Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

kitonsa

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
1,211
2,636
Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani?

Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia?

Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi ni laki na sitini wakati huku ni laki sita na sitini

Hii tofauti ni kubwa sana je kuna ukweli wowote?
 
Back
Top Bottom