Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,649
Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
 
Hatari sana, na ya yule alieimba angekuwepo rafiki nisingewaza!

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda

Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba

Na nukuu amaneno yake busara zake alikuwa mtu wa watu uyu mtu

Nuru aina mwanga mbele giza rafiki niliye mpenda amenitoka

Nilikuwa na marafiki sikatai lkn rafiki wa kwel bye bye

Akufa kwa ngoma donsalale siku yake ilisha fika pema alale

Uzuni isiyo kiwisha moyoni nashika tama sioni

Ananijia ndotoni swahiba ananiambia nisikonde

Rest in peace Mama
 
R.I.P Mama yako & R.I.P Jeby(mtunzi na muimbaji wa hiyo ngoma).
 
Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda

Angekuwepo rafiki nisingewaza rafiki kipenzi ninaye mpenda

Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba

Ayupo Tena Dunia swaiba niliye mpenda kwa kumoyo Swaiba

Na nukuu amaneno yake busara zake alikuwa mtu wa watu uyu mtu

Nuru aina mwanga mbele giza rafiki niliye mpenda amenitoka

Nilikuwa na marafiki sikatai lkn rafiki wa kwel bye bye

Akufa kwa ngoma donsalale siku yake ilisha fika pema alale

Uzuni isiyo kiwisha moyoni nashika tama sioni

Ananijia ndotoni swahiba ananiambia nisikonde

Rest in peace Mama
pole sana mkuu RIP MAMA
 
Naye pia hayupo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom