Coronavirus: Kuna haja ya kununua chakula kingi kujiandaa na marufuku ya kutotoka nje?
Tangu nchi mbalimbali duniani kuweka sharti la kutotoka nje kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa vyakula kwa urahisi.
Dunia ikiwa na makatazo mengi katika maeneo mbalimbali kutokana na mlipuko wa...
Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar.
Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
MZEE wa miaka 85, Masanja Mahubi, anadaiwa kufungiwa kwa siku tatu katika ofisi ya serikali ya mtaa bila kupewa chakula na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Msoba Mligo.
Akizungumza kwa shida baada ya Jeshi la Polisi likiongozwa na Mkuu wa Jeshi hilo wilayani Igunga, Ally Mkalipa, kuuvunja mlango...
1.Kuvuta sigara
Kiafya mara baada ya kula chakula hairuhusiwi kuvuta sigara japo kuwa mvutaji wa siagara hupatwa na hamu kubwa ya kuvuta mara baada ya kula tabia hii huhatarisha afya, hivyo inashauriwa kusubiri angalau kwa masaa kadhaa ndipo uvute endapo ni lazima sana kwani sigara ina miliki...
Wanyama walao nyama, yaani Carnivorous hawatumiki kama sehemu ya chakula cha mwanadamu karibu sehemu nyingi duniani.
Herbivorous, yaani wanyama walao majani, ndiyo hutumika kama sehemu ya chakula katika jamii nyingi.
Hii ni kutokana na mafundisho ya dini, mila au kuna madhara ya kisayansi?
Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa misaada ya kibinadamu na masuala ya dharura OCHA, Bwana Mark Lowcock amesema “wimbi moja la nzige waliozingira ukubwa wa kilometa moja , ambalo linajumuisha nzige milioni 40-milioni 80, wanaweza kula kwa siku moja chakula ambacho kinatosheleza kulisha watu 35000”...
Ni rahisi huku kwetu kuweka chakula kwenye sinia watu wale kwenye majamvi. Kama ni single plates basi zipakuliwe jikoni watu watolewe.
Huu utaratibu wa watu kujichikuliia nyama wenyewe, ni watu 10-15 wamwanzo ndiyo watabeba nyama zote. Unakuta mtu amepanga nyama kama mlima Kilimanjaro...
Ukame mkali wa mara kwa mara unaoikumba nchi ya Ethiopia umepelekea watu takribani milioni 7 kuhitaji msaada wa chakula.
Baraza la uratibu wa majanga nchini Ethiopia limearifu kwamba watu milioni 7 katika nchi hiyo wanahitaji msaada utakaogharimu dola bilioni 1.
Katika taarifa hiyo iliarifiwa...
Nima mwanangu ana umri wa miaka 15 akianza kula jasho linamtoka sana kama amemwagiwa maji hata kama kuna baridi kiasi gani na ana mwili mkubwa. Je wana JF huu ni ugonjwa au ni nini naombe msaada mnijuze.
Wavuvi wa dagaa, uvua dagaa wakiwa wasafi kabisa kwenye maji baharini au kwenye maziwa. Chakushangaza huku wakijua kabisa hao dagaa ni kitoweo cha binadamu ambaye ndiye mteja wao na kwamba binadamu hali mchanga wala mawe, lakini huenda na kuwamwaga mwaloni kwenye mchanga au nchi kavu ili...
Familia bora ni ile ambayo inayoishi kwa upendo na amani, lakini ili ubora huo utimie wanafamilia wanahitaji muda wa kukaa pamoja na kuzungumza mustakabali wa maisha yao.
Familia inayotajwa hapa inajumuisha wazazi yaani baba na mama, pia watoto ambao wamejaariwa kuwa nao. Lakini kutokana na...
December 30, 2019
Tanzania
Hali ya upungufu wa mavuno tishio la Usalama wa chakula Tanzania 2020 - 2021
Changamoto kubwa baada ya mafuriko na mvua nzito zisizo koma kukumba maeneo mengi ya Tanzania ni suala la usalama wa chakula kupitia akiba ya mazao kama mahindi, mpunga, mihogo, ulezi na...
Wakazi wa Mtumba wakimzika marehemu Edward Mabumba ambaye msiba wake umekuwa wa watu 55 kulazwa hospitali baada ya kudaiwa kula chakula chenye sumu. Picha na Habel Chidawali
Dodoma. Serikali imetoa amri ya muda kuzuia mikusanyiko kwenye misiba mtaa wa Mtumba jijini hapa. Amri hiyo inawataka...
Zitto kabwe amefilisika sana. Maneno yake kuhusu upungufu wa chakula nchini hayana mashiko.
Bodi ya Takwimu (NBS) ndio wa kwanza kusema kuna mfumuko wa bei.
Benki ya Dunia (WB) ikasema umasikini umepungua nchini hivyo watu wanamudu gharama za kununua vyakula.
Aidha, ripoti ya Utafiti wa kina...
Mameneja watatu wa shamba huko Baringo wafikishwa mahakamani wakikabiliwa na shitaka la kuweka sumu kwenye chakula na kusababisha vifo vya watu wanne na wengine kuathirika.
Watatu hao, ambao ni wasimamizi wa shamba walitambulika kwa majina ya Paul Kinyua na Evans Oyugi, na Nelson Letite...
Baada ya makala ya uchafu kwenye mabasi ya njia hii iliyofuatiwa na makala ya abiria kusafirishwa kama wafungwa , sasa nimewaletea makala ya vyakula wanavyolishwa abiria hawa wenye uchovu na njaa, na ambao wamepewa dakika 10 tu za kula pamoja na kuchimba dawa.
Natambua kwamba zipo makala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.