Habari wana jamii!
Ukiwa unapita kariakoo utasikia matangazo ya biashara mengi yaliyo rekodiwa na mara nyingi huwa yanafanana sauti Kana kwamba ni mtu mmoja ama yawezekana kuwa ni mtu mmoja.
Ni wapi naweza kupata mtu ama office inayofanya shughuli hizo za utamgazaji wa biashara kwa njia ya sauti?
Wakuu ushauri wenu ni muhimu Kwa kijana wenu hapa, Mimi ni Mwalimu wa physics na chemistry nipo nkasi-rukwa, form six nilipata division two PCB point 11, nipo kwenye kufundisha Mwaka wa pili Sasa, naona ni wakati wa kuwaza nje ya box.
Kwenye Ili Chaka nimekuta watu wapo zaidi ya miaka 10 lakini...
Ndugu zangu
Ukituliza akili na kuyatafakari kwa kina mahusiano ya sasa utagundua wanawake walio wengi wameyageuza ni biashara ya kuuziwa bidhaa ambayo hubakiwi nayo huku sisi wanaume tukifanywa ndiyo mitaji yao
Utagundua kabisa katika hii biashara wanawake hawana cha kupoteza zaidi ya sisi...
Nina shamba la ekari 21 mkoani Kigoma. Mwezi uliopita, nilimwachia mtu mmoja jukumu la kupanda miti kuzunguka mpaka wa shamba.
Nilipokuja kulikagua hivi karibuni, nilikuta kaotesha tofauti na nilivyomwelekeza. Kakata eneo la ekari tatu na kufanya shamba la miti.
Sikumgombeza. Wala...
Habari wadau!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,ijue biashara ya nywele faida na changamoto zake,kwanza kabisa naweza kusema biashara ya kuuza nywele za bandia ni kama biashara zingine,inakuhitaji ufanye tafiti kabla ya kuingia kwenye biashara hiyo ili uweze kujifunza namna ya kuifanya kwa...
Nimejiuliza sana swali hili bila kupata majibu. Nini kinakwamisha maendeleo ya biashara ya gas ya KUENDESHA VYOMBO vya moto hata nchini?
Baadhi ya maoni ya wadau ni kwamba Serikali haijatilia mkazo kwakuwa haipati Kodi kubwa kama kwenye mafuta.
Wengine wanasema wafanyabiashara wakubwa wa...
Habari wakuu,
Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta.
Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano.
Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
Habari zenu wapendwa,
Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000.
Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mf:
1. Mahitaji muhimu (vifaa nk.)
2. Namna ya...
Ni muda tena.
Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka.
Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza unga, mchele, mafuta, maharage nk inahitaji awe na nini (Vibari gani kisheria)
Anamaanisha je...
Wakuu wa JF,
Naomba kuuliza ni sehemu gan hapa Dar kwa mwaka huu 2024 Kuna fursa nyingi za kibiashara kwa sisi wenye mitaji midogo kama 3M ambapo maybe kuna nyomi la watu wengi, mzunguko wa pesa ni mkubwa na labda ndo panachipukia kwa kasi sana kibiashara?
Na sio hii kitu elimu ya dini, yaaaani serikali inafikia hatua kutilia mkazo tahahusi yza kidini wakati masuala ya umuhimu kama hapo juuu mtuu unakutana nayo secondary taifa tungekuwa mbali.
Nawasilisha.
Habari za jioni from Moshi town
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika kundi hili. Nchi hizo zina makao makuu ya nchi madogo kuliko jiji au majiji ya Biashara. Nitatoa...
Mar 26, 2024 10:52 UTC
Guterres atoa wito kwa nchi za Magharibi kulipa fidia Waafrika kutokana na biashara ya utumwa.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kulipwa fidia watu waliosafirishwa kwa njia haramu kama watumwa kutoka Afrika hadi katika nchi za Bahari ya...
Habari za Asubuhi wakuu humu ndani natumahi mko poa.
Sasa kama mada inavyojieleza hapo juu, mimi nimekuwa nikifanya utafiti mbalimbali hapa Dar es Salaam kuhusu biashara ambazo mtu ukizifanya kwa sasa ni haraka tu unatoboa kimaisha. Miongoni mwa biashara hizo ni biashara ya kuuza nafaka kwa...
Hello wanajamii,
Baada ya kuwasaidia zaidi ya wafanyabiashara 3000 kujenga biashara mtandaoni, moja ya swali ninaloulizwa sana na watu ni formula nzuri ya kupata wazo zuri la biashara.
Nimejibu swali hilo katika video ifuatayo: https://www.youtube.com/watch?v=oN9ZQWzAoxk
Enjoy.
Kama una...
Habarini WanaJF,
Nina mtaji wa laki moja na elfu hamsini nataka niagize bidhaa KUTOKA CHINA. Je, ni bidhaa gani nikiagiza itanipa at least faida ya nusu ya mtaji wangu?
Napokea ushauri wenu
Asanteni🙏
Stamara wajada ni msingi kwenye kila kitu tunachokifanya, Kama wanasiasa wasemavyo vijana tujiajiri huku wao wakiendelea kukaa maofisini na wengine wakiroga waendelee kubaki kwenye hizo nafasi.
Kijana wa kimaskini nikasema ngoja nirushe ndoana katika ulingo wa biashara ndogo ya mtaji wa kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.