Makamba na genge lake wamekurupuka kwenye bei ya mafuta, na benki kuu nao wapo kwenye usingizi wa pono

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,603
Nimeshtushwa na hatua za waziri Makamba na Ewura kukurupuka kwa kuongeza bei ya mafuta kwa kisingizio cha eti, ‘kuna uhaba wa dola nchini’. Nauita ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu yeye Makamba na Ewura hawana mamlaka ya kisheria kuzungumzia uhaba wa dola kwenye uchumi, hiyo ni kazi ya benki kuu ya Tanzania.

Na mpaka sasa ninashangaa ni kwanini benki kuu wapo usingizini kuhusiana na hichi kitu na hawajatoa tamko lolote. Haiwezakani mtu tu unaamka huko kukurukukuru unaongeza bei kwa asilimia Zaidi ya 16, kwa kisingizio cha sababu ambazo huna utaalamu nazo. Ewura na Wizara ya Nishati na mambo ya uhaba wa dola, wapi na wapi jamani?

Nimemulika hili suala bila mihemuko, na nimejiridhisha kwamba kuna makosa makubwa na ubatili kwenye hili tamko la Makamba na Ewura, na nina hoja zifuatazo.

1. Huko duniani, mafuta bado yapo kwenye bei ya chini ikilinganishwa na bei ya mwaka mmoja uliopita.

brentoil.JPG

Maana yake ni kwamba, hakuna any justification ya kuongezeka kwa bei ya mafuta kilichotokea huko duniani. Hivo inamaanisha, yale makampuni ya kuagiza mafuta hapa Tanzania bado wana agiza mafuta kwa bei ile ile ya awali kabla ya hili ongezeko la kukurupuka kwenye bei ya kuuzia sokoni. Maana yake ni kwamba, hii kupandisha bei kiholela itakuwa imewaongezea wauzaji na waagizaji wa mafuta faida ya Zaidi ya asilimia 16 kwasababu technically, cost of sales bado ni ile ile iliyokuwepo kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.

Kwa mantiki hiyo, Ewura na Waziri Makamba, wanatuthibitishia vipi kwamba hakuna msukumo kutoka kwa wafanyabiashara wa mafuta wa Tanzania ili kupandisha bei ya mafuta kwa lengo la kutengeneza faida ya haraka?

2. Gharama za kuagiza mafuta kwa mwezi Tanzania ni pungufu ya asilimia 17 ya gharama za kuagiza bidhaa zote zinazotoka nje ya nchi (Imports), kwanini Makamba na Ewura wanadhani hiyo ndo njia sahihi ya kupambana na kukosekana kwa dola?

Kwasababu, haiingii akilini unaongeza bei ya kitu ambacho kinagharimu chini ya asilimia 17 ya gharama zote za kuagiza bidhaa nje ya nchi halafu zile imports nyingine zinazogharimu Zaidi ya asilimia 85 umeona kwamba hazichangii kwenye kuadimika kwa dola? Hiki kwangu pia ni kihoja.

%oil imports.JPG

Na hata ukiangalia hizo takwimu, unaweza kuona trend inaenda ikiboreka, maana yake situation ilikuwa worse kwa mwaka jana kuliko hata kwa wakati huu.

Lakini issue nyingine, ukiangalia volume ya mafuta inayoagizwa Tanzania kwa kipindi hiki ni ndogo kuliko hata ilivokuwa kwa mwaka jana, maana yake ni kwamba fedha za kigeni zinazotumia kununua mafuta nje ya nchi sio kwa kiasi kikubwa kama ilivokuwa mwaka jana.

Oil Imports.JPG

So, hiyo inaamisha kwamba, kuongeza bei ya mafuta kwa gia ya kupunguza dola outflow haina mashiko kwa sababu so far, kiwango cha dola kinachonunua mafuta ni kidogo (less tha 17% of all imports) halafu pia, kiwango cha mafuta kinachoagizwa na nchi ni pungufu kuliko ilivokuwa mwaka jana.

Kwa hoja hizo hapo, ni wazi kabisa kwamba uamuzi wa Makamba na Ewura ni uamuzi wa hovyo kwangu mimi na hauna tija yoyote kwenye kukabiliana na upungufu wa dola kwenye uchumi.

Na ninauona ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu hakuna nadharia yeyote ya uchumi inayosema kwamba, dola ikiadimika basi unaongeza bei ili watu waache kuagiza bidhaa kwa lengo la kuzuia matumizi ya fedha za kigeni.

Kwasababu kiuchumi, unavoongeza bei ya kitu, maana yake unataka kupunguza demand ya kile kitu na pia kupunguza demand ya fedha za kigeni kwenye kuagiza kile kitu.

Lakini sasa, wewe unatakaje kupunguza demand ya bidhaa muhimu kama mafuta ambayo matumizi yake yana drive uchumi wa nchi? Automatically, mi ambacho nakiona kikitokea ni kuongezeka kwa pressure ya vitu kuanza kupanda bei kiholela kitu ambacho kwa sisi wanauchumi matokeo yake itakuwa kuongeza pressure ya inflation ambayo ndo itachochea Zaidi kupanda kwa bei ya dola na kuadimika kwake maradufu.

Maana yake ni kwamba, hicho wanachoogopa Makamba na Ewura, kwamba ‘kukosekana kwa dola ya kuagiza mafuta’, ndicho haswa wanaenda kuchangia kukisababisha kutokea kwa haraka, kwa uamuzi wao huu wa kukurupuka.

Kama nasema uongo, ‘wait and see’. Mwezi wa kumi nitarudi hapa kwenye huu uzi.

Mwisho kabisa, ni kweli kuna vitu vina vinatokea kwenye uchumi wa Tanzania kwa sasa, na ambavyo vinapeleka shillingi ya Tanzania inapoteza kwa kasi thamani yake tangu huu mwaka uanze.

dola.JPG

Ila siwezi nikapenyeza hii mada kwenye huu uzi, lakini nachoweza kusema, na kwa maoni yangu baada ya utafiti ambao naendelea kuufanya, ni kwamba, kuna uzembe Fulani Benki kuu ya Tanzania wanafanya kwasasa ambao nina uhakika kabisa ndio chanzo cha hili sakata la kuadimika na kupanda haraka kwa bei ya dola kwenye uchumi. Ndo maana naona ni kama, na wao wamelala usingizi wa pono, kama hawa waliokurupuka na kupandisha bei yao ya mafuta.

Nitaweka uzi hapa soon.

N.Mushi
 
Mkuu nchi kuwa na dola hakuna janja janja, kama hakuna kitu una export huwezi kuwa na dola za kutosha period!!! kwa kiasi kikubwa sisi tumekuwa ni net importer, na ili kununua bidhaa nje utatumia dola, so unatoa dola nyingi kuliko unazoingiza lazima reserve ishuke, pia kama reserve imeshuka jumlisha na hikes za fed rate kule marekani hapo shilingi yako haiponi lazima idepreciate tu, otherwise kama unaishikilia itakuwa stable kwa muda
 
Mikopo na riba kubwa viinatutesa.

BANDARI zetu haziuzwi, Wala kubinafsishwa,

Epuka matapeli🙏🙏🙏🙏
 
Mkuu nchi kuwa na dola hakuna janja janja, kama hakuna kitu una export huwezi kuwa na dola za kutosha period!!! kwa kiasi kikubwa sisi tumekuwa ni net importer, na ili kununua bidhaa nje utatumia dola, so unatoa dola nyingi kuliko unazoingiza lazima reserve ishuke, pia kama reserve imeshuka jumlisha na hikes za fed rate kule marekani hapo shilingi yako haiponi lazima idepreciate tu, otherwise kama unaishikilia itakuwa stable kwa muda
Kwahiyo unaunga mkono kupandisha bei ya mafuta kwa wanunuzi wa ndani? Maana umeleta story nyingine kabisa za tofauti ya mada iliyopo mezani
 
HOJA ni Bandari zetu zirudi!!!

Kama hujui, Nia ya kupandisha Bei ni kuhamisha mada, Kisha watapunguza kidogo wakati DPp wanatucheka.

Pia kupanda Bei hakurupuki kamba au EWURA pekee, wakubwa wanajua na wameshiriki.

Bandari zetu zirudi kwanza🙏🙏
Be Practical mkuu, kwani mimi nimeandika chochote kuhusiana na DP World?

Heshimu muktadha wa hoja, vinginevyo utaonekana kihoja.

Wewe mkuu unaweza andika kuhusu DP World, na ukifanya hivo mimi ntakuja kuchangia, ila mimi niache niandike kuhusu bei ya Mafuta, hatuwezi kuwa na same thinking, elewa hilo.
 
Nimeshtushwa na hatua za waziri Makamba na Ewura kukurupuka kwa kuongeza bei ya mafuta kwa kisingizio cha eti, ‘kuna uhaba wa dola nchini’. Nauita ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu yeye Makamba na Ewura hawana mamlaka ya kisheria kuzungumzia uhaba wa dola kwenye uchumi, hiyo ni kazi ya benki kuu ya Tanzania.

Na mpaka sasa ninashangaa ni kwanini benki kuu wapo usingizini kuhusiana na hichi kitu na hawajatoa tamko lolote. Haiwezakani mtu tu unaamka huko kukurukukuru unaongeza bei kwa asilimia Zaidi ya 16, kwa kisingizio cha sababu ambazo huna utaalamu nazo. Ewura na Wizara ya Nishati na mambo ya uhaba wa dola, wapi na wapi jamani?

Nimemulika hili suala bila mihemuko, na nimejiridhisha kwamba kuna makosa makubwa na ubatili kwenye hili tamko la Makamba na Ewura, na nina hoja zifuatazo.

1. Huko duniani, mafuta bado yapo kwenye bei ya chini ikilinganishwa na bei ya mwaka mmoja uliopita.

View attachment 2710463

Maana yake ni kwamba, hakuna any justification ya kuongezeka kwa bei ya mafuta kilichotokea huko duniani. Hivo inamaanisha, yale makampuni ya kuagiza mafuta hapa Tanzania bado wana agiza mafuta kwa bei ile ile ya awali kabla ya hili ongezeko la kukurupuka kwenye bei ya kuuzia sokoni. Maana yake ni kwamba, hii kupandisha bei kiholela itakuwa imewaongezea wauzaji na waagizaji wa mafuta faida ya Zaidi ya asilimia 16 kwasababu technically, cost of sales bado ni ile ile iliyokuwepo kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.

Kwa mantiki hiyo, Ewura na Waziri Makamba, wanatuthibitishia vipi kwamba hakuna msukumo kutoka kwa wafanyabiashara wa mafuta wa Tanzania ili kupandisha bei ya mafuta kwa lengo la kutengeneza faida ya haraka?

2. Gharama za kuagiza mafuta kwa mwezi Tanzania ni pungufu ya asilimia 17 ya gharama za kuagiza bidhaa zote zinazotoka nje ya nchi (Imports), kwanini Makamba na Ewura wanadhani hiyo ndo njia sahihi ya kupambana na kukosekana kwa dola?

Kwasababu, haiingii akilini unaongeza bei ya kitu ambacho kinagharimu chini ya asilimia 17 ya gharama zote za kuagiza bidhaa nje ya nchi halafu zile imports nyingine zinazogharimu Zaidi ya asilimia 85 umeona kwamba hazichangii kwenye kuadimika kwa dola? Hiki kwangu pia ni kihoja.

View attachment 2710464
Na hata ukiangalia hizo takwimu, unaweza kuona trend inaenda ikiboreka, maana yake situation ilikuwa worse kwa mwaka jana kuliko hata kwa wakati huu.

Lakini issue nyingine, ukiangalia volume ya mafuta inayoagizwa Tanzania kwa kipindi hiki ni ndogo kuliko hata ilivokuwa kwa mwaka jana, maana yake ni kwamba fedha za kigeni zinazotumia kununua mafuta nje ya nchi sio kwa kiasi kikubwa kama ilivokuwa mwaka jana.

View attachment 2710465
So, hiyo inaamisha kwamba, kuongeza bei ya mafuta kwa gia ya kupunguza dola outflow haina mashiko kwa sababu so far, kiwango cha dola kinachonunua mafuta ni kidogo (less tha 17% of all imports) halafu pia, kiwango cha mafuta kinachoagizwa na nchi ni pungufu kuliko ilivokuwa mwaka jana.

Kwa hoja hizo hapo, ni wazi kabisa kwamba uamuzi wa Makamba na Ewura ni uamuzi wa hovyo kwangu mimi na hauna tija yoyote kwenye kukabiliana na upungufu wa dola kwenye uchumi.

Na ninauona ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu hakuna nadharia yeyote ya uchumi inayosema kwamba, dola ikiadimika basi unaongeza bei ili watu waache kuagiza bidhaa kwa lengo la kuzuia matumizi ya fedha za kigeni.

Kwasababu kiuchumi, unavoongeza bei ya kitu, maana yake unataka kupunguza demand ya kile kitu na pia kupunguza demand ya fedha za kigeni kwenye kuagiza kile kitu.

Lakini sasa, wewe unatakaje kupunguza demand ya bidhaa muhimu kama mafuta ambayo matumizi yake yana drive uchumi wa nchi? Automatically, mi ambacho nakiona kikitokea ni kuongezeka kwa pressure ya vitu kuanza kupanda bei kiholela kitu ambacho kwa sisi wanauchumi matokeo yake itakuwa kuongeza pressure ya inflation ambayo ndo itachochea Zaidi kupanda kwa bei ya dola na kuadimika kwake maradufu.

Maana yake ni kwamba, hicho wanachoogopa Makamba na Ewura, kwamba ‘kukosekana kwa dola ya kuagiza mafuta’, ndicho haswa wanaenda kuchangia kukisababisha kutokea kwa haraka, kwa uamuzi wao huu wa kukurupuka.

Kama nasema uongo, ‘wait and see’. Mwezi wa kumi nitarudi hapa kwenye huu uzi.

Mwisho kabisa, ni kweli kuna vitu vina vinatokea kwenye uchumi wa Tanzania kwa sasa, na ambavyo vinapeleka shillingi ya Tanzania inapoteza kwa kasi thamani yake tangu huu mwaka uanze.

View attachment 2710467
Ila siwezi nikapenyeza hii mada kwenye huu uzi, lakini nachoweza kusema, na kwa maoni yangu baada ya utafiti ambao naendelea kuufanya, ni kwamba, kuna uzembe Fulani Benki kuu ya Tanzania wanafanya kwasasa ambao nina uhakika kabisa ndio chanzo cha hili sakata la kuadimika na kupanda haraka kwa bei ya dola kwenye uchumi. Ndo maana naona ni kama, na wao wamelala usingizi wa pono, kama hawa waliokurupuka na kupandisha bei yao ya mafuta.

Nitaweka uzi hapa soon.

N.Mushi
Usiongope....

Ni miezi miwili tu iliyopita GAVANA WA BOT Dr.E .Tutuba aliongelea huo upungufu wa DOLA....

Mh.Makamba na EWURA wako sahihi....

Ukiamua kuwashambulia basi uje na upembuzi yakinifu

#SiempreJMT
 
"Kwasababu kiuchumi, unavoongeza bei ya kitu, maana yake unataka kupunguza demand ya kile kitu na pia kupunguza demand ya fedha za kigeni kwenye kuagiza kile kitu"

Kukurekebisha tu hapo Ewe Mchumi Uchwara, Ukipandisha bei ya kitu unaongeza demand yake na kupunguza supply yake na sio ulivoandika..

Asante
 
Hawa watu ipo siku yao Mungu atawakumbusha haya, they don't care kuhusu maisha ya raia. Wao ni kuvuna utajiri tu. Ila aliye juu anaona.
Si kweli....

Juni 2023 BOT walitoa taarifa juu ya upungufu wa DOLA....

Mnyonge mnyongeni.....
 
Mkuu nchi kuwa na dola hakuna janja janja, kama hakuna kitu una export huwezi kuwa na dola za kutosha period!!! kwa kiasi kikubwa sisi tumekuwa ni net importer, na ili kununua bidhaa nje utatumia dola, so unatoa dola nyingi kuliko unazoingiza lazima reserve ishuke, pia kama reserve imeshuka jumlisha na hikes za fed rate kule marekani hapo shilingi yako haiponi lazima idepreciate tu, otherwise kama unaishikilia itakuwa stable kwa muda
Exquisite
 
Nimeshtushwa na hatua za waziri Makamba na Ewura kukurupuka kwa kuongeza bei ya mafuta kwa kisingizio cha eti, ‘kuna uhaba wa dola nchini’. Nauita ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu yeye Makamba na Ewura hawana mamlaka ya kisheria kuzungumzia uhaba wa dola kwenye uchumi, hiyo ni kazi ya benki kuu ya Tanzania.

Na mpaka sasa ninashangaa ni kwanini benki kuu wapo usingizini kuhusiana na hichi kitu na hawajatoa tamko lolote. Haiwezakani mtu tu unaamka huko kukurukukuru unaongeza bei kwa asilimia Zaidi ya 16, kwa kisingizio cha sababu ambazo huna utaalamu nazo. Ewura na Wizara ya Nishati na mambo ya uhaba wa dola, wapi na wapi jamani?

Nimemulika hili suala bila mihemuko, na nimejiridhisha kwamba kuna makosa makubwa na ubatili kwenye hili tamko la Makamba na Ewura, na nina hoja zifuatazo.

1. Huko duniani, mafuta bado yapo kwenye bei ya chini ikilinganishwa na bei ya mwaka mmoja uliopita.

View attachment 2710463

Maana yake ni kwamba, hakuna any justification ya kuongezeka kwa bei ya mafuta kilichotokea huko duniani. Hivo inamaanisha, yale makampuni ya kuagiza mafuta hapa Tanzania bado wana agiza mafuta kwa bei ile ile ya awali kabla ya hili ongezeko la kukurupuka kwenye bei ya kuuzia sokoni. Maana yake ni kwamba, hii kupandisha bei kiholela itakuwa imewaongezea wauzaji na waagizaji wa mafuta faida ya Zaidi ya asilimia 16 kwasababu technically, cost of sales bado ni ile ile iliyokuwepo kwa kipindi cha miezi sita iliyopita.

Kwa mantiki hiyo, Ewura na Waziri Makamba, wanatuthibitishia vipi kwamba hakuna msukumo kutoka kwa wafanyabiashara wa mafuta wa Tanzania ili kupandisha bei ya mafuta kwa lengo la kutengeneza faida ya haraka?

2. Gharama za kuagiza mafuta kwa mwezi Tanzania ni pungufu ya asilimia 17 ya gharama za kuagiza bidhaa zote zinazotoka nje ya nchi (Imports), kwanini Makamba na Ewura wanadhani hiyo ndo njia sahihi ya kupambana na kukosekana kwa dola?

Kwasababu, haiingii akilini unaongeza bei ya kitu ambacho kinagharimu chini ya asilimia 17 ya gharama zote za kuagiza bidhaa nje ya nchi halafu zile imports nyingine zinazogharimu Zaidi ya asilimia 85 umeona kwamba hazichangii kwenye kuadimika kwa dola? Hiki kwangu pia ni kihoja.

View attachment 2710464
Na hata ukiangalia hizo takwimu, unaweza kuona trend inaenda ikiboreka, maana yake situation ilikuwa worse kwa mwaka jana kuliko hata kwa wakati huu.

Lakini issue nyingine, ukiangalia volume ya mafuta inayoagizwa Tanzania kwa kipindi hiki ni ndogo kuliko hata ilivokuwa kwa mwaka jana, maana yake ni kwamba fedha za kigeni zinazotumia kununua mafuta nje ya nchi sio kwa kiasi kikubwa kama ilivokuwa mwaka jana.

View attachment 2710465
So, hiyo inaamisha kwamba, kuongeza bei ya mafuta kwa gia ya kupunguza dola outflow haina mashiko kwa sababu so far, kiwango cha dola kinachonunua mafuta ni kidogo (less tha 17% of all imports) halafu pia, kiwango cha mafuta kinachoagizwa na nchi ni pungufu kuliko ilivokuwa mwaka jana.

Kwa hoja hizo hapo, ni wazi kabisa kwamba uamuzi wa Makamba na Ewura ni uamuzi wa hovyo kwangu mimi na hauna tija yoyote kwenye kukabiliana na upungufu wa dola kwenye uchumi.

Na ninauona ni uamuzi wa kukurupuka kwasababu hakuna nadharia yeyote ya uchumi inayosema kwamba, dola ikiadimika basi unaongeza bei ili watu waache kuagiza bidhaa kwa lengo la kuzuia matumizi ya fedha za kigeni.

Kwasababu kiuchumi, unavoongeza bei ya kitu, maana yake unataka kupunguza demand ya kile kitu na pia kupunguza demand ya fedha za kigeni kwenye kuagiza kile kitu.

Lakini sasa, wewe unatakaje kupunguza demand ya bidhaa muhimu kama mafuta ambayo matumizi yake yana drive uchumi wa nchi? Automatically, mi ambacho nakiona kikitokea ni kuongezeka kwa pressure ya vitu kuanza kupanda bei kiholela kitu ambacho kwa sisi wanauchumi matokeo yake itakuwa kuongeza pressure ya inflation ambayo ndo itachochea Zaidi kupanda kwa bei ya dola na kuadimika kwake maradufu.

Maana yake ni kwamba, hicho wanachoogopa Makamba na Ewura, kwamba ‘kukosekana kwa dola ya kuagiza mafuta’, ndicho haswa wanaenda kuchangia kukisababisha kutokea kwa haraka, kwa uamuzi wao huu wa kukurupuka.

Kama nasema uongo, ‘wait and see’. Mwezi wa kumi nitarudi hapa kwenye huu uzi.

Mwisho kabisa, ni kweli kuna vitu vina vinatokea kwenye uchumi wa Tanzania kwa sasa, na ambavyo vinapeleka shillingi ya Tanzania inapoteza kwa kasi thamani yake tangu huu mwaka uanze.

View attachment 2710467
Ila siwezi nikapenyeza hii mada kwenye huu uzi, lakini nachoweza kusema, na kwa maoni yangu baada ya utafiti ambao naendelea kuufanya, ni kwamba, kuna uzembe Fulani Benki kuu ya Tanzania wanafanya kwasasa ambao nina uhakika kabisa ndio chanzo cha hili sakata la kuadimika na kupanda haraka kwa bei ya dola kwenye uchumi. Ndo maana naona ni kama, na wao wamelala usingizi wa pono, kama hawa waliokurupuka na kupandisha bei yao ya mafuta.

Nitaweka uzi hapa soon.

N.Mushi
Umeandika vizuri sana na unadata nzuri sana ndugu yangu ila nataka kukwambia kwamba dolla saiz dunian zimeadimika kuadimika kwake kumezipandisha thamani sakata la TZ kupata dollar lazima wafanye export na njia zingine kama utalii kwa sasa rate ya kubadili dollar kwa hela ya tanzania imepanda kutoka 2333 had 2489.06 kwaiyo kama mara ya kwanza lita ilikuwa inauzwa dola 1 means ilikuwa inauzwa 2333 lakini hapa nchi itauza labda 3000 kwa lita lakini huko dunian bado lita imebaki inauzwa dola 1 ileile means now lita inauzwa 2489.06 hapo lazima bei ipande ndugu yangu ,,ulipoteleza kuelewa ni mabadiliko ya rate exchange ya dolar kwa hela yako ya TZ
 
Naomba kuuliza

Naomba kuuliza kule wanajumua mafuta lita kwa dollar ngapi?

Huku mkijua serikali sio ya wananchi ni familia yenye MAFANIKIO iliyojijenga kila kitu na kumiliki rasmali za mipaka ilimwochorewa na wakoloni ili utumie hizi rasilimali lazima ulipie kikubwa ni kutafuta kaupenyo ka kujiunga na hii familia
 
Mkuu hongera sana umekuja na data nyingi ila ukitaka kujihakikishia dollar hamna nenda kwenye benki kuchange TSH ili upewe dollars. Hapo kilichopo ni kwamba Tsh zipo za kutosha tatizo lipo kwenye kuzibadili hizo TSH kuwa dollars ili uweze kufanya hiyo transaction ya mafuta na wauzaji wa mataifa ya nje. Ni sawa na una laki tano Mfukoni mwako unakwenda kwa wakala wa MPESA kuweka ili umtumie mtu alafu wakala anakwambia sina flot. Hapo moja kwa moja unabaki na hela zako mfukoni japo ni nyingi.
 
Naomba kuuliza

Naomba kuuliza kule wanajumua mafuta lita kwa dollar ngapi?

Huku mkijua serikali sio ya wananchi ni familia yenye MAFANIKIO iliyojijenga kila kitu na kumiliki rasmali za mipaka ilimwochorewa na wakoloni ili utumie hizi rasilimali lazima ulipie kikubwa ni kutafuta kaupenyo ka kujiunga na hii familia
Tatizo sio wanajumua kwa dollar ngapi. Tatizo ni dollar hazipo benki. Ili ununue mafuta unatakiwa uzibadili TSH kuwa dollars, hata kama wanauza kwa dollar kidogo bado haziwezi kupatikana kwa wingi.
 
Umeandika vizuri sana na unadata nzuri sana ndugu yangu ila nataka kukwambia kwamba dolla saiz dunian zimeadimika kuadimika kwake kumezipandisha thamani sakata la TZ kupata dollar lazima wafanye export na njia zingine kama utalii kwa sasa rate ya kubadili dollar kwa hela ya tanzania imepanda kutoka 2333 had 2489.06 kwaiyo kama mara ya kwanza lita ilikuwa inauzwa dola 1 means ilikuwa inauzwa 2333 lakini hapa nchi itauza labda 3000 kwa lita lakini huko dunian bado lita imebaki inauzwa dola 1 ileile means now lita inauzwa 2489.06 hapo lazima bei ipande ndugu yangu ,,ulipoteleza kuelewa ni mabadiliko ya rate exchange ya dolar kwa hela yako ya TZ
Kafuatilie bulk procurement wewe ng'ombe

Mafuta hayanunuliwi kama chupi kariakoo.

Mafuta tunayotumia Sasa hivi yameagizwa miezi kadhaa nyuma kwenye bulk procurement process kabla ya Dolla kupanda wewe kichwa maji.

Mitanzania mna akili ziko shallow sana
 
Back
Top Bottom