barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya ndugu wa Wakulima waliokamatwa Kiteto, watoa madai ya kuombwa rushwa ili dhamana ipatikane

    Pia soma = Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi = Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamama mateka wa Kiisrael mateka wa Hamas, aandika barua kuwashukuru Hamas kwa wema wao na asema anatarajia urafiki wao utaendelea

    Katika hali ya kustaajabisha, mateka wanaohojiwa wamekuwa wakiwashukuru Hamas kwa junsi walivyokuwa wakiwatreat vizuri. Hali hii imepelekea mamlaka za Israel kuwapiga biti mateka kuwa wakae kimya kuhusu jambo hilo la sivyo watanyamazishwa. Alianza bibi mmoja mzee wa Kiyahudi akielezea jinsi...
  3. kamili

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    Mheshimiwa nina taarifa mbili kama ifuatavyo: Tarehe 24/10/2023 kati ya saa tatu na saa nne nilipita Moshi na gari binafsi nikitokea Arusha. Safari yangu hiyo ilikuwa ni safari ndefu iliyoanzia Tanga, Dar, Morogoro, Dodoma, Manyara, Arusha na siku hiyo nilipita Moshi katika safari ya Kurudi...
  4. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Kufoji barua ya uteuzi wa kusimamia mirathi ni kosa kisheria na chochote utakachofanya kupitia hizo barua za kufoji ni batili

    Hii ni kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama Kuu kwenye kesi kati ya Juma Sylvester Mfumia dhidi ya Antony Adabu Mmasy, Rufaa ya Ardhi Namba 68 ya mwaka 2022, kesi ilisikikizwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (nitakwambia baadaye kwa nini nimeita uamuzi wa “Mahakama Kuu” wakati ilisikilizwa Mahakama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

    Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark. Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo. Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
  6. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI itusaidie Walimu tuliopandishwa Madaraja Halmashauri ya Moshi tupewe Barua za Uthibitisho

    Naomba kufikisha kero yangu ambayo inanigusa binafsi pamoja na Watumishi wa Kada ya Ualimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi huku Mkoa wa Kilimanjaro. Sisi Walimu ambao tulipandishwa madaraja tangu Mwaka 2021 hadi kufikia leo ninavyoweka malalamiko haya hatujapewa Barua za Uthibitishi wa...
  7. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa afisa elimu(sekondari)- Bunda Mji

    Nakusalimu kwa jina la Jamhuri...Kazi iendelee.Nimekuandikia waraka huu nikitaka kushare nawe mambo kadhaa. Tuanzie kwako,wewe ni kiongozi smart sana katika idara ya elimu sekondari hapa kwenye halmashauri yetu ya Bunda mji.Hujikwezi na umeifanya ofisi kuwa sehemu ya utendaji kazi badala ya...
  8. Mkurugenzi Wa Mashirika

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya: Umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board)

    Mheshimiwa Waziri, Natumai barua hii inakupata ukiwa katika afya njema. Napenda kutumia fursa hii kuelezea umuhimu wa kuanzishwa kwa Bodi ya Wakemia (Chemists Registration Board) nchini Tanzania. Wakemia ni wataalamu muhimu katika sekta ya afya na viwanda, na wana jukumu kubwa la kuhakikisha...
  9. Influenza

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Utumiaji wa ‘BCC’ katika kutuma barua pepe yaweza kuwa sababu ya uvujaji mkubwa wa Taarifa Binafsi

    Ofisi ya Kamishna wa Taarifa huko Uingereza ametahadharisha kuwa Matumizi mabaya ya ‘BCC - Blind Carbon Copy’ katika utumaji wa barua pepe ni miongoni mwa sababu kubwa za Uvujaji wa Taarifa katika Sekta mbalimbali BCC - Blind Carbon Copy (Nakala ya Kaboni isiyoonekana) ni kitufe...
  10. Salahan

    JamiiForums Tanzania Barua ya Palestina kwenda Umoja wa mataifa

    Barua hii nimeitoa Ukurasa rasmi wa ofisini ya Serikali kuu mtandao wa X na nitaiweka kama ilivyo na nitaiweka kwa tafsiri ya kiswahili kwa msaada wa Google Translator. Naomba radhi kwa namna yoyote ya ukoseaji wa tafsiri hiyo ijapo itakuwa msaada kwa Waswahili. Vita vya jumla vimepigiwa...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Jaji Francis Mutungi ailima barua CHADEMA, ataka ijieleze ndani ya siku 5

    Msajili wa Milele wa Vyama vya siasa nchini Tanzania , Francis Mutungi , ameokota taarifa mitandaoni ambako inadaiwa kuna video ya Aibu ya kiongozi wa ccm inasambaa mitandaoni . Sasa Mtukufu Mutungi moja kwa moja kaisingizia Chadema. --- Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekiri...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Barua ya kocha kujiuzuru

  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Hatutapokea barua ya maombi ya uhamisho, watumishi waombe kwa njia ya Mtandao

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema imebainika kuwa wanaopewa fedha siyo Watumishi isipokuwa ni watu wengine wenye nia ovu katika...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma, Tanzania. Kwa heshima kubwa, ninaleta pendekezo langu kuhusu njia mpya ya kushughulikia changamoto ya uhaba wa mafuta na uhaba wa dola nchini. Tatizo hili litaathiri uchumi wetu na maisha ya wananchi wetu kwa muda mrefu, na naamini pendekezo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Barua yangu ya wazi kwa Wana JF wote

    Habari Wana JF ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Ni mimi kijana wenu mpendwa, ninaesomeshwa Kwa Kodi zenu katika moja ya Chuo kikuu hapo Dar es salaam. Ni ukweli usiopingika kuwa, hatima ya taifa lolote lile lipo mikononi mwa walimu. Kwa miaka ya hivi karibuni taaluma ya Ualimu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
  17. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Barua kwa mama

    Mama, sio kila mwanga unaweza kuonesha au kuangaza kile king'aacho katika uso wa Dunia... Japo macho yako yana angaza na kuona hata punje ya mchanga...ILA Kuna viang'aavyo huvioni sababu Kuna Maumbo na kingo zinazo tengeneza vimvuli vinavyo "Over shadow" the brilliant sparkels... Vimvuli...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Jakaya Kikwete: Hoja ya Kuchanganya Dini na Siasa

    1. KIKWETE NI NANI (I)KIONGOZI MAKINI NA MSATIMILIVU Binafsi naamini kati ya viongozi walioacha alama iliyo tukuka mojawapo ni Dkt Jakaya Kikwete pamoja na sifa zake nyingi lakini ni miongoni mwa viongozi walio wahi kuthibitisha kuwa wasahimilivu sana katika kujenga hoja zao pale ambapo...
  19. Chura

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Samia kuhusu hali ilivyo sasa baada ya waraka wa wahashamu

    Mods tafadhari msiunganishe huu uzi/barua wala kuufuta haya ni maonyo ya wazi kwa rais wetu mpendwa SASHA. Niende moja kwa moja kwenye dhima ntawasalimu baadae wakubwa. Kama ilivyo desturi leo mida ya jionii nilienda kupata zangu gahawa na kashata mitaa ya Barakuda, kilichonishtua ni kwamba...
  20. DALLAI LAMA

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, Barabara ya Ngorongoro Crater ni mbovu, Watalii wanapata ajali mara kwa mara

    Rais Samia Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa. Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater. Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea...
Back
Top Bottom