biashara

  1. Brojust

    JamiiForums Tanzania BIASHARA; MLANGO WA ALUMINIUM Mita 3.5 Urefu x Mita 2.5 upana; Nipo Buguruni. 0710782874

  2. J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya playstation

    Habarini wakuu Mimi ni kijana wa miaka 23 lengo la Uzi huu ni kuomba msaada jinsi ya kuanzisha biashara ya playstation. Nina plani za kuanzisha biashara hii baada ya kumaliza masomo yangu ya elimu ya juu hapo mwezi wa saba baada ya kujikusanya hela ya boom Nina kama M1.5 .hivyo nahitaji...
  3. ZOYA internet

    JamiiForums Tanzania Pata unlimited bundle kwa bei nafuu

    Wadau nimekua na idea ya biashara ila naombeni, niwashirikishe mlitafakari kwangu naona linaweza kulipa sana!!. Wazo lenyewe bila kupoteza mda ni: HUDUMA YA WI-FI YA UNLIMITED KULIPIA KWA MWEZI Tufanye hivi kama upo maeneo ya biashara, chuo, maofisini au popote ambapo kuna watu wenye matumizi...
  4. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  5. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la biashara japo la naliuza

    Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid sna Ni leseni yako tu itakuweka salama na mtaji wa angalau milion 3 na ukiwaa Zaid utapiga Zaid pesa...
  6. Mus_musa

    JamiiForums Tanzania Utajiri Biashara ya Hardware 5mil Pekee

    Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki. Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi. Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware kuanza kuuza vitu vidogo vidogo vinavyo toka kila siku mfano Vitasa vya mlango, Rangi 5L, Misumali n.k...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Dini anayetakiwa kuwa Mfano kujihusisha na Biashara ya Watumwa hii imekaaje?

    Wote tunajua madhara tuliyopata kutokana na Biashara ya Utumwa; Tena ambayo ilituwrka sisi waafrika kama bidhaa ya chini kabisa ya Watumwa. Naomba mtu anionyeshe andiko linaloonyesha Yesu kujihusisha na Biashara ya Watumwa. Vinginevyo Mwamba hapa anayeusumbua Ulimwengu kwa vita zote zinazotokea...
  8. amudamud

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu biashara ya vifaa vya electronics

    Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Umemaliza chuo au umeajiriwa fanya biashara zinazohusiana na baadhi ya courses zako ulizosemea chuo

    Kosa moja tunalifanya waajiriwa ni kukurupa kujenga nyumba Kwa mikopo huku nyumba zenyewe hazimaliziki wakati pango la nyumba tu inaweza ikawa million Kwa mwaka na ukaimudu vizuri tu. Sisemi kwamba watu wasijenge ila kuna ushauri mbalimbali humu ndani tumeona bin heri kujipata kwanza kwenye...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni maoni yenu juu ya biashara ya water refilling station vyuoni.

    1.bei ya Hizo water ATM 2.zinapatikana wapi nchini 3.changamoto zake na faida zake 4.mahitaji yake (leseni? Vibali? N. K)
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Eti wadau kuna biashara ya kukodisha concrete mixer na ikafanya vizuri?

    Habari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena Kwa mikoani huku kweli nitakuwa nimefanya uwekezaji wenye matokeo nikinunua hio mashine?
  12. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 10, biashara gani mnanishauri nifanye maeneo ya Kahama?

    Wana jamii kwanza habari zenu, Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni. Naombeni miongozo yenu, naamini hamtaniangusha.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kama naweza kununua dhahabu iliyochomwa

    Naomba kuuliza wakuu, Natamani kuanza biashara ya kununua dhahabu iliyochomwa kutoka kwa wachimbaji wadogo 1. Je, kuna taratibu za kisheria na kama zipo ni zipi 2. Mtaji ni kiasi gani? 3. Faida ni kiasi gani kwa mfano mimi nina milioni moja -kwa mwezi naweza kuongeza mpaka shilingi ngapi? Kwa...
  14. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za wanaharakati wa CHADEMA kupewa pesa na viongozi wa CCM zinaenda kukizamisha chama, Martin Maranja atajwa

    Nanukuu alichoandika mjumbe wa bavicha, kamanda Faustine "….. waraka wa Wazi kwa Martin Maranja Masese, MMM na Watu wote. Mwenyekiti wetu wa Chadema Taifa (my role model) alipo ona opportunity ndogo ya kuketi na kuzungumza na Samia namna bora ya kuleta mabadiliko ya kimfumo na upatikanaji wa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara kuneemeka kesho

    Kwa hali ilivyo kesho ni siku nzuri sana kwa wafanyabiashara au watoa huduma katika sehemu zufuatazo. 1. Wasafirisha hasa bodaboda hapa watatowa watu sehemu moja kwenda nyingine sana hasa kuanzia nyakati za jioni. 2. Kumbi za starehe, hapa watu watakuwa wakipongezana na kubadilisha mawazo. 3...
  16. Kv-london

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Nataka kujenga frame ya biashara kwa mkataba

    Habar wakuu huku ndani, Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU. Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Je, Human Trafficking, Biashara ya Vigogo Tanzania?

    Kama sio Vigogo , basi wake zao , kama Si wake zao basi ni Chawa, kama Si Chawa basi ni CCM haiwezekan ndan ya mwez, V8 2 zikamatwe , Moja ikiwa na bendera ya CCM ,Leo hii ni STL. Siamin kama CCM imefikia hapa, nachoamin CCM imevamiwa na Majizi!!. Nimalizie kwakusema, Wakati wa JPM hayakuwepo...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ukifanya biashara hizi na kuweka nguvu haswa uhakika wa kufanikiwa ni 100%

    Mafuta Vyakula Madini Usafirishaji Fedha Media Elimu Afya Dini/kanisa Michezo Utalii Mifugo Vifaa vya ujenzi Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

    Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara, Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya oil na vilanishi vya vyombo vya moto (magari na pikipiki)

    Habari wanajukwa wa JF Naomba elimu na ushauri kuhusu biashara ya vilainishi (oil and lubricants) vya vyombo ya moto kama vile magari na pikipiki, mtaji kiasi gani unahitajika? location ya kufungua ofisi, machimbo ya kufungashia mizigo, faida na changamoto
Back
Top Bottom