biashara

  1. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 taaluma yangu ni ufugaji samaki kiwango cha elimu ni Diploma (Diploma in Aquaculture Technology) Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye hii industry nimefanya kazi katika miradi kadhaa katika mikoa ya Pwani, Shinyanga, Mwanza na Tabora. Kwa sasa nimejikita kama...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

    Funguka huenda ukapewa miongozo na wakuu hapa JamiiForums.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Nane ya pamoja ya Biashara (JTC) Kenya na Tanzania zakutana kutatua changamoto za Kibiashara

    JUMUIYA YA MKUTANO WA KAMATI YA NANE YA PAMOJA YA BIASHARA (JTC) KATI YA JAMHURI YA KENYA NA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUSHUGHULIKIA MASUALA YANAYOATHIRI BIASHARA TAREHE 18 - 22 MACHI 2024, KISUMU, KENYA. 1. Mheshimiwa Dkt William Samoei Ruto, Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mheshimiwa Dkt...
  4. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Majibu ya watu walionitafuta kuhusu komenti ya biashara Kariakoo

    Wakuu habari za uzima? Kuna uzi mmoja jamaa alianzisha kama sikosei ni Goodluck7 akiuliza biashara ya mtaji wa milioni 2. Nilitoka komenti yangu kuhusu kuja Kariakoo kufanya biashara kwa pesa hiyo. Nilipokea Pm nyingi sana lakini sikujibu hata moja sababu PM yangu haifunguki na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Instagram inatajirisha sana wadada wajanja. kwa biashara ya Niagize China nikununulie mzigo wako. Wadada wa 2000 wamepindua meza ya kupiga hela

    Habari wadau. ukweli mchungu vibinti ya 2000 vijanja sana. hasa vilivyokuja na mbinu ya niagize china nikununulie mzigo wako. Instagram na social media zingine zinatajirisha sana watu wanaojua kuzitumia kwa faida yao. Mfano mdada wa miaka 23 anaejiita Kim china business. ameshusha mijengo...
  6. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Baada ya biashara ya urembo wa magari sasa nipo natazamia hizi zifuatazo.

    Wakuu Habari za siku ? Natumai wengi ni wazima wa afya na wenye kuumwa mpate kupona na kuendelea na mapambano. Baada ya kuingia kwenye biashara ya urembo wa magari, kiukweli nimejifunza vitu vingi. Ikiwemo changamoto zake na jinsi biashara nzima inavyoendeshwa. Biashara hii imenifungulia...
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati. Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nchi ikiongozwa na mtu kama Rais Samia lazima watu wake wawe na furaha na biashara zitashamiri kama ilivyo sasa

    Watanzania tuachane na mentality za kijamaa zakuwapa majimbo watu wasio na nyumba wala utajiri wowote. Tuwakatae watu wasio na business mind kuongoza nafasi za kisiasa nchini kwetu. Kuendelea kuwa na viongozi wa kisiasa wanawaza kila saa kwamba wanaibiwa nikukosa exposure. Tuwe na viongozi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya Printing?

    Naombeni msaada wa mawazo. Ni maeneo gani ambayo naweza kufanya biashara ya PRINTING? Katika maeneo niliotaja BANANA KITUNDA AIRPOT GONGOLAMBOTO GOMZ
  10. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Jinsi ya Kuchagua Jina la Biashara

    Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa ujumla. Ni sehemu ya kwanza ambayo wateja wako wataiona na inaweza kuathiri jinsi wanavyoona biashara...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Hitilafu ya Benki ya Biashara yasababisha Wateja kutoa hela kwenye ATM bila kikomo

    Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo". Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza kuchukua pesa taslimu zaidi ya walizokuwa nazo kwenye akaunti zao za CBE. Zaidi ya Dola Milioni 40...
  12. Bata Boy Official

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wanaofanya biashara ya viatu vya mtumba

    Habari wakuu? Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua. Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Aibu: Waajiriwa wanaojiweza ni wengi kuliko wafanyabiashara. Maeneo ya kishua kuna waajiriwa wengi kuzidi wafanyabiashara

    Inashangaza sana kuona nchi iliyobarikiwa rasilimali kibao kukuta wafanya biashara waliotoboa ni wachache, WHY? Mbaya zaidi karibu top 20 wote ni wageni waarabu na wahindii kina Bakhresa, Mo, GSM. bado nawaaita wageni sababu huwa wanaishi kivyao, huoana wao kwa wao, huzikana wao kwa wao, si...
  14. Jeep wrangler

    JamiiForums Tanzania Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei. Kila mtu aligeuka dalali. Pale Mnazi Mmoja wakazaliwa madali wenye vitambi na kiburi, huwezi uza gari...
  15. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Je, ulinzi shirikishi ni biashara haramu?

    ✳️JE ULINZI SHIRIKISHI NI BIASHARA HARAMU!? 🔜JE, NI NANI MWAJIRI WA HAWA POLISI JAMII, NA JE WAPO KISHERIA NA MAFUNZO YAO WAMEYATOA WAPI!? 🔜KWANINI WANANCHI TULIPIE ULINZI SHIRIKISHI WAKATI TUNALIPA KODI!? 🔜NA IKIWA TUNALIPIA, JE POLISI JAMII WATAWAJIBIKA KUTULIPA FIDIA IKIWA WAMESHINDWA...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutengeneza na kuuza, ndio itakayo timiza ndoto zako

    Biashara yoyote inahitaji uvumilivu; wengi wanaamua kufunga biashara zao na kulalamika kwa sababu wanakuwa wamekosa uvumilivu. Na hasa ukiingia kwenye hii biashara ya kutengeneza na kuuza, muda mwingi wewe unakuwa unatoa pesa tu; mpaka uje uanze kuona faida inachukua muda mrefu. Unapotaka...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

    Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k. Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
  18. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanyabiashara wa dhahabu wazoefu naomba ufafanuzi hapa

    Habari za wakati huu wanajulkwaa. Dhumuni kuu la kushusha uzi huu ni kupata muongozo juu ya biashara ya dhahabu naona ipo juu sana kwa bei kulingana na asilimia(%). Kwa hapa Buzwagi ndogo Igunga hali so poa kidogo vp huko ulipo uhali gani upepo wa mgodi na je kwa wale wazoefu au wakongwe wa...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Taasisi ya Mwalimu Nyerere imejikita katika biashara ya togwa kwa wazanaki na wasizaki, iwe na utaratibu wa kuwa na kitabu kila mwaka

    Nashauri taasisi hii iwe na kitabu, au tuite journal ambayo itatoka kila mwaka ikiwa na makala(articles) za wanasiasa mbalimbali, wataalamu, wa ndani na nje ya nchi wakijadili mambo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Imagine umwambie Ziito, Jk, Samia, Museveni, Kagame(japo mtu wa hovyo, ila hata...
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Biashara inayostawi kati ya China na nchi za nje inatoa ishara gani?

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, kuanzia mwezi Januari hadi Februari mwaka huu, thamani ya jumla ya biashara ya bidhaa kati ya China na nchi za nje ilikuwa dola bilioni 930.86 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na...
Back
Top Bottom