biashara

  1. Wangari Maathai

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogondogo zinaweza kukutoa mapema ukipeleka mnadani

    Mimi nadhani ni sehemu za kuuza vitu vingi vingi kwa bei nafuu kiasi. Mimi naamini ukiamua kukomaa na minada unaweza toka na hela nzuri sana tu. Nadhani kuna mikoa na mikoa yenye minada mizuri, nyie vijana ambao hamjui mfanye nini fanyeni biashara za vyombo vile vya bei ya chini. Jana nilienda...
  2. masai dada

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukusanya takataka viunga vya jiji la Dar kwa kutumia trecta

    Wakuu salaam, Kwa ambaye ana ufahamu na hii biashara, naomba muongozo na sio kwa kutumia gari ni kwa kutumia trecta. Naomba mchanganuo na kwa kifuli nini cha kuanzia. Sina kampuni.
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Zambia yaridhia kufanyika kwa biashara ya bangi

    Serikali ya Zambia imehalalisha kilimo cha bangi kwa sababu za kiuchumi na tiba. Kwa hatua hiyo, taifa hilo linakuwa la hivi karibuni kabisa katika kuridhia matumizi ya bangi. Kwa mujibu wa taarifa ya msemaji mkuu wa serikali ya Zambia, Dora Siliya, idhini ya kufanya biashara ya bangi...
  4. zegamba180

    JamiiForums Tanzania Punguzo la bei kwa softwares za biashara

    Fanya biashara yako kijanja na kisasa zaidi. Tuna Software ya: 1. Shule: kuanzia nursery hadi Chuo. Ina vipengele vinne Academic, Library, Account na Payroll Taarifa za usajili wa mwanafunzi, kutunza rekodi ya majaribio/mitahani, kutoa ripoti, kutunza kumbukumbu ya...
  5. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Orodha ya biashara za kujifunzia biashara

    Habari, Wengi wameenda Business school, wamesoma uchumi, wamesoma marketing na wengine wamefanya mpaka PhD katika maeneo ya biashara lakini bado wanapokuja katika real life situation wanajikuta wakikwama katika biashara nakujikuta wakikata tamaa. Ni ukweli usiopingika kwamba ili uweze kufanya...
  6. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Jipatie Mtaji - kwa wazo zuri la biashara

    Watu wengi tumekuwa tukilalamika kuhusu kukosa mitaji ya kufanya biashara na kutuwezesha kujiajiri. Ukosefu wa mitaji umekuwa ni kilio cha vijana, wazee, walemavu, wakina mama na kila mtu. Hata mimi ni mmoja wa hao ambao nilifikiri kwamba nahitaji mtaji ili niweze kutimiza malengo yangu. Katika...
  7. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Mafanikio: Jinsi ya Kubadili tabia na Mtindo wa Maisha ili kufanikiwa katika biashara

    Tabia ni nini:Tabia ni mambo au matendo ya kimazoea ambayo unaweza kuyafanya au kutokuyafanya bila kutafakari,kuhofia au kujali matokeo yake.Ni utaratibu uliozoeleka na kukubalika kwa mtu mwenyewe kutokana na mazoea aliyojijengea.Tabia inaweza kuwa nzuri au mbaya katika muktadha fulani na...
  8. vini23

    JamiiForums Tanzania Mwenye uweleewa wa biashara ya alluminium Windows na frame

    Ndugu wapendwa mimi ni kijana mwenye uchu wa maendeleo,ninapatikana Dar es salaam nataka nifungue office ya kutengeneza alluminium,Mm si fundi bali nataka kuajiri mafundi na niwalipe kulingana na kazi.Napenda kujua vifaa vinavyohitajika,mtaji wa kuanzia,upatikanaji wake,soko la...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

    Kurejea kwa usafiri wa treni ya abiria kati ya Dar es Salaam na Moshi baada ya kupita miaka 25, kumetingisha usafiri wa mabasi kwenda mikoa ya kaskazini kutokana na idadi ya abiria kudaiwa kupungua. Kwa kawaida kila mwishoni mwa mwaka huwa kuna mahitaji makubwa ya usafiri wa abiria wa kuelekea...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi : Mamlaka zavuruga biashara ya dawa za binadamu nchini Tanzania , Wenye vibali halali wakandamizwa wasionavyo wapeta

    Nchini Tanzania iko sheria inayosimamia uendeshaji wa biashara ya dawa za binadamu , inaitwa Pharmacy Act , humu imewekwa miongozo na utaratibu wa namna ya kufanya biashara hii. Nikiri kwamba mimi si mtaalam kabisa kwenye sekta hii lakini nilipata msukumo wa kuchunguza sekta hii baada ya...
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Chama cha wamiliki wa daladala, mpeni tuzo Nabii Mwamposya kwa kuwasaidia kuingizia mapato makubwa kwenye biashara zenu

    Hakuna njia yoyote ya mabasi ya daladala yenye uhakika wa kuingiza pesa nyingi kama njia ya mabasi yanayoenda kawe liliko kanisa la Mtume na Nabii Bulldoza Mwamposya. Daladala wanapiga ROUTE na kupakia hadi basi hadi zinashindwa kuhimili uwingi wa watu wanaofurika kwa Mwamposya. Wamiliki wa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons wa biashara Tanzania wanakufa sana?

    Nimekuwa nikiujiuliza mbona kipindi hiki Mabwenyenye/tycoons/Matajiri au ukipenda wenye Hela zao wanakufa sana? Napatwa na wasiwasi wa kutikisika kwa sekta binafsi. Rejea 1. Sir Andy Chande 2. Reginald Mengi. 3. Rugemalila/Ruge Mutahaba 4. Ally Mufuruki 5. Ndesamburo/Ndesapesa 6. Ongeza wengine...
  13. Zitto

    JamiiForums Tanzania Buriani Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi mwenye mapito mengi kwenye Biashara

    Buriani Mzee Ali Abdul Mufuruki, Mhandisi Mwenye Mapito Mengi Kwenye Biashara “Zitto mnahitaji mgombea Urais anayeijua sekta binafsi vizuri asaidie kuijenga Tanzania, ongea na Ali Mufuruki agombee Urais” yalikuwa maneno kutoka kwa mmoja wa rafiki zangu, mwaka Jana katikati ya sakata la zao la...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hata mate ushindi wa kishindo kwenye primaries kijani itabaki kuwa bidhaa ya biashara na mboga zetu.

    Wamama wanaojielewa hawa.
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kupata wateja wa hizo fremu

    Biashara yeyote duniani ikianzishwa watu wenye biashara huanzisha ushindani wa kutafuta wateja. Tanzania ni nchi pekee duniani ambapo watu hushindana kujenga fremu za biashara lakini hawashindani kutafuta wateja wa kupangisha fremu na hivyo kusababisha mifremu mingi kuwa mitupu isiyo na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna tofauti kati ya biashara na ajira

    Salam wajomba na mashangazi, Kumekuwa na tabia ya watu kutaka kuumwambfy ujasiriamali/biashara na kuufanya uonekane ni bora zaidi mara elfu moja ya ajira lakini ukichunguza kwa makini advantage iliopo katika ujasiriamali ni ndg sana.kivp? angalia hapa. Ulinganishi wa juu...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa

    Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa. Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza biashara ndogo ili biashara kubwa Jitahidi pia kujua washindani wako wanafanya nini haswa wale ambao...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

    Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi. TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza. Hawa wawili ndio mashetani...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Madiwani wa Mji Masasi wadai malipo ya Korosho yamechochea biashara ya ngono

    Malipo ya Korosho kwa wakulima wilayani Masasi Mkoani Mtwara yametajwa kuwa ni chanzo cha ongezeko la uwepo wa kina dada wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo ili kujipatia fedha hizo za korosho. Hayo yalisemwa jana wilayani Masasi na Madiwani wa halmashauri ya mji Masasi walipokuwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Jumia wafunga biashara yake nchini Tanzania

    Kampuni ya kuuza bidhaa mtandaoni JUMIA yenye branch zake mbalimbali Afrika leo tarehe 27/11/2019 imefunga ofisi zake ramsi, hata hivyo imebakisha kitengo kimoja kinachohusisha mauzo ya chakula pekee. Ukitoa ofisi za Tanzania pia wamefunga ofisi zao za nchini Cameroon, kwa madai kuwa ofisi hizi...
Back
Top Bottom