bei ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tusilaumu Serikali kwenye bei ya mafuta

    Tuacheni utamaduni wa kulalama kila kitu. Bei ya mafuta hakuna njia zaidi ya kuombea vita ipungue na uzalishaji uongezeke. Mimi binafsi ninaishi jimbo marekani ambalo linaongoza kwa uzalishaji hapa USA na kwa takwimu USA wanaongoza Duniani kwa uzalishaji lakini bei ya petroleum hapa ni sawa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatafuta njia mbadala za kupunguza gharama za maisha

    SERIKALI INATAFUTA NJIA MBADALA ZA KUPUNGUZA GHARAMA ZA MAISHA - MAJALIWA *Aitisha kikao cha kutathmini bei ya mafuta WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mafuta kumevuruga biashara yetu ya mbogamboga

    Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga. Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki. Tulichimba kisima na kununua simtank la litre 3,000 pamoja na pump yake. Ilibidi kujenga kibanda na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kama unaona Bei ya mafuta iko juu na huwezi kuimudu - Hamia Burundi

    Ndugu zangu ukweli lazima usemwe. Nchi inajengwa na wananchi kwa kuchangia maendeleo. Mnataka tuwe kama china, mnataka tuwe kama Korea au Japani lakino hamtaki njia walizotumia kufikia huko waliko. Hizi ni ndoto za alinacha. Mnataka maendeleo lakini hamtaki wajibu. Tuliwambia kuhusu Katiba...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, wabunge na Serikali wajiridhishe na facts

    Zinaweza tajwa sababu nyingi sana na visingizio vinavyowekewa fake justifications. kamwe tusikubali. Mimi nitahoji idadi ya fuel stations zilizoanza chini ya miezi sita iliyopita na namna gani zinalink na wafanyabiashara wakubwa wa mafuta.je kwa nini zilianzishwa ghafla na kwa nini tupo hapa...
  6. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Sekeseke la kupanda kwa bei ya mafuta linadhihirisha kuwa sasa tunahitaji katiba mpya ambayo itawapa mamlaka kamili wanachi juu ya taifa lao.

    Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetanabaisha wazi kuwa mamlaka ya kutawala taifa hili yatatoka kwa wananchi. Na mamlaka hayo yatawekwa kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hii inamaanisha kuwa kumbe wananchi huwa ndio watawala lakini kwa kuweka wawakilishi kwa njia ya kura. Lakini kama taifa...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wachumi watoa angalizo bei ya mafuta kupanda

    Wataalam wa uchumi Tanzania wametoa angalizo kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, wakitahadharisha kuwa kutasababisha kupanda kwa gharama za maisha. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Tanzania (EWURA) ilitangaza bei kikomo ya petroli, dizeli na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

    Ahlan wa Sahlan Habari zenu wana JF: Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa. Bei ya mafuta kwa...
  10. Memento

    JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

    Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani. Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania. Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha...
  12. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutumia stoku ya nchi kupunguza bei ya mafuta?

    SERIKALI HAINA UWEZO WA KUPUNGUZA HIZI BEI ZA MAFUTA? Na Elius Ndabila 0768239284 Nimesoma bei mpya ambazo zinaongeza maumivu mara dufu kwa mtu wa chini. Nimesema zinaongeza maumivu kwa mwananchi wa Chini kwa kuwa natambua wengine wanaotumia sawa sawa kodi za wavuja jasho maumivu hayawafikii...
  13. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umoja wa Afrika usisaidie Waafrika kupunguza bei ya Mafuta?

    Wadau nawaza sana juu ya huu mfumko wa bei, hasa bei za Mafuta. Ukizingatia China na India wao wanapambana ili kupunguza gharama za wananchi wao kwa kukataa matakwa ya Nchi za Ulaya juu ya Urusi, je kwanini AU nao wasijipange vivyo hivyo? Wanunue ngano na mafuta kwa mrusi bila kufuata masharti...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kuondoa na kurudisha sh. 100 kwenye bei ya mafuta nani awajibike?

    Rais Mama Samia alirejesha tozo ya Sh.100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa ni nani alikosea kuitoa na ni nani kati ya wafuatao ajitafakari kati ya Waziri wa nishati na waziri wa fedha na afanye hivyo lini ili iwe fundisho kwa wengine? Kama Ndugai...
  15. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania. Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote. Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia...
  16. Peter Madukwa

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa bei ya mafuta nchini kunatokana na kuongezeka kwa bei ya bidhaa hiyo katika soko la dunia na siyo kosa la serikali ya Rais Samia

    KUONGEZEKA KWA BEI YA MAFUTA YA PETROL NA DIESEL KUMESABABISHWA NA ONGEZEKO LA BEI KTK SOKO LA DUNIA NA SIYO KOSA LA RAIS SAMIA. Hapo jana serikali imetangaza bei mpya ya mafuta ya bei ya petroli na diesel ambapo kwa hapa Tanzania bei inatarajiwa kuanzia leo kuwa kati ya sh 2700-3000 Kuna watu...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta yapanda maradufu. Petroli bei yaongezeka kwa kati ya Tsh. 100 - 321

    Wakati Serikali ikitangaza kurejesha Sh100 katika mafuta, watumiaji wa nishati hiyo watalazimika kufunga mkanda kutokana na bei kuendelea kupaa. Bei ya nishati hiyo inapanda wakati wananchi wakilalamika kupaa kwa bei za bidhaa mbalimbali za vyakula hasa wakati huu wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania EWURA: Bei ya Mafuta itaendelea kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa mafuta, bei ya yake inatarajiwa kuendelea kupanda zaidi hali inayochangiwa na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine, huku usafirishaji na upokeaji wake nchini kuwa hafifu. Akizungumza Kaimu Mkurugenzi...
  19. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

    Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Utatuzi bei ya mafuta: Serikali punguzeni matumizi ya V8. Mna matumizi makubwa sana, Afrika mpo nafasi ya pili

    Wanabodi, Kiukweli swala la MAFUTA ni changamoto, Siku zote bidhaa hupanda kwa sababu soko lake ni kubwa sana,huwezi kuta bidhaa inapanda Bei wakati solo hakuna, Hivyo hivyo kwa Tz ,Serikali hii ya huyu Bi mkubwa inaongoza kwa matumizi makubwa ya gari zitumiazo MAFUTA kwa wingi bila...
Back
Top Bottom