chakula

  1. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni

    MADA YA LEO: NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI) Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala...
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibu Wakenya milioni moja wakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa (OCHA) hivi karibuni ilitoa ripoti kuwa, mamilioni ya Wakenya wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula. Kutokana na ripoti hiyo, tathmini zilizopangwa kufanyika mwezi Julai na Agosti zinatarajiwa kuthibitisha kuongezeka kwa hali mbaya...
  3. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Chakula (mama wa biashara zote)

    Biashara ya chakula ni moja ya biashara nzuri na yenye faida na inayoweza kukutoa from zero to hero ndani ya mwaka wako mmoja tu ukikomaa ipasavyo kazini kwako, lakini ili ikutoe kama inavyotoa wengine ni lazima biashara yako iguse wateja wote bila kubagua. Biashara nyingi sana hapa mjini...
  4. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Natafuta jina zuri kwa ajili ya ofisi yangu ya chakula

    Vyakula vinavopatikana ni chips.soda,juisi,mihogo rost, ukwaju, bites mbalimbali, kuku, pweza.. msaada wenu wakuu jiwe liwe simpo linalojumuisha vitu tajwa hapo mfano.. masapta sapta madikodiko
  5. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania UN yaonya janga la Virusi vya Corona litazidisha hali mbaya ya chakula na lishe Duniani

    Hivi karibuni Umoja wa Mataifa UN umetoa ripoti ya mwaka 2020 ambayo inaonesha hali ya chakula na lishe sio ya kuridhisha hata kidogo. Ripoti hiyo ya hali ya usalama wa Chakula na Lishe iliyotolewa kwa pamoja na mashirika ya UN yakiwemo ya Chakula na Kilimo FAO na la Afya Duniani WHO, inaonesha...
  6. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbunge asijitolee diwani akalipwa mshahara? Kama chakula kidogo anaachiwa mdogo

    Hivi ni kigezo gani kilitumika kuamua Mbunge alipwe maslahi ya uhakika halafu diwani afanye kazi kwa kujitolea? Kama hoja ni kwamba uwezo ni mdogo 'chakula', kwa mila za kitanzania chakula kikiwa kidogo, wakubwa huachia wadogo. Sasa mbona kama kwenye hili liko kinyume nyume? Kama hoja ni...
  7. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Biashara ipi inatoa faida ya haraka zaidi kati ya Genge duka na biashara ya chakula?

    Habari za mchana kila mmoja wetu. Poleni na majukumu. Naomba usaidizi wenu wakuu najua huku kuna watu wa namna tofauti,wafanyabiashara wakubwa,wadogo,wakati,waajiriwa na kuendelea. Kuna biashara mbili kati ya hizo 👆juu moja wapo naitamani kufanya lkni sina uzoefu nazo kwa upande faida na...
  8. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawajui kupika chakula. Wanajaza viungo vingi kwenye mboga inapoteza ladha yake halisi

    Kwa utafiti wangu wanawake wengi wa siku hizi hawajui kupika au mapishi kwa ujumla wake. Wanawake wengi wa siku hizi wanaamini viungo vingi kwenye mboga ndio mapishi mazuri. Mbona inawekewa viungo vingi hadi inapoteza ladha. Hakuna tofauti ya mapishi ya nyumbani ya mboga fresh kabisa na...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TMA yatoa tahadhari ya upepo mkali unaoweza kuharibu mazao ya chakula

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewataka wananchi wa mikoa ya Njombe, Songwe, Mbeya na Ruvuma, kuchukua tahadhari kufuatia kuwepo kwa upepo mkali ambao unaweza kusababisha mazao yao ya chakula kuathirika.
  10. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Ni chakula kipi unaweza kula mwaka mzima bila kubadili ukiwa peke yako?

    Nauliza kile chenye nguvu, kuhusu matunda n.k inaruhusiwa kukamilisha mlo kamili. Ila ni kipi waweza kula mwaka mzima. Mimi wali na maharage asubuhi mpaka jioni, kiporo n.k mwaka mzima na sasa nimeshasahau radha ya vyakula vingine kama ugali. Mh, nashangaa sana wanaokinaiwa na wali huwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anapohamasisha ongezeko la bei ya vyakula, anaelewa Madhara yake?

    Badala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,- “Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana...
  12. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Kwangu Ugali bila mlenda ni chakula ambacho hakijakamilika

    Mimi nikienda mahala na kupewa ugali na mboga yoyote ila kama kwenye hiyo mboga hakuna mlenda basi kwangu naona kama nimekula chakula ambacho hakijakamilika. Nikiwa nyumbani nimeamua kujipikia lazima nipike mlenda. Mlenda ni my all time favorite mboga. Naweza kula ugali na mlenda peke yake na...
  13. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Dr. Stella Nyanzi, Bajjo and several others arrested over food protest

    Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekuta kuna video inasambaa katika facebook ikionyesha mwanamke mmoja ambaye inasemekana ni muhadhiri katika chuo kimoja nchini Uganda akipambana na polisi huku akipinga agizo la lockdown kwa madai watu wanakufa na njaa. Polisi wametumia...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Kenya waandamana wakitaka chakula

    We want food’: Standoff in Eastleigh as irate residents take to the streets A section of Eastleigh residents demanding for relief food on May 11, 2020 A section of Eastleigh residents are demanding relief food following government restrictions on movement in and out of the ward...
  15. Parabora

    JamiiForums Tanzania Binti wa Kireno kaondoka na akili zangu kwenye foleni ya chakula cha bure Jijini Geneva (Switzerland)

    Wakuu leo nimeenda kupanga foleni ya kuchukua chakula cha bure kinachotolewa na mamlaka za jijini hapa kwa ajili ya wahamiaji, nimeona haiwezekani na ni ujinga mwarabu na raia wa ulaya akapange foleni ya kupata hiki chakula halafu mimi ninunue wakati ubora ni uleule na hakuna masharti kwenye...
  16. Parabora

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa jiji la Geneva(Switzerland) waanza kugawa chakula na mahitaji muhimu bure kwa wahamiaji masikini na waliopoteza ajira

    Lockdown bado inaendelea hapa Uswisi japo serikali imedhibiti sana maambukizi mapya mpaka leo asubuhi kwa mujibu wa takwimu za serikali kuna jumla ya wagonjwa 43,000+ na waliokufa zaidi ya 19,000+ ni idadi ndogo sana kulinganisha na nchi zilizotuzunguka Matajiri wa hapa jijini GENEVA...
  17. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

    Mzuka wanajamvi Kamwe usingewaza tukio kama hili kutokea Uswizi. Korona (pathetic virus) imeleta shida kwa kipindi kifupi sana. Yani watu Uswizi wanapanga foleni ndefu tena ya zaidi kilometre moja kupewa chakula cha bure tena wanawahi kupanga mstari kwaanzia saa kumi na moja asubuhi. Kwa...
  18. shakur kimboka

    JamiiForums Tanzania Kupoteza uwezo wa kunusa yaweza kuwa/ni dalili za mwazo za COVID19

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo zaidi ya 70% ya confirmed cases za corona virus wagonjwa walipoteza uwezo wao wakunusa na kutest ladha kabla hata ya kuanza kuumwa === UFAFANUZI KUTOKA KWA WATAALAMU KUHUSU DALILI HII Je kupoteza ladha na harufu ni dalili ya coronavirus...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe tafadhali tembelea kituo cha Karantini Horohoro Tanga na ikikupendeza wachangie chakula

    Kupitia kituo cha luninga cha ITV wameonyeshwa wananchi walio katika kituo cha Karantini katika mpaka wa Horohoro wakilia njaa. Wananchi hao wamedai wanatakiwa kulipa sh 140,000 kila mmoja ili waweze kutunzwa mahali hapo kwa siku 14. Wananchi hao wamedai kuwa wao ni maskini hawana uwezo wa...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Janga la njaa lazidi kuwa baya nchini Zimbabwe. Watu milioni 7.7 hawana chakula

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetoa wito wa kuchangisha kiasi cha dola milioni 130 za kimarekani ili kuwasaidia watu wanaokumbwa na njaa nchini Zimbabwe kwenye kipindi hiki maalumu cha mlipuko wa virusi vya Corona. Shirika hilo limesema Zimbabwe imekumbwa na msukosuko wa ukosefu wa...
Back
Top Bottom