Aibu: Waajiriwa wanaojiweza ni wengi kuliko wafanyabiashara. Maeneo ya kishua kuna waajiriwa wengi kuzidi wafanyabiashara

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Inashangaza sana kuona nchi iliyobarikiwa rasilimali kibao kukuta wafanya biashara waliotoboa ni wachache, WHY?

Mbaya zaidi karibu top 20 wote ni wageni waarabu na wahindii kina Bakhresa, Mo, GSM. bado nawaaita wageni sababu huwa wanaishi kivyao, huoana wao kwa wao, huzikana wao kwa wao, si watu wa kujichanganya sana na sisi watanzania wenye asili ya Kiafrika.

Tukija kwa wafanyaabiashara waliofanikiwa wenye asili zetu ni wachache sana waliotoboa.

Ukienda maeneo yanayosifika kuishi watu wanaojiweza si ajabu ukakuta wafanyabiashara wana nyumba nzuri zaidi kuliko wengine lakini idadi yao kwenye hayo maeneo ni ndogo, wengi waliojenga ni waajiriwa, mfano ukienda osyter bay, mbezi, upaanga, n.k. unawaeza kuta katika nyumba 100 ni 20 tu ndizo za wafanyabiashara.
 
Wa ajiliwa wanao toboa haraka ni wezi wengine ni wana siasa wanao jificha kwenye ajira za Serikali, ila waalimu ambao ni 47% ya wajiriwa wote hali yao ni mbaya hawezi kumiliki nyumba ya 70m na gari ya 35m wengi wana miliki pikipiki na baiskeli au baby wslkers.
 
Wa ajiliwa wanao toboa haraka ni wezi wengine ni wana siasa wanao jificha kwenye ajira za serikali, ila waalimu ambao ni 47% ya wajiliwa wote hali yao ni mbaya hawexi kumiliki nyumba ya 70m na gari ya 35m wengi wana miliki pikipiki na basikali au baby wslkers.
Ukisema waalimu ndio waajiriwa wengi, usisahau kwamba kundi kubwa la wafanyabiashara ni machinga na wauza karanga.

Walimu wanaishi maisha standard kuzidi hilo kundi kubwa la wafanyabiashara.
 
Wa ajiliwa wanao toboa haraka ni wezi wengine ni wana siasa wanao jificha kwenye ajira za serikali, ila waalimu ambao ni 47% ya wajiliwa wote hali yao ni mbaya hawexi kumiliki nyumba ya 70m na gari ya 35m wengi wana miliki pikipiki na basikali au baby wslkers.
Hata wafanyabiashara wanaotoboa haraka nao wengi ni wezi/dhulumati/wapigaji/walozi nk
 
Hii ni nchi ya Kijamaa.

You either become the cartel, mix politics and business or perish.

Multinationals karibu zote ninazozijua zimechomoa biashara zao Tanzania, sio kwa bahati mbaya..

Hizo laana wanaweza beba wahindi na waarabu wakidhan wanawatawala watu weusi.

Mtu mweusi akitaka kutoboa anambiwa alipe kodi ya tangu 1970 au kujisalimishe akilime korosho na vitunguu zinalipa.

Nakumbuka vita walizopigwa Mengi na Mfuruki sina ham.

Madini, Misitu na Mbuga na hotel za taifa ni biashara za wageni

Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake
 
Hii ni nchi ya Kijamaa..

You either become the cartel, mix politics and business or perish..

Ni shida sana, foreigners running things at your house, ni ukoloni wa kiuchumi.

At least kungekuwa hata na wabongo watatu humo top 10
 
Inashangaza sana kuona nchi iliyobarikiwa rasilimali kibao kukuta wafanya biashara waliotoboa ni wachache, WHY ??

mbaya zaidi karibu top 20 wote ni wageni waarabu na wahindii kina Bakhresa, Mo, Gsm. bado nawaaita wageni sababu huwa wanaishi kivyao, huoana wao kwa wao, huzikana wao kwa wao, si watu wa kujichanganya sana na sisi watanzania wenye asili ya kiafrika.

tukija kwa wafanyaabiashara waliofanikiwa wenye asili zetu ni wachache sana waliotoboa,

ukienda maeneo yanayosifika kuishi watu wanaojiweza si ajabu ukakuta wafanyabiashara wana nyumba nzuri zaidi kuliko wengine lakini idadi yao kwenye hayo maeneo ni ndogo, wengi waliojenga ni waajiriwa, mfano ukienda osyter bay, mbezi, upaanga, n.k. unawaeza kuta katika nyumba 100 ni 20 tu ndizo za wafanyabiashara.
Ajira nchi nchii inalipa sana mfano mkurugenzi wa halimashauri anaweza kupiga b moja pesa mfanya biashara mwenye mtaji wa m500 kuizalisha inaweza kumchukua Maisha yake yote
 
Hii ni nchi ya Kijamaa..

You either become the cartel, mix politics and business or perish..
Multinationals karibu zote ninazozijua zimechomoa biashara zao Tanzania, sio kwa bahati mbaya..

Hizo laana wanaweza beba wahindi na waarabu wakidhan wanawatawala watu weusi.

Mtu mweusi akitaka kutoboa anambiwa alipe kodi ya tangu 1970 au kujisalimishe akilime korosho na vitunguu zinalipa.

Nakumbuka vita walizopigwa Mengi na Mfuruki sina ham.

Madini, Misitu na Mbuga na hotel za taifa ni biashara za wageni

Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake
You have said it all 🙌
 
ni shida sana, foreigners running things at your house, ni ukoloni wa kiuchumi.

at least kungekuwa hata na wabongo watatu humo top 10
Ukisoma kitabu Cha R.Mengi Cha I can,I will I must !

Jamaa anasema serikali ya kwanza ilipiga vita wazawa kuwa matajiri Kwa kuwawekea vikwazo kibao!!

Yaani Dola yetu iliamua Kwa dhati kuwa matajiri wawe wazawa wenye asili ya Asia kuliko wazawa!!

Dola ndio.inaamua nani awe tajiri.na nani awe maskini katika taifa husika!!!

Hai kina mo,GSM,bakhresa wote hao ni dola ndio.iliamua wawe hivyo walivyo!!

Rip Mengi,Mufruki etc!
 
bad enough yani hao wageni wana exploit sana wafanyakazi kwenye kuwatajirisha, nishasikia dereva wa kusambaza bidhaa analipwa laki 1, viwandani ni kazi mtindo moja malipo elf 5, ndio mboss wanaoongoza kwa kulalamikiwa kunyanyasa na kutukana wafanyakazi
 
Back
Top Bottom