chakula

  1. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Karibuni chakula

  2. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Ni chakula, tunda au kinywaji gani unaona kipo overrated/underrated?

    Kwa upande wangu, Underrated Makande: Nimekuwa nikiona watu wakiyadharau sana makande eti kwamba ni chakula cha ajabu ila kwa mimi naona makande hayapewi heshima inayostahili. Jamii zote za makande kama; makande njugu, makande maharage zina mabalaa yake. Halafu itokee siku hiyo likachanganuwa...
  3. Mancobra

    JamiiForums Tanzania Underground Hip-Hop Tanzania ni chakula cha Ubongo

    Habari za wakati huu wakuu, mimi Ni mdau mkubwa wa game ya Hip Hop ya hapa Bong (mainstream na underground hip hop). Leo nataka tujadili kuhusu hip hop ya bongo especially, underground hip hop. Underground hip-hop Ni aina ya rap inayofanywa na wasanii ambao wamejikita kuelezea matatizo...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mama lishe, kuna soko kubwa la biashara mkiweza kusambaza chakula

    Biashara ya chakula inauzika na ina uhakika kwasababu kila siku watu wanahitaji kula. Wateja wengi wanavutiwa na ladha ya chakula pamoja na mandhari ya eneo. Katika maisha ya kila siku huku mtaani, wapo ambao hawana muda wa kupika nyumbani, wanatumia muda mrefu katika shughuli zao za kila...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Royal Oven Mlalakuwa wanauza chakula lala

    Hii imenitokea leo, na adha niliyoipata Mungu tu anajua. Ni maumivu ya tumbo la kuhara lililodumu kwa muda mrefu, na nashukuru kupata huduma ya choo mahali naikawa mkombozi ili nisiadhirike. Nikiwa na njaa mchana wa leo na nikaamua kupata bites pale Royal Oven Mlalakuwa. Nikanunua...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya chakula maeneo ya kazi

    Ndugu zangu Wana jamii, Leo naomba maoni yenu juu ya changamoto mnazo pitia katika huduma ya Chakula hasa mnpo kua katika maeneo yenu ya kazi. Ni wapi, unatamani ungepata huduma ya chakula kitamu na chenye ladha nzuri ,nipate kukuhudumia? Je, kuhusu bei ya chakula ungependekeza iwe katika bei...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Unapika chakula gani leo? Tupia picha ya chakula kikiwa tayari

    Hello wapishi. Leo ni siku ya sikukuu wa wenye imani ya dini ya Kiislamu, ila kwa kiwa sisi ni wamoja huwa tunasherehekea pamoja. Sasa leo unapika nini siku hii? Tushirikishe kisha tupia picha ya msosi wa Idd hapa baadae. Mimi nitapika pilau. Idd Mubarack.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Elimu bila chakula haiwezekani

    Habari ndugu wanajamii forum, Imekuwa ni kawaida kwa wanafunzi wa maskini wenzangu kukaa shuleni masaa kumi na mbili bila kula, yaani akienda shuleni saa kumi na mbili hapati chakula chochote mpaka saa moja usiku arudipo nyumbani. Katika pitapita katika mikoa mbalimbali nikagundua kuwa wote...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Waendesha bodaboda wamwaga chakula msibani, wadai marehemu alikuwa ananyimwa msosi

    Waendesha bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel (20) na kumwaga chakula na pombe kwa madai kuwa marehemu alikuwa hapewi chakula alipokuwa hai. Walifika katika msiba huo saa 9 alasiri jana Jumatatu Mei 3, 2021...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Somo : Ukipika Chakula Mchana wa Ramadhan unaruhusiwa kuonja lakini usikimeze , baada ya kuonja tema na funga yako itakuwa halali

    Asalam Aleykhum , huu hapa ujumbe kamili .
  12. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeambiwa ninenepe kidogo ili anikubalie. Naombeni mbinu za kuongeza mwili

    Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi. Back to the topic. Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa hataki. Lakini kidogo kidogo nikaanza kuruka kihunzi kimoja baada ya kingine. Vihunzi vilikuwa vingi sana...
  13. Queen official

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viungo vya chakula

    Habari, Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi? Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Hiki chakula kwa lugha ya kwenu wanaitaje?

  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuunguza chakula ukipendacho kikashindwa kulika?

    Natumai hamjambo wapishi, Bahati mbaya kwenye mapishi ipo unajikuta umeunguza msosi, mimi ilishawahi nitokea kuunguza nyama mpaka tukaimwaga maana ilikua chungu. Nikachezea fimbo za kitosha kutoka kwa mama maana nilikua nyumbani bado na nikalishwa ugali mkavu. Nikajifunza kutenga muda kwa...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wimbi la makundi ya nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua vinamaanisha kuwa mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula

    Shirika la kimataifa la misaada ya kibinaadamu limesema katika msimu huu mamilioni ya watu nchini Somalia hawatakuwa na chakula cha kutosha kufuatiwa na wimbi kubwa la nzige, hali mbaya ya hewa na kiwango cha chini cha mvua. Shirika la Save the Children limesema, mimea na mazao ya mboga mboga...
  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Kipi bora, kufurahia chakula haramu au kuendelea kuvumilia njaa?

    Natuamai mko powa. Toka Rais Samia aapishwe kuna watu wanahisi ni tumaini jipya Tanzania, hotuba hata 5 bado lakini watu wanahisi shida zao zimeisha. Ni kweli watu wapepata tumaini jipya? Magufuli alianzaje? Tumbua tumbua yake, fukuza fukuza yake, wafanyakazi hewa, vyeti feki, matamko matamu...
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mamlaka iwaruhusu watu waende kwenye mashamba na vijiji vya karibu wakajitafutie chakula, hapa tulipo ni nyika tupu

    Kutokana na ugumu wa ajira kwenye nchi hii naomba Mh Rais urahisishe mchakato wa watu kwenda nje ya nchi kutafuta ajira na kazi. Kikwazo kikubwa cha watu kwenda nje ya nchi ni passport na masharti yake. Hili limepelekea watanzania walio nje ya nchi wawe wachache sana. Nchi kama US kuna...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kundi la damu linaweza kubagua chakula? Mwanangu akila samaki anapata vipele na kujikuna. Nifanyeje?

    Mwanangu ana umri wa miaka miwili kasoro! Ana uchu wa samaki kinoma! Lakini bahati mbaya kila akila samaki anajikuna na kutokwa vipere mwili mzima mithili ya kupitiwa na mdudu washawasha! Je, nitumie mbinu au dawa gani ili mwanangu aendelee kula samaki bila shida hii ya kujikuna (allergy...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ala chakula cha gerezani kuonesha mfano

    Video hii hapa
Back
Top Bottom