Kwanini Wanaolalamikia dini kama chanzo cha umasikini Bongo ni watu wenye uelewa mdogo

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,594
15,389
Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa.

Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga.

Kwa nini watu hawa wanauelewa mdogo.

1: Asilimia kubwa ya watu wanaosema wanadini na kumuamini Mungu wanaamini uchawi na ushirikina. Ni asilimia ndogo kama 10 tu ya watu wa dini ndio tuko committed 100%. Hivyo karibu 90% ya raia wangetosha kuleta maendeleo bila dini.

2: Nimezunguka kwenye ofisi za umma, nimeona, makampuni, masokoni kwa wafanyabiashara wote wako bize hakuna hata mambo ya dini ofisini lakini bado umeme wameshindwa, maji hakuna, madawa hakuna na nchi bado mambo yanaenda kwa kudemadema.

3: Asilimia kubwa y a wasomi wa nchi hii hawamuamini Mungu kama wanamuamini ni kwa kuungaunga lakini sioni mchango wao hadi tuipalazie dini.

3: China wameendelea hatujaona athari ya dini zao, wahindi hinduism, waarabu islam, wamarekani ukristo hasa wakiprotestant kote wameendelea na dini wanaziheshimu vilevile.

4: Asilimia kubwa ya watu hadi wachungaji na mashehe wanaamini sana dini za jadi za kichawi kuliko ukristo na uislam. Hata hawa tunaoona wanajaa TPekers hafuati dini wanaenda kanisani kama wanavyoenda kwa waganga kutafuta tiba. Bado dini za kitanzania za kijadi na kiganga zimefeli kuleta maendeleo.

Watuache watu wa dini za kikristo na kiislam. Msitupakazie umasikini. Umasikini wetu ni matokeo ya dini za mababu zetu na mila na desturi potofu.

Ni hayo tu.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niseme ukweli mimi ni mpinga dini,

hiyo hoja ya dini kuleta umaskini naitumia kuwashambulia tu, kiuhalisia viashiria vya umaskini ni vingi

halafu nikifatilia nagundua dini sio adui wa maendeleo, maendeleo ndo adui wa dini

maendeleo huondoa dini kwenye jamii huru ambapo dini sio lazima(hii inaitwa secularization)
 
Nafikiri hoja yao ni kwamba hizi nguvu na uwekezaji unaofanyika kwenye dini ungeelekezwa kwenye maendeleo ya science na technology. Mfano mtoto mdogo anamezeshwa bible na Quran lkn mtoto huyo huyo hajui chochote kuhusu science na uchumi.

Wenzetu wa nchi zilizoendelea watoto wadogo wana maarifa mengi sana kichwani lkn hawa wakwetu wanachojua ni kukariri vitabu vya dini tu.
 
Asante sana nimeelewa kwa uzuri
 
Quran sina uhakika ila biblia ikisomwa kwa mtazamo wa maendeleo hasa vitabu vitano vya Musa, mithali na mafundisho ya Yesu yanaweza kumfanya msomaji kuwa billionea au taifa kuendelea kwa kasi.

Kuna kitabu kinaitwa Unlocking jewish Code.
Kinaonyesha namna wayahudi wanavyotumia bible concepts na tafsiri zake kwenye Talmud kuwa matajiri.
 
Nafikiri hoja yao ni kwamba hizi nguvu na uwekezaji unaofanyika kwenye dini ungeelekezwa kwenye maendeleo ya science na technology. Mfano mtoto mdogo anamezeshwa bible na Quran lkn mtoto huyo huyo hajui chochote kuhusu science na uchumi.

Wenzetu wa nchi zilizoendelea watoto wadogo wana maarifa mengi sana kichwani lkn hawa wakwetu wanachojua ni kukariri vitabu vya dini tu.
Kwenye kumzezesha mtoto bible sio kweli, ila huo upande mwingine sawa!! Bora asiende shule ila sio madrasa!! Na huko ndiko kwenye shidaa
 
Naamini katika jadi yangu, nafuata katiba ya nchi yangu, nachapa kazi, ukweli utajulikana baadae. Hizi dini ni miradi ya watu.
 
Naamini katika jadi yangu, nafuata katiba ya nchi yangu, nachapa kazi, ukweli utajulikana baadae. Hizi dini ni miradi ya watu.
 
Niseme ukweli mimi ni mpinga dini,

hiyo hoja ya dini kuleta umaskini naitumia kuwashambulia tu, kiuhalisia viashiria vya umaskini ni vingi

halafu nikifatilia nagundua dini sio adui wa maendeleo, maendeleo ndo adui wa dini

maendeleo huondoa dini kwenye jamii huru ambapo dini sio lazima(hii inaitwa secularization)
Sasa nini kifanyike ndugu mwandishi?
 
Nafikiri hoja yao ni kwamba hizi nguvu na uwekezaji unaofanyika kwenye dini ungeelekezwa kwenye maendeleo ya science na technology. Mfano mtoto mdogo anamezeshwa bible na Quran lkn mtoto huyo huyo hajui chochote kuhusu science na uchumi.

Wenzetu wa nchi zilizoendelea watoto wadogo wana maarifa mengi sana kichwani lkn hawa wakwetu wanachojua ni kukariri vitabu vya dini tu.
Sahihi
 
Dini ina athari zake pia kwenye kuendeleza umaskini kwa watu hasa waafrika wasio jielewa.

Mfano yule mchungaji wa kule Ruvuma aliye aminisha wazazi wasipeleke wanao shuleni kwa vile Yesu ana karibia kurudi huoni kwamba ana andaa umaskini kwa vizazi vijavyo kwa jamii hiyo?

Dini zina aminisha watu kufanikiwa ni kudra za mwenyezi Mungu na mtu asipo fanikiwa anaridhika na hali yake akiamini ni kudra za mnyaazi Mungu..
 
Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa.

Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga.

Kwa nini watu hawa wanauelewa mdogo.

1: Asilimia kubwa ya watu wanaosema wanadini na kumuamini Mungu wanaamini uchawi na ushirikina. Ni asilimia ndogo kama 10 tu ya watu wa dini ndio tuko committed 100%. Hivyo karibu 90% ya raia wangetosha kuleta maendeleo bila dini.

2: Nimezunguka kwenye ofisi za umma, nimeona, makampuni, masokoni kwa wafanyabiashara wote wako bize hakuna hata mambo ya dini ofisini lakini bado umeme wameshindwa, maji hakuna, madawa hakuna na nchi bado mambo yanaenda kwa kudemadema.

3: Asilimia kubwa y a wasomi wa nchi hii hawamuamini Mungu kama wanamuamini ni kwa kuungaunga lakini sioni mchango wao hadi tuipalazie dini.

3: China wameendelea hatujaona athari ya dini zao, wahindi hinduism, waarabu islam, wamarekani ukristo hasa wakiprotestant kote wameendelea na dini wanaziheshimu vilevile.

4: Asilimia kubwa ya watu hadi wachungaji na mashehe wanaamini sana dini za jadi za kichawi kuliko ukristo na uislam. Hata hawa tunaoona wanajaa TPekers hafuati dini wanaenda kanisani kama wanavyoenda kwa waganga kutafuta tiba. Bado dini za kitanzania za kijadi na kiganga zimefeli kuleta maendeleo.

Watuache watu wa dini za kikristo na kiislam. Msitupakazie umasikini. Umasikini wetu ni matokeo ya dini za mababu zetu na mila na desturi potofu.

Ni hayo tu.
Dini ni ujinga ndiyo.
Wewe unamwombaje mtu usiyemuona akupe kazi na hela? Kama siyo ujinga ni nini?

Hizo pesa za kujenga makanisa na misikiti zingetumika kujenga viwanda na miradi ya maendeleo vijana wasingekuwa wanalia na ajira na uchumi wa nchi ungeongezeka.

Mfano msikiti wa kinondoni umejengwa kwa zaidi ya mabilioni ya pesa kutoka kwa waarabu, huo msikiti una faida gani kwa jamii ya mateja iliyouzunguka?

Mfano hizo hela zingetumika kutengeneza kiwanda cha nguo, kingeajiri vijana wengi pia kingeongeza uchumi wa nchi.

Misikiti na makanisa haiongezi uchumi wala haitengenezi ajira. Bali ni mwendo wa kuchuma mali za watu eti wanamtolea Mungu.

Kitu chochote kilicholetwa na mzungu au mwarabu hakiwezi mkomboa mweusi tofauti na kundidimiza.
 
Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa.

Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga.

Kwa nini watu hawa wanauelewa mdogo.

1: Asilimia kubwa ya watu wanaosema wanadini na kumuamini Mungu wanaamini uchawi na ushirikina. Ni asilimia ndogo kama 10 tu ya watu wa dini ndio tuko committed 100%. Hivyo karibu 90% ya raia wangetosha kuleta maendeleo bila dini.

2: Nimezunguka kwenye ofisi za umma, nimeona, makampuni, masokoni kwa wafanyabiashara wote wako bize hakuna hata mambo ya dini ofisini lakini bado umeme wameshindwa, maji hakuna, madawa hakuna na nchi bado mambo yanaenda kwa kudemadema.

3: Asilimia kubwa y a wasomi wa nchi hii hawamuamini Mungu kama wanamuamini ni kwa kuungaunga lakini sioni mchango wao hadi tuipalazie dini.

3: China wameendelea hatujaona athari ya dini zao, wahindi hinduism, waarabu islam, wamarekani ukristo hasa wakiprotestant kote wameendelea na dini wanaziheshimu vilevile.

4: Asilimia kubwa ya watu hadi wachungaji na mashehe wanaamini sana dini za jadi za kichawi kuliko ukristo na uislam. Hata hawa tunaoona wanajaa TPekers hafuati dini wanaenda kanisani kama wanavyoenda kwa waganga kutafuta tiba. Bado dini za kitanzania za kijadi na kiganga zimefeli kuleta maendeleo.

Watuache watu wa dini za kikristo na kiislam. Msitupakazie umasikini. Umasikini wetu ni matokeo ya dini za mababu zetu na mila na desturi potofu.

Ni hayo tu.
Dini inamchango kwene kushape akili za watu na value za dini ndo zinaweza sababisha watu fulani wawe masikini

mfano dini zinazosema watu waombe kwa allha wakiwa hawanapesa waombe, wakiwa wagonjwa waombe

Au dini zinazopinga technologia na science

Dini inajenga utamaduni ?
Na watu walioendekeza dini wengi n masikini
! Kama unadhan
 
Back
Top Bottom