Mwakinyo makini
Member
- Dec 20, 2023
- 23
- 26
Habari wadau wa JF,
Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania.
Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi sijapata na pia mitandaoni wanaongelea juu juu. Jivyo nilikua naomba kama kuna mtu anaejua zaidi kuhusu io kozi na gharama zake na je ? ni degree and diploma kwa hapa bongo,muda wa kusomea na upande wa ajira zake umekaaje?
Naombeni msaada wana JF kwa anejua naomba asiupite huu UZI tafadhali.
Utakuwa umenisaidia sana.