biashara

  1. P

    Mikoa ya kujenga kwa ajili ya biashara

    Habari zenu, Tanzania ni kubwa na tuna mikoa mengi lakini ni mikoa gani mnahisi ni nzuri kwa ajili ya kujenga apartments kwa kukodisha. Namaanisha mikoa yenye good return in investment. Asanteni
  2. Brain Kingdom

    Single Mothers ndio wanaongoza kwenye biashara ya ngono miji yote iliyochangamka Tanzania

    Pamoja na kwamba biashara ya ngono imekuwepo tangu enzi na enzi, katika nyakati za miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko la wanawake kuzaa nje ya ndoa bila kuwa na msingi wowote kimaisha, na wengine baadhi wameachika kwenye ndoa, wengine ni ndoa za vichaka yaani michepuko. Shuhuda yangu...
  3. Roving Journalist

    Afrika na NORDIC zakubaliana kuboresha biashara na uwekezaji

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa Nchi za Nordic wakubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia pamoja na kukuza uwekezaji baina ya nchi hizo. Makubaliano hayo yameafikiwa wakati wa Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za...
  4. matunduizi

    Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu. Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo. Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
  5. I

    Biashara ya mtumba

    Hello guys, Kama upo na mtaji niletee mzigo wa belo za baibui za mtumba tufanye kazi, fremu ipo good location, unaweza kujitengenezea laki 3+ kila mwez. Belo moja ya baibui grade A ni km laki 6-7. Nipo Zanzibar, any one interested na hiyo biashara nione, serious people only kama nilivyofanya...
  6. B

    Nifanye biashara gani. Ushauri wenu unahitajika

    Wakuu poleni na majukumu. Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho Ushauri wenu ni muhimu sana
  7. Blacklight

    Daima mtu anayefaidika na ushindani ni mteja na siyo ninyi wafanyabiashara

    Kwenye Dunia hii ya mabeberu watu wanaoongoza kutengeneza hela ni wafanyabiashara, wakifuatiwa na watu wenye vipaji, kisha watu wenye taaluma zenye demand kubwa na kuendelea. Huenda this fact imewafanya watu wengi waamini biashara ni mlango wa nyuma wa benki, yaani njia ya kupata hela nyingi...
  8. S

    Wahudumu wa bar bila kuvaa nguo fupi, biashara haiendi?

    Hili ndio swali ambalo siku zote huwa najiuliza. Nani aliwaambia wamiliki wa bar kuwa wanaume tunaenda bar kuangalia mapaja na sio kufuata huduma bora? Na hili tutasingizia wazungu au utandawazi? Vidada vingine hata miguu na mapaja havina, ila vinalazimika tu kujianika. Pumbafu kabisa.
  9. Mhaya

    Yericko Nyerere atoa ushauri kwa serikali na TISS zianze kufanya biashara ya taarifa za kijasusi

    Katika mahojiano yaliyofanyika kwenye Channel ya YouTube ya Simulizi Na Sauti (SNS) kati ya Sky Walker, DJ Smaa na Yericko Nyerere. Nguli wa uchambuzi wa mambo ya Siasa na uchumi wa kivita na ujasusi, Yericko Nyerere amesikika akiishauri Serikali ya Tanzania na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)...
  10. H

    Uwepo, biashara na Uwekezaji

    UWEPO MWENYE ENZI MUNGU akaiumba DUNIA. Hakika katika Dunia MWENYE ENZI MUNGU akawaweka VIUMBE wengi sana na akampa mamlaka makubwa ya UFAHAMU kiumbe Mmoja tu BINADAMU. Binadamu wamepita wengi sana huko nyuma na leo hii UPO WEWE na ndo maana hukuwepo mwaka 500 upo SASA hivi 2023. Sasa...
  11. tzhosts

    SOFTWARE Biashara ya Mtandao Inauzwa-Online Business for sale

    Nature of Business: Ecommerce/Online,Softwares/System/IT Nature of Products: Webhosting Services/CRM and ERP Systems Annual Revenue Potential:5,000,000-25,000,000 What you Get: Training and Products Orientation Full website with products and Emails Full Marketing Support(Branding and Promotion)...
  12. E

    Waziri wa Afya atuombe radhi Wakulima na Wafanyabiashara ya matunda

    Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri Tanga ni wakulima wazuri sana wa matunda hivyo kama mbunge anayetoa Tanga tulitegemea ahakiki taarifa aliyopewa na wataalamu...
  13. Pain 01

    Je, Geita ina fursa gani?

    Wakuu nataka kuja Geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu? Aidha lodge bei nafuu, mishe nknk
  14. GENTAMYCINE

    Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  15. Pfizer

    Kamishina Kafulila: Biashara kati ya Tanzania na India ni zaidi ya Dola Bilioni 24 ndani ya miaka 10

    KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership-PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila, amesema hadi kufikia 2027 India itakuwa Nchi ya tatu kwa ukubwa wa Uchumi Duniani. India wana Miradi ya PPP 998 katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  16. B

    Biashara ya dhahabu kwa mtaji wa 25M

    Habari, Naomba msaada wa kujua namna nzuri ya kufanya hii biashara ya dhahabu (Based in chunya) kwa mtaji mdogo wa 25M
  17. Masokotz

    Fahamu Kuhusu Mchanganuo wa biashara

    Mchanganuo wa biashara ni hatua muhimu katika mchakato wa kuanzisha au kuendeleza biashara. Inahusisha uchambuzi wa kina wa mambo mbalimbali yanayohusiana na biashara yako, na inaweza kusaidia kutoa mwongozo wa kufanikiwa kwa biashara yako. Unaweza kuwa na mchanganuo wa biashara ambayo tayari ni...
  18. M

    Wazo la biashara mtaji kwa milioni 5 kwa Mwanza

    Hello wanajamvi Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom Natatanguliza shukrani zangu kwa wakazi wa Mwanza. Naomba mnisaidie
  19. R

    Biashara ya nguzo za umeme za Miti

    Naomba wenye uzoefu nayo hii Biashara(Ya Kuuza Nguzo za Umeme za Miti) tushee ideas mbali mbali kuhusu uendeshaji wake na dondoo mbali mbali za hii biashara.
  20. Kamanda Asiyechoka

    Mbowe siasa sio biashara. Siasa ni maisha ya watu acha uzandiki. Rudisha chama mikononi mwa Wapinzani wa kweli

    Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini? Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu? Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike? Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni...
Back
Top Bottom