Serikali irejee upya ongezeko la bei ya mafuta

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
386
765
Bei ya mafuta imepanda kwa asilimia kubwa ambapo wananchi bado wanahoji ongezeko hilo. Inakuwaje mfano dizeli inaongezeka kwa Tshs.700 kwa lita eti ni upungufu wa dola. Haiingii akilini.

Jana niliwaona wenye bodaboda wakilia kwa uchungu juu ya ongezeko hili na wanailaumu sana Serikali.

Mambo kama haya ndo inafanya wananchi wanaikuchukia Serikali yao kwa ugumu wa maisha. Mhe. Rais anatakiwa kumbadili Mhe. Waziri aliyepo sasa hivi na kwa kiasi kikubwa sisi wananchi hatuna imani naye.
 
We umetoa wapi hilo ongezeko la 700?

Diesel haijavuka 3000, mwanzo ilikuwa yauzwa 2500
Sasa ni 2900
Petrol 2700/3100

W
 
Hivi Petroli ya plastic bei gani?

Dawa Yao ninkuounguza matumizi ya Nishati na kuanza kutumia usafiri wa baiskeli.... nadhani watatia akili pia hii njia ya usafiri itasaidi kupunguza magonjwa yasiyoambukizwa kwa raia.
 
Back
Top Bottom