Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 887
- 4,131
Endapo ikatokea serikali imetoa barua na kuirusha mkutanoni lakini ikabainika ina tatizo la kiufundi kwamba mwandishi alikosea lugha ni hatua zipi ufuatwa kuiondoa mtandaoni na kuweka barua iliyo sahihi?
Lazima iandikwe barua ya kuifuta? Au ndio zile zinaandikwaga puuzeni ujumbe huu?
Je , ni sahihi kuandika barua ya jumuia za kimataifa bila kuwa address moja kwa moja( yaani barua kwa umma haitakiwi kuwekewa walengwa)? Diplomatic channel zipoje kwenye hoja kama hizi za grammer or thematic error?
Elimu Elimu Elimu