barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ikikosea (grammatical errors) kwenye barua za kizungu zinazokwenda kwa umma; utaratibu wakuifuta mitandaoni ni upi?

    Endapo ikatokea serikali imetoa barua na kuirusha mkutanoni lakini ikabainika ina tatizo la kiufundi kwamba mwandishi alikosea lugha ni hatua zipi ufuatwa kuiondoa mtandaoni na kuweka barua iliyo sahihi? Lazima iandikwe barua ya kuifuta? Au ndio zile zinaandikwaga puuzeni ujumbe huu? Je , ni...
  2. Sozo_

    JamiiForums Tanzania Kukosea Kununua LUKU hadi Uandike barua ndio urejeshewe fedha yako?

    Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine. Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

    Ndugu wajumbe, Natumia nafasi hii kama raia mtiifu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuwaandikieni nyinyi ikiwa ni sehemu ya wajibu wangu wa kiraia na wa kikatiba (1) Mosi kulinda amani ya nchi (2) Pili Kutoa maoni ya kuleta usitawi kwa nchi yangu (3) kutumia haki yangu ya kikatiba kutoa...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania An Open Letter to Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania

    Your Excellency, Dr. Samia Suluhu Hassan, the President of the United Republic of Tanzania, Assalam Alaykum. Greetings with utmost respect and honor. I sincerely hope that you and your family are in good health and high spirits. I offer my prayers for your well-being and success as you shoulder...
  5. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu uliyekurupuka kuhusu Bima ya Afya

    Ummy mwalimu. Nianze kwa masikitiko makubwa ya kile kinachoendelea kwenye mahospitali, vituo vya afya na zahanati imma na binafsi. Ummy (MB) na waziri umepewa dhamana lakini hujui msuguano uliosababisha. Wachangiaji na familia zetu typo kwenye mkwamo tusiostahili. Huduma ya afya Kwa kadi za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Barua Ya wazi kwake Waziri wa Uwekezaji Kitila Mkumbo

    Tanzania na Uwekezaji Barua ya wazi kwa Mhe Kitila Mkumbo, Waziri wa Ofisi ya Rais Uwekezaji na Mipango Mhe Kitila, Hongera kwa uteuzi wako kuongoza Wizara hii muhimu. Umepata ubatizo wa moto na sio mafuta kufuatia “ishu” ya uwekezaji kwenye Bandari na Seikali ya Dubai. Nionavyo malumbano...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza sana Polisi wetu kwa utaratibu mpya wa kumuita mtu kwa barua au kupiga simu

    Utaratibu huu wa polisi wa kumuita mtu kwa kumpigia simu au barua afike kituo cha polisi ni utaratibu mzuri sana kwani unalinda staha na heshima ya mtuhumiwa. Na ni utaratibu wa kistaarabu sana. It is a civilized form of summoning the accused person. Katika hili nawapongeza sana polisi. Mambo...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Ali Karume kujibu Mapigo, anasubiri barua ya kuvuliwa Uanachama

    Balozi Ali Karume MwanaCCM anayedaiwa kuvuliwa uanachama, Amesema kwamba , mpaka sasa hata yeye anasikia tu kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwamba amevuliwa uanachama. Na kwamba ikiwa atapewa Barua hiyo basi atafunguka , hawezi kuzungumzia uvumi tu wa mitaani. --- Muda mfupi...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa juu wa serikali wamulikie vitendo vya baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri kukataa kusaini barua zinazofika ofisini kwa utekelezaji

    Tumeshaongea sn hapa juu ya baadhi ya viongozi wa serikali wanaolipwa mshahara wa Watanzania wanyonge kuona km ofisi wanazokalia ni mali Yao. Hili limekuwa likitokea ktk idara mbalimbali za serikali. Unakuta mtu kapewa dhamana kusimamia kundi flani la watu kwa kufuata sheria, utaratibu, na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa maaskofu wa TEC: Baba zetu tuokoeni, nchi yetu inauzwa Uhuru wetu unamong'onyolewa

    Kwenu baba zetu maaskofu. Nawaandikieni nikiwa na hisia nzito iliyojaa huzuni kubwa juu ya mustakbali wangu na Taifa langu na vizazi vijavyo. Baba zetu, siku zote Taifa letu linapokuwa katika mtanzuko mzito, hamjawahi kusita kusimama thabiti na kutoa muelekeo wenye kuponya ili kuwasaidia...
  12. KILIO KIKUU

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi

    MH. RAIS, POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi wa visiwa hivi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hadi sasa sisi wakazi wa visiwa hivi tunaziona...
  13. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Songea amuandikia barua Spika wa Bunge kupinga bandari kuuzwa

    BRAHIM JEREMIAH S.L.P 602 SONGEA 06/06/2023 KATIBU WA BUNGE, OFISI YA BUNGE 10 BARABARA YA MOROGORO S.L.P 941, 40490 TAMBUKARELI DODOMA YAH. KUPINGA AZIMIO LA UBINAFSISHWAJI WA BANDARI KWA KAMPUNI YA DP WORLD Ndugu Husika na Kichwa cha barua hapo Juu, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeguswa na...
  14. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Wakuu wa Wilaya na barua za wapitao mitaani kuomba misaada!

    Maana nimekutana na hawa watu (nawe pia naamini umekutana nao) wanapita mitaani kuomba wasaidiwe matibabu au masuala mbalimbali ya kijamii. Tusiwajadili wale matapeli. Mana leo nmekutana na mhitaji kweli alipata ajali ya gari. Anahitajika kurudiwa upasuaji wa mguu. Ukicheki gharama ni kama laki...
  15. fungi06

    JamiiForums Tanzania Masijala wanakwamisha shughuli za Watu na Serikali

    Wakuu ivi huyu masjal ni nani? Maana sikuizi ofisi za serikali nyingi ukienda kufwatilia maswala ya msingi..unaskia "barua yako haijajibiwa na masijala njoo mwezi ujao au mwakani njoo" Kirahisi rahisi ivyo? Ikumbukwe kua binadamu anaishi vizuri kwa kumtegemea binadamu mwenzake.. Pale...
  16. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

    Kwenu wanasheria. Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili! Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo. Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
  17. Jicholamwewe

    JamiiForums Tanzania Barua ya mwaliko wa kusafiri ughaibuni

    Habali wakuu, Dada yangu wa kufahamiana, yeye anataka kwenda kuishi nje yani USA lakini amekosa visa hapa Bongo. Kwahiyo atakayependa kumsaidia hata ampe mwaliko ili aombe visa. Kuhusu pesa ya nahuri na visa anayo ila mwaliko ndo hana kwahyo naombeni ndugu zangu msaidieni sister huyu aje huko...
  18. yusuphkijuu

    JamiiForums Tanzania Barua ya kuomba nafasi nilipitisha kwa mkurugenzi wangu

    Habari wadau, Naomba kupata elimu kuhusu hili suala langu hapa. Nilipitisha barua yangu kwa mkuu wangu (DG) kwa lengo la kuomba nafasi taasisi X. Je, wakati wa kuomba kibali nalazimika kupitisha tena au naweza kuitumia ili barua niliyoipitisha awali kama kiambatanisho.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yakana kupokea barua ya Mkurugenzi Jatu kukiri Mashtaka

    Upande wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33) umeileza mahakama kuwa bado haujapata barua ya mshtakiwa huyo kuomba kufanya majadiliano na makubaliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kukiri mashtaka yanayomkabili. Gesaya...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini na CAF kwa makosa 3 likiwemo kuwasha fataki uwanjani wakati wa mchezo

    =============== Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno) Mfano 2,000 USD (Two thousand US Dollars) 2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian...
Back
Top Bottom