Fahamu jinsi ya kupika machoba chakula cha asili kusini

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,561
3,704
Hiki ni chakula kitokanacho na makopa ya miogo(miogo mikavu).

images-20.jpeg


Jinsi ya kupika.
Hukatwakatwa vipande vya makopa kisha hulowekwa kwenye maji masaa yasiyopungua 12 ili kurahisisha kuiva kama makopa ni mazima lakini kama ambayo yameliwa na wadudu yanaenda kuoza kidogo huwa ni matamu zaidi na hayaitaji kulowekwa.

IMG_20201127_114433_0.jpg


Hubandikwa jikoni mpaka yanaiva vizuri yanatafunika mfano muogo mbichi.

Yakiiva vizuri viungo vyake ni sukari na nazi yanakuwa matamu sana na radha yakiofauti.

Huliwa kama futari au kifungua kinywa wakati wa asubuhi.

IMG_20201127_114351_0.jpg
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom