Ni biashara gani ambayo huelewi faida wanapata vipi?

Ujenzi wa maghorofa makubwa ya biashara na ofisi,wanapataje faida...?
-Ujenzi una gharimu mabilioni.
-uendshaji wa Majengo unahitaji mamilioni
-Kodi zao zipo juu
-Majengo mengi hata nusu ya floor zote zipo wazi.
Ghorofa la kawaida wanapangisha kwa square meter 1 USD 9. Hayo ni ya Sinza Kijiweni kwingine ni USD 14 mpaka 20

Ofisi inahitaji angalau SQM 150 na ofisi inayojielewa kupanga Sinza Kijiweni sidhani.

Kampuni ya usafi na ulinzi wanaoutsource. So tenda atagewa Castr entreprise na Castr Security.

Walinzi wa jengo wanaolipwa na jengo utakuta ni wawili tu. Ambapo kampuni iliyogewa tender inaambiwa iripoti kwa hao wawili.
 
Majengo ni mengi kuliko Idadi ya makampuni na watu binafsi wenye uwezo wa kulipia hizo square metres...
barabara ya A.Mwinyi na CocaCola Kuna Majengo mengi yalijengwa, na kukaa empty miaka kadhaa.
Hata Kivukoni kuna maghorofa yapo empty
 
Back
Top Bottom