Je, ni sahihi kwa Mwanaume Kususa kula chakula alichoandaliwa? Je, ni sahihi kubembelezwa kama Mtoto mdogo?

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
342
1,000
Wapendwa tumezoea kuona au kusikia Watoto wakisusia Chakula kwa sababu mbalimbali hadi wabembelezwe na Wazazi wao.

Je ni sahihi kwa Mwanaume kufanya hivyo kama ilivyo kwenye picha hapo chini.

FB_IMG_16024059934231526.jpg
 

Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
39,928
2,000
Duuh!! Inategemea japo kama hakuna ugomvi suluhisho si kumbembeleza bali ni kumuuliza chakula kipi ambacho atakifurahia kula basi kama nafasi inaruhusu aandaliwe ili ale huku moyo wake ukiwa umeridhia.

Sababu si mtoto mdogo huyo kwani waeza mbembeleza na bado asile.
 

Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
10,438
2,000
Duuh!! Inategemea japo kama hakuna ugomvi suluhisho si kumbembeleza bali ni kumuuliza chakula kipi ambacho atakifurahia kula basi baada ya hapo aandaliwe ili ale huku moyo wake ukiwa umeridhia.

Sababu si mtoto mdogo huyo akisusa ujue hajakipenda.
Muda mwingine watu wananjaa ya papuchilo ila wanashindwa kusema , wanaishia kususa
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
13,295
2,000
Kama kwa mke wake ni sawa tu, na angalie vyakula vya kususa, vile vyakula vya usiku ukisusa wengine watakusaidia kula.


Let's meet at the top, cheers
Ila mtu anaye Susa Susa ana hitaji upendo that's why?
 

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,327
2,000
Wanawake wa Kitanzania/Afrika kwetu wana kazi sana, hapo akishalishwa anataka apelekewe maji ya kuoga bafuni, atandikiwe kitanda, yeye kazi yake k.mba na kunenepeana tu, Uganda kuna hata shida kubwa zaidi, Wanaume wa huko wanagombania kunyonya maziwa na watoto wao wachanga , na wao wanataka kunyonyeshwa, duh, ...

'She can't say no': the Ugandan men demanding to be breastfed
 

cariha

JF-Expert Member
Apr 9, 2015
13,295
2,000
Upendo, kubembelezwa i think every man needs that, ila kususa sasa ni exceptional, tabia za kike hizo ukiona mwanaume ana hizo tabia ujue Kuna walakini kidogo.


Let's meet at the top, cheers
Ila Kuna wanaume wanapenda kususa kitu hakijampendeza badala aseme yeye atasusa akifikiri umeelewa kosa kumbe hata hujui kosa lako. Kususa ni ujinga
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom