Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya.

Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema,

“Kitu ninachojivunia ni kwamba waburudishaji bora wa Africa Mashariki wanatoka Tanzania, Wakenya wamebaki na kitu kimoja wanajua Kiingereza na wanatuzidi kuimba kuliko sisi, wana waimbaji bora sana”.

Je unakubaliana na kauli ya Master Jay?

Written By Mjanja1 M1 ✍️
 
100% ila amtoe

Rayvan,sarafina,mboso,kontawa,rapcha,

Mwingine aongeze
 
Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya.

Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema,

“Kitu ninachojivunia ni kwamba waburudishaji bora wa Africa Mashariki wanatoka Tanzania, Wakenya wamebaki na kitu kimoja wanajua Kiingereza na wanatuzidi kuimba kuliko sisi, wana waimbaji bora sana”.

Je unakubaliana na kauli ya Master Jay?

Written By Mjanja1 M1
Not necessarily ukubali au ukatae.
, in a civilized world you agree to disagree. Ni mtazamo wake.
 
Sijawahi kuvutiwa na uimbaji wa wasanii wa kikenya aiseee.

Kwa mfano najiuliza,msanii gani wa kenya anamzidi Marioo,simuoni,harmonize,simuoni,alikiba,simuoni,j melody,simuoni,rayvan,mbosso,banarbaboy,nandi,zuchu,simbasimbasimbadangote,na wengine.

Akili ya masterJ imeshazeeka,mziki ushampiga chenga
 
_20240202_163345.JPG
 
Niliwahi kusikia verse kutoka Zanzibar inasema,
Master J kaa chini nikupe kendo,
Karafuu zangu mwenyewe kuzisafirisha naambiwa magendo (weka hiyo mistari kwa lafudhi ya kipemba?

Master J anasema nini bhana
 
Back
Top Bottom