Bata Boy Official
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 259
- 308
Habari wakuu?
Wanasema ndege wenye manyoya ya kufanana huruka pamoja. Na mimi pia naamini kwenye mzunguko wa watu wangu wa karibu nikiwa na watu wanaofanya kitu kama changu itanisaidia kukua.
Mimi nafanya biashara ya viatu vya mitumba lakini kwa sasa bado nipo hatua ya ku-pin-point(chambuu/kusagura) viatu karume. Bado sijafika hatua ya kununua Belo Zima.
Najua biashara ukiachilia mbali changamoto lakini pia zina siri nyingii sana na codes, ambazo kuzijua inahitaji kuwa karibu na wazoefu.
Namkaribisha mtu wa level na aina yoyote anayefanya biashara ya viatu vya mitumba. Ndoto na hamu yangu ni kukua na kuwa mfanya biashara mkubwa Mungu akitupa uhai.
PM yangu ipo wazi. Ukihitaji namba yangu pia ntakupatia.