Bei ya mafuta ghafi duniani na gharama za kusafisha (Crude oil Price)

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,675
59,781
Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania.
Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi ilivyo.
Nimetumia mitandao kadha wa kadha ambayo inaleta taarifa live za bei ya Barrel moja na mafuta ghafi.
Kwanza Barrel ni nini?
Ni kipimo ambacho kimepitishwa duniani kwaajili ya kuuziana mafuta.

Barrel = 158.987 Liter tunaweza kusema 159 Liter

Maana yake ukinunua barrel moja utakuwa umenunua Lita 158.9 za mafuta.
Source: Convert Barrel (oil) to Liter
1693987982078.png

BEI ZA MAFUTA GHAFI DUNIANI
Bei za mafuta duniani zinabadilika badilika, lakini siyo sana. Na mafuta haya yanatofautina bei kulingana na gharama zake za kuyasafisha. Mafuta Ghafi yenye gharama ya juu sana ni Arab Light kutoka Saudia bei yake ni $92.56/bbl
1693988466561.png

Source:-

GHARAMA YA KUSAFISHA MAFUTA GHAFI
Kulingana na tafiti zilizo kwa kiwanda kikubwa kabisa cha kusafisha mafuta mfano kilichopo marekani Texas Exxon Baytown Gharama zake ni $3–4/Bbl
Lakini kama refinery ni ndogo ngarama inaenda juu ni $10–12 per bbl.

GHARAMA ZA USAFIRISHAJI KWA BARREL MOJA
KUsafirisha barrel moja gharama zake zipo standard ni $10-$15 per barrel

SASA NAOMBA TUPIGE HESABU SASA GHARAMA HALISI YA MAFUTA KWA LITA

Naomba katika hesabu zangu nipige kwa kuangalia gharama za juu.
Bei ya Crude oil per barrel = $92.56
Bei ya Kusafisha = $12
Bei ya Kusafirisha = $15
Gharama zingine = $10
JUMLA =$129.56
Tutafute bei ya mafuta hayo kwa litre moja
129.56/158.987 = 0.81
Maana yake bei ya mafuta ni $0.81

Naomba niongezee na gharama zingine 20% ya International Tax
Ni sawa na $0.162 kwa kila lita jumla itakuwa
0.972
Kwahiyo bei halisi ya mafuta ni $0.972
Tutafute kwa pesa zetu za kitanzania 2,385.80 Tanzanian Shilling
1693989743743.png

JE SHIDA NI NINI?
 
Alivyosema bei kwa google? Chukua bamba,wasiliana nao.

Alimaanisha uwasiliane na wanaohusika na bei za mafuta au thamani ya dola KWA tsh?
Mzee mbona unamsemea mtu ambaye ameshaelewa. Wewe nani unakomaa na kitu ambacho hajauliza.
Hapa tunaongea facts hatutaki mbwembwe za kiswahili.
 
Sehemu gani kaonesha kuwa ameelewa jibu lako la kumpostia table ya BOT? Maana bado hajareply. Au mmejibiana PM?
Au ukimya wake ndio kaelewa?
 
Tanzania kupitia Bunge letu tukufu, tulipitisha kodi lukuki kwenye kila lita ya mafuta,

Mpaka road license inakatwa kwenye mafuta.

NB: WAFANYA BIHASHARA WA MAFUTA NI VIGOGO SERIKALINI
 
Mtori siku hizi unatumia nyama za kusaga. Kunywa mtori nyama ziko chini itaendelea kutumika?
 
Ndugu zangu wana JF baada ya kutoka bei za mafuta kupitia EWURA nimeona niingie kufanya utafiti niweze kujua bei za mafuta ghafi na gharama zake za kuyasafisha na kusafirisha mpaka kufika kwetu hapa Tanzania.
Hapa nitaleta taarifa za kina kuona namna gani tunaweza kufanya au kujua dunia jinsi ilivyo.
Nimetumia mitandao kadha wa kadha ambayo inaleta taarifa live za bei ya Barrel moja na mafuta ghafi.
Kwanza Barrel ni nini?
Ni kipimo ambacho kimepitishwa duniani kwaajili ya kuuziana mafuta.

Barrel = 158.987 Liter tunaweza kusema 159 Liter

Maana yake ukinunua barrel moja utakuwa umenunua Lita 158.9 za mafuta.
Source: Convert Barrel (oil) to Liter
View attachment 2740681
BEI ZA MAFUTA GHAFI DUNIANI
Bei za mafuta duniani zinabadilika badilika, lakini siyo sana. Na mafuta haya yanatofautina bei kulingana na gharama zake za kuyasafisha. Mafuta Ghafi yenye gharama ya juu sana ni Arab Light kutoka Saudia bei yake ni $92.56/bbl
View attachment 2740703
Source:-

GHARAMA YA KUSAFISHA MAFUTA GHAFI
Kulingana na tafiti zilizo kwa kiwanda kikubwa kabisa cha kusafisha mafuta mfano kilichopo marekani Texas Exxon Baytown Gharama zake ni $3–4/Bbl
Lakini kama refinery ni ndogo ngarama inaenda juu ni $10–12 per bbl.

GHARAMA ZA USAFIRISHAJI KWA BARREL MOJA
KUsafirisha barrel moja gharama zake zipo standard ni $10-$15 per barrel

SASA NAOMBA TUPIGE HESABU SASA GHARAMA HALISI YA MAFUTA KWA LITA

Naomba katika hesabu zangu nipige kwa kuangalia gharama za juu.
Bei ya Crude oil per barrel = $92.56
Bei ya Kusafisha = $12
Bei ya Kusafirisha = $15
Gharama zingine = $10
JUMLA =$129.56
Tutafute bei ya mafuta hayo kwa litre moja
129.56/158.987 = 0.81
Maana yake bei ya mafuta ni $0.81

Naomba niongezee na gharama zingine 20% ya International Tax
Ni sawa na $0.162 kwa kila lita jumla itakuwa
0.972
Kwahiyo bei halisi ya mafuta ni $0.972
Tutafute kwa pesa zetu za kitanzania 2,385.80 Tanzanian Shilling
View attachment 2740732

JE SHIDA NI NINI?
shida kubwa ya kupanda kwa mafuta ni kodi na tozo nyingi tulizoziweka kwenye kila lita.tukiamua kuzitoa maisha yatakuwa murua.ni afadhali tozo ziondolewe kwenye mafuta then tozo hizo zihamie kwenye vocha za ,bia etc
 
Hivi unajua Tipper ilianzishwa kwa kazi gani? Kwa muda mrefu Tanzania walikuwa wanasafisha mafuta yao, mbali na kupata mafuta, gesi, mafuta ya taa pia kulikuwa na product nyingine Kama lami.
Awali la kujiuliza kwanini tuliacha kununua mafuta ghafi na kuanzia kununua mafuta yaliyosafishwa, biashara ya mafuta inanufaisha watu wachache na kuumiza watu wengi mbaya zaidi waliopewa mamlaka wengi ni mabogus.
 
shida kubwa ya kupanda kwa mafuta ni kodi na tozo nyingi tulizoziweka kwenye kila lita.tukiamua kuzitoa maisha yatakuwa murua.ni afadhali tozo ziondolewe kwenye mafuta then tozo hizo zihamie kwenye vocha za ,bia etc
beer iwe bei gani?
 
Back
Top Bottom