Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao.
Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
Habari JF,
Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Ukiringanisha na kabla ya bilioni 100.
Je, kuna Haja ya kuendelea kukopa?
Rais Joe Biden wa Marekani, leo ameondoa kodi katika mafuta ili kuwapa nafuu wananchi wake.
Amewataka Magavana wa States za nchi hiyo vile vile wapunguze kodi na tozo katika States zao.
KWETU TZ VIPI?
Hapa Tz kodi na tozo katika mfuta bado zipo kati ya Tshs 800 hadi 900.
Faida ya kushusha bei ya mafuta ilikuwa na bei ya vitu vingine vishuke kuleta unafuu wa maisha.
Lakini sasa kama tunaambiwa kushusha bidhaa zingine inahitaji mchakato mrefu, kwa kweli inasikitisha sana.
Soma: EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni Mosi
Kukokotoa punguzo la bei ya mafuta ya petroli na dizeli kwa mwezi wa sita 2022 baada ya kuongezewa ruzuku ya billioni 100 (100B)
Habarini za leo great thinkers,
Habarini za jumapili,
Kama nilivyo ahidi kwamba nitatafuta muda wa kufanya hesabu ili tuweze kufahamu punguzo la bei ya mafuta ya...
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya ya mafuta zinazoanza kutumika Juni mosi, huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi Bilioni 100 iliyotolewa na Rais Samia mapema mwanzoni mwa mwezi huu.
Bei mpya zilizotangazwa na EWURA zinaonesha kuwa petrol itauzwa...
Wakuu,
Waziri wa fedha alitangaza tozo zilizopitishwa na Bunge letu,na kujinasibu kuwa tumekusanya fedha nyingi Sana za tozo.
Kwa kuwa lengo la tozo hizi zilikuwa kujenga madarasa na vituo vya afya nchini lakini tulikopa tena kwa ajili ya ujenzi huo.
Kwanini tozo zile tusitumie kushusha bei...
hii ni taarifa ya Zura(EWURA ya Zenji) mwezi huu tar 4 juu ya bei ya mafuta:
Pettrol - Tsh.2642 , Diesel- Tsh.2644
na hii ni taarifa ya EWURA ya jamhuri tarehe na mwezi kama wa ZURA; Petrol - Tsh. 3148, Diesel - 3258
Maisha tunayoishi huku bara wapemba wasingeweza.
Leo nimepita maduka kadhaa, kwenye shelf za maduka husika yamejaa mafuta ya kula yameandikwa Singida yakiwa yametengenezwa kwa zao la alizeti linalolimwa sana Singida. Hii imetokana na bei ya mafuta mengine kupaa hivyo watumiaji na wafanyabiashara kuamua kuhamia Singida, bei ya mafuta kutoka nje...
Rais ametangaza kutoa bilioni kadhaa kwa ajili ya mafuta, lakini hatujui vita vya Ukraine vitaisha lini hivyo ni ngumu kujua kwa muda gani tutaendelea kutoa hela au kuondoa tozo na kodi kwenye mafuta.
Moja ya misingi ya Marekani ni kutokuwa na rafiki au adui wa kudumu. Nadhani na sisi tuwe...
Kutokana na hali kali za maisha zinazotokana na kupanda kwa bei ya mafuta, juzi hapa mama Samia aliondoa tozo ya Shs 100 kwenye bei ya mafuta, na baada ya Bunge kuitaka serikali kuchukua hatua zaidi kutoa nafuu ya bei ya mafuta, Mama Samia alimuagiza January Makamba kutangaza ruzuku ya shilingi...
RAIS Samia Suluhu Hassan, ameamua kulikabili sakata la mgogoro wa mafuta kwa kutoa maelekezo ya kujibana katika matumizi ya ndani ya Serikali. Kwa nini hii ndio njia sahihi? Nitaeleza;
Wapo waliopendekeza kuondoa tozo mbalimbali kwenye mafuta ili bei ipungue. Ni mawazo lakini msaada wake upo...
Hakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo.
Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha kwa sababu ingewezekana kabisa serikali kuchukua hatua za kuzuia kupanda kwa bei za...
Ndugu zangu,
Leo siku ya jumanne tarehe 10.05.2022 Ndugu Januari Makamba, Waziri wa Nishati akiwa bungeni ametangaza uamuzi wa serikali kutoa ruzuku ya takribani bilioni 100 za kitanzania.
Nikirejea uamuzi wa Waziri Makamba miezi michache iliyopita wa kuondoa tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta...
Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa kusababishwa na vita ya Urusi na Ukraine. Hali hiyo ilipelekea ongezeko la nauli kwenye daladala ambalo mara ya...
===
Kwa unyenyekevu mkubwa hebu pitia hizi taarifa za World Petrol Price uone majirani zetu wanavyoteseka kwa bei kubwa ya Mafuta pengine itakuzindua uache lawama kwa Rais wako anayekupambania usiku na Mchana,
===
Pamoja na kwamba Rais Samia Suluhu Hassan sio rais wa nchi ya Burundi bei ya...
SERIKALI IZINGATIE HAYA SAKATA LA KUPANDA BEI YA MAFUTA NCHINI ILI YASHUKE.
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Ijumaa Mei 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua Vita ya Urusi na Ukraine ilivyopaisha Sakata la Kupanda kwa Bei ya Mafuta kwenye Soko la Dunia kulikoathiri Bei...
Waulizeni watawala wanatoza kodi kiasi gani kwa kill lita moja ya mafuta yanayoingia nchini ndio mtajua nini hasa chanzo cha hizi bei kuwa juu.
Sasa kwakuwa kodi ziko juu, issue ya vita inafanya bei ambazo teyari ziko juu, ziwe juu zaid na hiki ndio kinatutesa leo hii.
Suluhisho ni kwa...
Naam! Tutasikia mengi. Tutaona mengi.
Wazee wa conspiracy theories wako mzigoni kuhakikisha watu hawajadili Bei ya mafuta Tena!
Tayari Sabaya out, mara sio Out, mara Mwijaku n.k.
Haya tutegemee mengi Mengine.
Lakini Bado mafuta Bei ni 3200+ na Zanzibar Bei ni 2600!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.