bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. G

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele 2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio ya 2003 inasemekana alikuwa anamiliki ukwasi wa bilioni 1 ya enzi hizo 3. AY - Mzee wa commercial...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Matonya alivunja katiba ya bongo flava, hakushitakiwa

    Masterplan ya Tanga kuitawala Bongo Flava, ilianza kwa kutambulisha silaha yao ya maangamizi "Matonya", ambaye kinyonge, alilia “Uaminifu” akimshirikisha Bwana Misosi. Jamhuri yote ya Bongo Flava ilisaluti talanta ya Matonya. Halafu akapotea masikioni mwa watu. Tanga ikachekwa kuwa...
  3. Hyrax

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata manzi mtandaoni single mother anaishi ughaibuni, ananishawishi nihame bongo nifanyeje?

    Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza...
  4. UKWAJU WA KITAMBO

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pengo lingine kwenye tasnia ya muziki wa bongo Fleva. Richard Ramadhan Tunda afariki dunia

    RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN.. JINA: Richard Ramadhan Tunda KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35) ALIPOZALIWA: Kinondoni, Dar es Salaam.. KIFO : 16 Februari 2024. SANAA: Muziki wa Bongo Fleva.. HISTORIA YA MAREHEMU...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaolalamikia dini kama chanzo cha umasikini Bongo ni watu wenye uelewa mdogo

    Nimekaa hapa pembeni ya madhabahu natafakari hili kundi jipya la raia wanaolalamikia dini na kuzihusisha na umasikini wao binafsi na wakitaifa. Watu hawa ni wale ambao ukiandika chochote kuhusu dini na uweza wa Mungu wataponda na kusema uandike maendeleo dini ni ujinga. Kwa nini watu hawa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ifahamu miamba ya siasa za bongo kulingana na kanda

    Siasa za nchi zilileta ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa watu waliokubalika vilivyo kwenye kanda zao kiasi Cha kufikia kuitwa miamba. Ni kipindi cha kusisimua tulichopata kushuhudia kwenye siasa zetu miamba hii na bila shaka mwanzo wa mwisho wa kipindi hiko umefika. Na hii ndio miamba...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke mastaa waliovuma Bongo miaka ya 2000 mpaka 2010

    Kila nabii na zama zake. Leo tuwakumbuke mastaa waliovuma na kuitikisa bongo miaka ya 2000 mpaka 2010. Mastaa hao wanaweza kuwa walivuma kwenye kandanda, muziki, maigizo, siasa, nk Amina Chifupa wa Mpakanjia Alikuwa maarufu sana kwa wakati wake na pengine hakuna staa wa kike aliyemfikia kwa...
  8. Mwakinyo makini

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ni kuja kusomea Uinjinia wa ndege

    Habari wadau wa JF, Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi sijapata na pia mitandaoni wanaongelea juu juu. Jivyo nilikua naomba kama kuna mtu anaejua zaidi kuhusu...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

    Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Kitu ninachojivunia ni kwamba...
  10. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kibongo bongo nyimbo ya Daz Nundaz “Kamanda” ni nyimbo ambayo ukiiskia inaweza kukutoa chozi

    Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo ya kuhuzunisha kama hii
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  12. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Watanzania kupambana na haya tutibu kwanza

    Kabla ya kupambana na 1. Umaskini 2. Maradhi 3. Ujinga Kuna vya kutibu kwanza 1. Chuki 2. Tamaa 3. Unafiki
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti Momba anyeshewa na mvua akimtaka mhandisi kumaliza ujenzi wa shule mpya ya Naming'ongo

    Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya momba, Mathew Chikoti, akinyeshewa na mvua wakati wa ziara ya kukagua mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari Naming'ongo, na kuagiza mhandisi kuhakikisha ujenzi wa shule hiyo unakamilika haraka. Ziara hiyo ilikuwa chini ya kamati ya fedha, uongozi, na...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  15. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Wabongo wengi hawafanikiwi Majuu kwasababu ya Tabia wanazotoka nazo Bongo wanadhani na wazungu wanatabia hizo

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kiukweli nina wadau wangu kibwena sana wanaoishi majuu a.k.a Mamtoni. Jamaa huwa wananiambia kabla ya kwenda inapaswa nianze kubadili mtazamo,akili na muenendo!,Jamaa wanasema kule inapaswa Ujanja ujanja wa Kibongo na Uongo inapaswa siku naondoka...
  16. Candela

    JamiiForums Tanzania Hivi watafiti wa bongo hufanya kazi gani?

    Hivi hawa hufanyaje hizi tafiti zao. Maana navyojua sio rahisi kufanya utafiti hapa bongo hasa ukizingatia hatuna miundombinu rafiki. Hatuna uwekezaji wala wataalamu wanaoweza kufanya hizi zaidi ya ku dowload tafiti za watu wa nje huko. Kwa nini tunaziita tafiti ile hali ni copy na ku paste.
  17. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Bongo tutasubiri sana, kujikomboa bado sana, labda miaka 500 ijayo!

    Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige. Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss! Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana. Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka maneno ya Rostam Azizi kuhusu " Mapilato" wa Bongo kupigiwa simu za maelekezo

    Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani. Hakika aliongea ukweli na atakumbukwa sana kwa kauli yake hii na tutakuwa tunaifanyia rejea kila...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Citations za Maprofesa Bongo

    Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar. 1. Anthony Mshandete, 2439 citations https://scholar.google.com/scholar?hl=en&as_sdt=0%2C5&q=mshandete&btnG= 2. Kitila Mkumbo...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

Back
Top Bottom