Nimepata manzi mtandaoni single mother anaishi ughaibuni, ananishawishi nihame bongo nifanyeje?

Hyrax

JF-Expert Member
May 20, 2023
604
1,534
Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza kwenda kuishi kule na kwa msisitizo hata nikitaka nauli na process za visa zote atafanya yeye anachotaka ni kwamba muda wowote niondoke bongo kuanzia sasa tukaishi wote kule.

kila wakati nikiongea naye hili jambo analisisitiza sana nami nimekuwa mgumu kwenye maamuzi hayo maana nina ajira serikalini na rasilimali kadhaa ikiwemo biashara, kila nikitafakari jambo la kuhama nchi akili inanigomea naona naenda kuanza maisha upya umri wangu ni 34 na jambo linalonipa ukakasi kwamba umri huu bado naweza kwenda kutusua kule au ndio kucheza kamari za maisha?

Huku bongo nina watoto wawili ila mama tofauti na ninawahudumia jambo ambalo hata yeye nimemwambia akalipokea na kunielewa.

naombeni ushauri hata matusi ntayapokea. Shukrani.
 
Nenda ukaliwe taarabu.
 
Weka picha yake kwanza!
 
M

Mpaka utakavyotolewa hiyo figo na si ajabu marinda juu ndio utaelewa ya kuwa hii duniani ina watu na mashetani

Ukiamua kujilipua kwenda ng'ambo jilipue kwa michongo yako mwenyewe, kuweka imani kwa raia ambae hujawahi hata kukutana nae ni risk sana
 
Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza kwenda kuishi kule na kwa msisitizo hata nikitaka nauli na process za visa zote atafanya yeye anachotaka ni kwamba muda wowote niondoke bongo kuanzia sasa tukaishi wote kule.

kila wakati nikiongea naye hili jambo analisisitiza sana nami nimekuwa mgumu kwenye maamuzi hayo maana nina ajira serikalini na rasilimali kadhaa ikiwemo biashara, kila nikitafakari jambo la kuhama nchi akili inanigomea naona naenda kuanza maisha upya umri wangu ni 34 na jambo linalonipa ukakasi kwamba umri huu bado naweza kwenda kutusua kule au ndio kucheza kamari za maisha?

Huku bongo nina watoto wawili ila mama tofauti na ninawahudumia jambo ambalo hata yeye nimemwambia akalipokea na kunielewa.

naombeni ushauri hata matusi ntayapokea. Shukrani.
Kuna site niliingia dark web ya kuuza organ za watu na techniques wanazotumia kupata hao watu hakika ungeona huyo dada wala usingemtafuta au kumshobokea kabisa
 
Sina cha kukushauri kuhusu mahusiano yako na huyo bidada ila cha kukushauri ondoka bongo mara moja , bila kufikiri mara mbili tumia hiyo nafasi usepe bila kuangalia nyuma vingine utavikuta mbele ya safari.
 
Back
Top Bottom