bei ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. comte

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni kucheza na tozo kwenye bei ya mafuta punguzeni kodi ya VAT toka 18 hadi 10

    Bei ya mafuta ya petroli na diseal imeshuka tena na kuwa chini ya USD 100 kutoka 130 wiki iliyopita. Wiki iliyopita serikali ilitoa tozo ambalo ni mahususi kwa jambo maalumu. Mimi nadhani serikali ipunguze VAT kwenye mafuta ili kuleta suluhisho la kudumu kuliko hili la kutoa tozo.
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa. Tanzania tutafute mafuta yetu, kuna siku tutalia na kusaga meno

    Bei ya mafuta imefika 105 USD kwa pipa Tanzania tutafute mafuta Yetu. Kufuatia Mzozo unaoendelea kati ya Ukraine na Urusi bei ya mafuta imepanda na kuvuka dola mia moja kwa mara ya kwanza tangu miaka saba iliyopita, ambapo ongezeko hilo limesababishwa na hofu baada ya mzalishaji mkubwa Urusi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ghafi yaongezeka duniani baada ya Russia kuivamia Ukraine

    Baada ya muda Mrefu Mafuta ghafi kuwa bei chee wakati wa janga la Corona kutoka bei hasi hadi kukaribia dollar 100 kwa pipa wakati huu. Traders let's take advantage from this.
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Kamati ya Bunge yazitaja sababu zinazopaisha bei ya mafuta

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imetaja mambo matatu yanayochangia kupanda kwa bei ya mafuta ikiwemo uwezo mdogo wa maghala ya kupokelea na kuhifadhi mafuta nchini. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dustan Kitandula ameyasema hayo leo Jumanne Februari 15, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta kupanda kiasi hiki inasababishwa na nini, na kwanini mamlaka zipo kimya?

    Wapendwa humu JF bila shaka mtakubaliana nami kwamba kwa miezi kadhaa bei ya mafuta ya petroli na dizel imeendelea kupaa tu hapa Tanzania. Kwa baadhi ya maeneo bei imefika hadi 2,700-2,800 kwa lita moja. Natamani kujua sababu ya bei kwenda juu kiasi hicho, na upandaji huo kuendelea bila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imewezesha kushuka kwa bei ya mafuta

    Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athiri kwa ujumla maisha ya wananchi, kwa sababu kunapelekea kupanda kwa gharama za vitu vingine. Lakini licha ya kuwa inaonekana bei ya amefuta imepanda, kwa namna nyingine unaweza kusema bei imeshuka. Imeshuka kwa sababu serikali imeondoa ada ya mafuta ya TZS...
  7. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Sababu za kweli kabisa za kupanda kwa bei ya mafuta

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imethiri pia bei za mafuta ha Tanzania. Tumekuwekea sababu 5 zinazoweza kupelekea kupanda kwa bei hizo duniani: 1. Ushawishi wa OPEC OPEC ni jumuiya ya nchi zinazosafirisha mafuta (Organization of Petroleum Exporting Countries). Kwa sasa jumuiya hiyo...
  8. Tough lady

    JamiiForums Tanzania Nahisi magari yamepungua barabarani. Je, ni kwa sababu ya kupanda kwa bei ya mafuta?

    ?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Serikali: Bei ya mafuta ya kula imepanda kwenye soko la dunia kutoka US dollar 500 hadi 1000 ndio sababu bei haijashuka

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutoka dola za Kimarekani 500 hadi zaidi ya 1000 katika soko la dunia. Hii ndio sababu bei za mafuta hapa nyumbani zimabaki vile vile hazijashuka.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kilichoongeza Bei ya mafuta ni tozo au kupanda kwa bei kwenye soko la dunia?

    Enyi wataalamu wa uchumi na wale wa masoko naomba mnifahamishe kilichopelekea bei ya mafuta kupanda na kisha Rais Samia kuishusha ni nini?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata wana CCM wanalalamika?

    Nimepitia dukuduku na maoni katika kurasa tofauti tofauti za mitandao ya kijamii nimeona watanzania wote wanaongea lugha moja. Sioni tofauti kati ya wana CCM na wapinzani, wote wanalalamika. Wote wanalalamika kuhusu Tozo za miamala Bei za mafuta Maisha magumu Hamza kuitwa gaidi My take: Wana...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la tozo za miamala ya simu na bei ya mafuta ni uthibitisho wa ubutu wa Bunge

    Kulingana na 'statistics on mobile telecom services in africa- global market', m-pesa, tigo-pesa, na airtel money, jan- mar 2020 zilifanya miamala 93.8bilion sawa na miamala 375.2 bilioni kwa mwaka. Miamala ilihusisha kulipia bills, uhamishaju binafsi wa pesa, kutuma na kutoa pesa. Kwa tozo la...
  13. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hili la bei ya mafuta kupanda lina ukakasi

    Salaam, Inashangaza bei ya mafuta ya petroli nchini Zambia kuwa nafuu kuliko hapa Tanzania. Inaeleweka Zambia hawana bandari hivyo wanapokea shehena ya mafuta kutoka Bongo, ifike wakati serikali ya CCM iwe na huruma itende haki. Hapa anaeumia sio mwenye pesa, ni mnyonge masikini wa hali ya chini.
  14. Shark

    JamiiForums Tanzania Na huu ndio ukokotozi wa bei ya mafuta ya petroli kwa lita 1

    Kwema Wakuu, Hivi Karibuni bei ya Mafuta imepanda kwa Takriban TZS 100 kwa lita kulinganisha na bei iliyokuwepo awali. Wengi wamejiuliza kwanini Mafuta haya yanauzwa Rahisi nchi za jirani kama Zambia wakati yanapita hapa hapa kwetu hivyo katika nchi hizo yangekua bei ghali zaidi. Hapa chini...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kuendelea kuongezeka baada ya Mkutano wa OPEC kuvunjika pasipo makubaliano

    Bei ya mafuta imeendelea kupanda katika masoko ya barani Asia baada ya mkutano wa nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC kuvunjika bila makubaliano juu ya mpango ulionuiwa kuongeza uzalishaji. Kuvunjika kwa mazungumzo kati ya mataifa wanachama wa OPEC na wadau wengine kumeongeza...
Back
Top Bottom