chakula

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Food poisoning ni hali ya kuchafuka kwa chakula kunakotokana na uwepo wa vimelea mbalimbali kama vile bacteria

    Food poisoning ni hali ya kuchafuka kwa chakula kunakotokana na uwepo wa vimelea mbalimbali kama vile bacteria, virusi, au parasites au sumu zao ndani yake. Hali hii hutokea wakati unapokula chakula au kunywa vinywaji/maji yaliyochanganyika na vimelea hawa hususani vya bacteria wa jamii ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo la kukodi...kuuza chakula na min pub

    Msaada Jamvini natafuta frame ama eneo naloeza weka pub na restaurant...Dar es salaam Sinza mwenge Survey itapendeza....au hata mawasiliano 300k bajeti
  3. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi ni kizuri kwa kufanya watoto wa nguruwe wakue na wawe na afya?

    Habari ya muda huu wajasiriamali wenzangu. Kama mada inavyojieleza kwenye kichwa cha habari hapo juu ni vyakula gani vizuri kwa ajili ya vibwagala, mimi binafsi natumiaga makombo ila bado sioni kama yanaleta tija sana kwao sasa nataka nijue kama kuna chakula cha dukani ambacho ni kizuri au...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona adui anakubembelezea chakula, chukua tahadhari!

    Ghafla umezuka wema kutoka kusikojulikana kuwaomba CHADEMA wawasilishe majina ya wabunge wa viti maalum ili wajumuishwe kwenye mchakato wa uapishaji. Hii inaogopesha! Ni wiki moja tu imepita tokea wafuasi na viongozi wa CHADEMA kufanyiwa kila aina ya unyama na mwisho kupokwa kila...
  5. safuher

    JamiiForums Tanzania Suala la wafiwa kuandaa chakula kwa ajili ya wanaokuja kuzika ni utaratibu wa kupigwa vita

    Suala hili lipigwe vita vikali sana kwa sababu ni sherehe tu ndio inayo namna ya kupika ili waliokuja kwenye hiyo shughuli wapate kula. Haiwezekani umefiwa na kipenzi chako halafu hapo hapo unawapikia wanaokuja kumzika wale washibe waende zao. Wale wanaokuja kukupa pole na kuzika ndo wakupe...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Chakula kinaitwa MIX kwa sasa ni uchafu, wabongo tukomae na vyakula vyetu hivi vya waarabu tuwaachie wao

    Nisiwachose let go straight leo nimepita zangu magomen pale sasa kuna kamgahawa nikawa nikawa nasikia harufu ya vitu vzr vzr Mzee baba nikajisemea leo ijumaa ngoja nijitose maana hapo zamani nikiwa shule ya msingi pale Msimbazi nimekula sana mix pale Boma nakumbuka ulikuwa unawekewa mchuzi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa kiwanda cha kutengeneza chakula cha kuku

    Habari za jioni ndugu wadau. Nimekuja na wazo la kuingia kwenye biashara ya kuzalisha chakula cha kuku wa mayai na nyama Mtaji 200M (kiwanja kibaha, jengo mashine, raw materials, Vibali n.k), Lengo ni kutengeneza/kuzalisha Tani 10 kwa siku. Naombeni mwongozo kwenye ununuzi wa hizi mashine...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Shehe Kishk: Kiongozi anapaswa kuwe ni mtu wa Amani, mwenye Afya njema na akiba ya Chakula!

    Shehe Kushk wa Jumuiya ya Temeke amesema kwa mujibu wa Qur'an tukufu Kiongozi wa kutawala duniani anapaswa kuwa na sifa kuu tatu, ambazo ni: 1.Mtu wa Amani 2. Mtu mwenye Afya njema 3. Mtu mwenye akiba ya Chakula Kiongozi wa ngazi yoyote anapaswa kuwa na sifa kuu hizo tatu ili aweze...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania FAO: Watu Milioni 22 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula DR Congo

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo - FAO, limejulisha kwamba watu karibu milioni 22 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Leo ni Siku ya Kimataifa ya chakula. Miongoni mwa sababu za ukosefu wa chakula hapa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mwanaume Kususa kula chakula alichoandaliwa? Je, ni sahihi kubembelezwa kama Mtoto mdogo?

    Wapendwa tumezoea kuona au kusikia Watoto wakisusia Chakula kwa sababu mbalimbali hadi wabembelezwe na Wazazi wao. Je ni sahihi kwa Mwanaume kufanya hivyo kama ilivyo kwenye picha hapo chini.
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unaweza kula chakula alichobakiza mwajiri wako mezani?

    Wakati nikiwa shule ya msingi, nilipata bahati ya kukutana na babu mmoja aliyenihadithia maisha enzi za ukoloni. Babu aliajiriwa kama mpishi wa familia ya mzungu. Ajira ilikuja na mkataba wa kazi na alipewa nguo za kazi. Ajira hii ilikuwa ni ya J3 mpaka J’mosi. Alianza kazi 12:00 asubuhi na...
  12. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Mboga zangu 5 simple nizipendazo kulia chakula (hasa ugali) na Jinsi ninavyoziandaa

    Mimi ni moja ya wale wajuba wasiopenda kula mitaani iwe hotel,cafe,bar,pub,nk sehemu yeyote wanayotoa huduma ya chakula sio mpenzi wa kula sehemu hizo na hii n kwasababu sipendi pikiwa chakula nisichojua kimeandaliwaje,kimepikwa ktk hali gani,nk nk (sababu ni nyingi). Mimi ni moja ya watu ambao...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Si haki kwa watu Milioni 690 kulala njaa wakati chakula kinatupwa kila uchao

    Leo ikiwa ni maadhimisho ya kwanza ya Siku ya Kimataifa ya Uelimishaji kuhusu Upetevu na Utupaji wa Chakula, Umoja wa Mataifa umetoa wito hususan kwa nchi za Afrika kuongeza juhudi na kuzichagiza sekta binafsi kuwekeza katika kupunguza upotevu na utupaji wa chakula. Katika ujumbe maalum wa siku...
  14. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia kwa macho yangu chakula kikipimwa temperature pale Serena Hotel, maana yake nini?

    Huu utaratibu wa kukipima joto chakula kwa kutumia thermometer kama mgonjwa wa homa maana yake nini?
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya upungufu wa chakula yatolewa kutokana na mvua chache

    Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imetoa utabiri wa hali ya hewa kwa mwezi Oktoba, Novemba na Disemba unaonyesha kwamba maeneo mengi ya nchi yatapata mvua chache na hivyo kusababisha athari ikiwemo upungufu wa chakula. Mkurugenzi mkuu wa TMA Dkt Agnes Kijazi amesema hayo leo jijini Dar es...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania GE2020 Japo anafanya utani lakini ni kweli chakula kwa wanafunzi ni jambo la muhimu

    Mgombea wa Urais kupiti CHAUMMA amekuja na sera ya chakula kwa wanafunzi. Hii kitu niliielewa tangu awali lakini mahojiano yake ya dk 45 ITV yalinifanya nione kuwa mzee hayuko serious, wala hana mkakati wa kufikia anachokiwaza. Nafsi iliniambia kuwa ni kweli chakula kwa wanafunzi ni shida...
  17. maji ya gundu

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kula chakula ulichopika mwenyewe?

    Mungu ni mwema kwa wote. Najiuliza unawezaje kula chakula ulichopika mwenyewe maana mi chakula nikipika kwa mikono yangu siwezi kukila yaani kinanikinai mapema. Nyie kwenu vipi mnatumia mbinu gani kula chakula ulichopika mwenyewe.
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  19. uvugizi

    JamiiForums Tanzania Saikolojia ya chakula na shibe

    Tunavyokula kuna athiri jinsi tunavyojisikia. Inatakiwa unapokula uwe unajisikia vizuri. Kuna wengine wakila wanajisikia tofauti. Ukila sana au kidogo vyote vinaweza kukufanya kusikia vibaya , hata kuleta madhara katika mwili. Kuna vitu vingi sana vinaweza kuathiri ulaji wetu. Aidha inaweza...
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uagize chakula chako cha mwisho duniani kabla ya kunyongwa utaagiza nini?

    Habari za humu Wana JF Ni katika kuleta kitu tofauti tu ila hakina maana halisi na jinsi labda kusema ni itatokea kweli hapana ni kutoa tu mawazo kujiweka katika ile hali ya kuwa kuna kitu unatamani ule au ukipate, Karibuni kwa mchango.
Back
Top Bottom