hechejohn
Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu..
Bado anataka kuongeza mzigo!!!
Pesa zipo za kutosha lakini zinaibiwa kwasababu ya wajinga kama huyu Kushindwa kutimiza wajibu wao wa kibunge na kusimamia matumizi ya pesa za umma kama tax payers representatives….
Yaani ripoti ya CAG inaonesha matrilioni ya fedha za umma yalivyoibiwa…
Mfano TRC ujenzi wa lot namba 3 na 4 Kuna hasara ya zaidi ya trilioni 1.7, Bado haujazungumzia manunuzi ya Locomotives (mabehewa) hapo haujazungumzia halmashuri zetu zote, haujazungumzia uchafu kama wa TTCL wala ATCL wala manunuzi mbalimbali ya Serikali.
Haya yote yanatokea kwasababu ya bunge dhaifu ambalo kwa niaba ya Wananchi lilipaswa kusimamia matumizi ya fedha yafanyike vizuri lakini wajinga kama Jerry wameshindwa kazi hiyo matokeo yake wanataka serikali iongeze mzigo juu ya Wananchi ambao hata kula yao sasa ni shida kutokana na mzigo wa gharama za maisha.
Bajeti hiyo ya Tamisemi anayochangia Serikali imetenga bilioni 16 ili kununua MAVX mapya kwa wakuu wa mikoa yale yaliyopo sasa hayafai wakuu wanataka mapya…. Hili kwa Jerry anaona ni sawa lakini masikini akamuliwe zaidi kwasababu ya anasa na maisha ya juu kwa viongozi..
Hawa hawa Wananchi wana michango lukuki ya kujenga, shule zahanati, vituo vya afya ambayo hii yote ni kazi ya Serikali kwa kodi zetu… lakini zinaibiwa Wananchi wanafanya wajibu usio wao.
Mchele kg 1= 3,200sh
Sukari kg 1 = 3,000sh
Maharage = 3,000sh
Sababuni na kila kitu bei iko juu,
Jerry anaejiita muwakilishi wa Wananchi anaona bado huo mzigo ni kidogo anataka waongezewe hela ili wakaibe zaidi!!!!!
Shame on you Jerry Slaa, kwa taarifa yako punda amechoka hawezi kubeba zaidi, watu kama wewe hamfai kuwakilisha Wananchi manga’s kujiwakilisha na matumbo yenu…
CCM NI JANGA kwa Nchi