumie nguvu kazi ya wafungwa ilionao kuzalisha chakula. Akizungumza leo...
  7. Sky Eclat

    Kuna wageni ambao hawana ustaarabu mezani saa ya chakula

    Unakaribishwa chakula kwenye familia, mabakuli makubwa ya chakula na mbogamboga yanawekwa katikati. Inakuja wakati kila mtu ajiwekee chakula anachopenda. Mezani mpo nane. Wewe ni mtu wa tatu kujiwekea chakula, utamsikia shemeji leo umenipatia kweli, hawa samaki ndiyo ugonjwa wangu. Anachukua...
  8. S

    Serikali ipige marufuku uvaaji wa nguo fupi kwenye mabaa na sehemu zingine zinazotoa huduma za chakula na vinywaji

    Habari wadau. Uvaaji wa nguo fupi kwenye baadhi ya mabaa na mighahawa limekuwa ni kama jambo la kawaida ingawa kwakweli halipendezi na ni udhalilishaji wa utu wa mwanamke. Na Kwasababu hakuna sheria inayokataza jambo hili, inaonekana pia ni sera ya baadhi ya wamiliki wa mabaa na mighahawa...
  9. A

    Anahitajika mpishi ambaye anajua kupika

    Habari zenu wana JF, Anahitajika mpishi ambae anajua kupika (mwenye uzoefu na iyo kazi atapewa kipaombele) pamoja na kuwa na uwezo wa kupima sahani za chakula kwa ajili ya mgahawa. Pia anahitajika mpishi mwengine kwenye chipsi na nyama choma, watakuwepo wawili na mmoja ameshapatikana bado...
  10. Red Giant

    Hivi usiku tunatakiwa kula chakula cha nguvu au chepesichepesi?

    Sijajuaga hii ishu. Watu wengi wanasema usiku tule vyakula laini laini. Lakini kuna hii ishu. Mtu akisha kula chakula damu nyingi inaelekea tumboni kusaidia ishu za umeng'enyaji na ufyonzaji wa msosi. Kitendo hicho hufanya damu inayoenda kwenye sehemu zingine kupungua. Damu inayoenda kwenye...
  11. Wang Shu

    Fahamu jinsi ya kupika machoba chakula cha asili kusini

    Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu). Jinsi ya kupika. Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama makopa ni mazima lakini kama ambayo yameliwa na wadudu yanaenda kuoza kidogo huwa ni matamu zaidi na...
  12. GENTAMYCINE

    Mhubiri wa Kiroho Kanisa la Mwenge Mpakani: Ukiwa umelala na Ukaota unakula Chakula, jua Wachawi ( Wanga ) wanajisaida Haja Kubwa Mdomoni mwako

    Kama hiki alichokisema leo Jioni katika Redio huyu Mhubiri wa Kanisa la Kiroho la Bwana Richard Mwacha hapo Mwenge Mpakani ni cha Kweli kabisa basi kuna uwezekano mkubwa wengi Wetu tumeshameza sana tu Kinyesi ( Mimavi ) ya Wachawi Usiku tukiwa tumelala huku tukiota kuwa tunakula Michips, Mikuku...
  13. Miss Zomboko

    Food poisoning ni hali ya kuchafuka kwa chakula kunakotokana na uwepo wa vimelea mbalimbali kama vile bacteria

    Food poisoning ni hali ya kuchafuka kwa chakula kunakotokana na uwepo wa vimelea mbalimbali kama vile bacteria, virusi, au parasites au sumu zao ndani yake. Hali hii hutokea wakati unapokula chakula au kunywa vinywaji/maji yaliyochanganyika na vimelea hawa hususani vya bacteria wa jamii ya...
  14. K

    Natafuta eneo la kukodi...kuuza chakula na min pub

    Msaada Jamvini natafuta frame ama eneo naloeza weka pub na restaurant...Dar es salaam Sinza mwenge Survey itapendeza....au hata mawasiliano 300k bajeti
  15. Pastory Kimaryo

    Chakula kipi ni kizuri kwa kufanya watoto wa nguruwe wakue na wawe na afya?

    Habari ya muda huu wajasiriamali wenzangu. Kama mada inavyojieleza kwenye kichwa cha habari hapo juu ni vyakula gani vizuri kwa ajili ya vibwagala, mimi binafsi natumiaga makombo ila bado sioni kama yanaleta tija sana kwao sasa nataka nijue kama kuna chakula cha dukani ambacho ni kizuri au...
  16. M

    Ukiona adui anakubembelezea chakula, chukua tahadhari!

    Ghafla umezuka wema kutoka kusikojulikana kuwaomba CHADEMA wawasilishe majina ya wabunge wa viti maalum ili wajumuishwe kwenye mchakato wa uapishaji. Hii inaogopesha! Ni wiki moja tu imepita tokea wafuasi na viongozi wa CHADEMA kufanyiwa kila aina ya unyama na mwisho kupokwa kila...
  17. safuher

    Suala la wafiwa kuandaa chakula kwa ajili ya wanaokuja kuzika ni utaratibu wa kupigwa vita

    Suala hili lipigwe vita vikali sana kwa sababu ni sherehe tu ndio inayo namna ya kupika ili waliokuja kwenye hiyo shughuli wapate kula. Haiwezekani umefiwa na kipenzi chako halafu hapo hapo unawapikia wanaokuja kumzika wale washibe waende zao. Wale wanaokuja kukupa pole na kuzika ndo wakupe...
  18. R

    Chakula kinaitwa MIX kwa sasa ni uchafu, wabongo tukomae na vyakula vyetu hivi vya waarabu tuwaachie wao

    Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani nikiwa shule ya msingi pale Msimbazi nimekula sana mix pale Boma nakumbuka ulikuwa unawekewa mchuzi...
  19. B

    Ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku

    Habari za jioni ndugu wadau. Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k), Lengo ni kutengeneza/kuzalisha Tani 10 kwa siku. Naombeni mwongozo kwenye ununuzi wa hizi mashine...
  20. J

    Shehe Kishk: Kiongozi anapaswa kuwe ni mtu wa Amani, mwenye Afya njema na akiba ya Chakula!

    Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni: 1.Mtu wa Amani 2. Mtu mwenye Afya njema 3. Mtu mwenye akiba ya Chakula Kiongozi wa ngazi yoyote anapaswa kuwa na sifa kuu hizo tatu ili aweze...
Back
Top Bottom