barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Mpendwa Mwalimu wangu

    Nimeona post imesambaa sana ya barua ya mapenzi iliyoandikwa na mwanafunzi kwenda kwa mwanafunzi mwingine...kwa Zama hizi hili linaonekana la ajabu lkn nyakati zetu halikuwa jambo la ajabu, binafsi nilikuwa bingwa wa kuandika barua za aina hiyo. Namuomba binti aniazime daftari, japo sina haja ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubariki mama yetu. Neno haki halijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mshtakiwa wa kesi ya Mirungi akusudia kuomba majadiliano na DPP ili kumaliza Kesi

    Mshtakiwa Rhoda Salum (48) anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 23.84 za mirungi, anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), akiomba kukiri shtaka lake na kupunguziwa adhabu ili waweze kuimaliza kesi hiyo. Mshtakiwa anakabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za...
  4. Half american

    JamiiForums Tanzania Barua ya Dani Alves baada ya kutengana kwa Joana Sanz

    Barua ya beki, Dani Alves aliyomwandikia aliyekuwa mke wake Joana Sanz imefuchuliwa lakini beki huyo akiendelea kusota jela kufuatia kesi ya ubakaji inayomkabili. Beki huyo wa zamani wa Barcelona, aliandika barua hiyo akiwa jela ya ‘Brian 2’ iliyopo Hispania akishikiliwa kwa mashtaka ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Barua za Utumishi zijibiwe haraka kuepusha malalamiko yasiyo ya lazima

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma kujibu kwa wakati barua za masuala ya kiutumishi ili kuepuka malalamiko yasiyo ya lazima ambayo yamekuwa yakielekezwa katika Ofisi ya...
  6. Kufa c mwiko

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019. Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini...
  7. Kufa c mwiko

    JamiiForums Tanzania Barua maalum kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi

    Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019. Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa samaki bwawa hili limepita kwenye wilaya tatu kwa maana ya mpwapwa, Chamwino na irnga vijijini...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Binti aandika barua kuacha shule, auza sare na madaftari

    Mzee Salum Bakari amesikitishwa na kitendo cha binti yake kuandika barua ya kuacha shule na kuuza sare zake kisha kutoroka nyumbani. Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake amesema kuwa siku ya tukio aliitwa shuleni na Mkuu wa shule ambayo anasoma binti ake kidato cha kwanza. “Kwanza alianza...
  9. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Barua ya ACT Wazalendo kuhusu ruzuku ya CHADEMA ni feki

    Wakuu kumekua na barua inayosambaa ikisemekana inapongeza juhudi za Samia na pia kukosoa Chadema kupokea ruzuku takribani million 800!! Kwenye kutafuta ukweli wa mambo, ACT wenyewe wamekanusha kuwa barua kuhusu Chadema kuchukua ruzuku ni feki. Hata katika kurasa rasmi za chama hakuna hiyo...
  10. FisadiMkuu

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Naibu Waziri, Wizara ya Elimu kuhusu mradi wa HEET

    Barua ya wazi kwa: Naibu Waziri, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Tanzania. Ndugu; YAH: KUKOSA IMANI NA WASIMAMIZI WA MRADI WA HEET (HIGHER EDUCATION FOR ECONOMIC TRANSFORMATION PROJECT) Tafadhali husisha kichwa cha barua hapo juu. Mimi ni mtumishi katika chuo kikuu kimoja hapa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uporwaji wa ardhi unaoendelea katika maeneo Iyumbu, Dodoma

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uporwaji wa ardhi unaoendelea katika maeneo Iyumbu, Dodoma

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mapokezi ya Alhad Musa Salum yazua Taharuki, Waislam Wamwandikia barua Mufti

    Barua ya Wazi Assalaam Alaykum, Sheikh Mkuu, Mufti wetu wa Tanzania, nimeguswa kukuandikia barua hii ya wazi ama kwa kuhoji na kutaka ufafanuzi, ama kwa kushangazwa na nilichokiona. Kama nilivyoshangazwa, nimefuatilia kwa ndugu zetu wengi katika imani, ama kwa hakika, tukio ninalolileta kwako...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Rais Samia Suluhu; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB)

    Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB). Mpendwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ni imani yangu kuwa barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na mwenye nguvu...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mawakili wamkataa Jaji Biswalo, wamuandikia barua Rais Samia

    Waanika tuhuma dhidi yake, wataka zichunguzwe.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wizara ya Uwekezaji, Teknolojia na Ikulu andikeni barua kuwaalika hawa mapema

    Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria. Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea...
  17. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu uandishi wa sasa wa barua za Serikali

    Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko labelled 2. Najiuliza kwanini aya namba 1 haipo? Bahati mbaya kila sehemu inatumika template hii hii...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfano wa barua ya kuvutia ya maombi ya ajira iliyo andikwa na Bright and Genius Editors

    Bright and Genius Editors P.O. Box 3456, Dar es Salaam Phone: 0687746471 Email: bandg.editors@gmail.com 09 February 2025 Commissioner General, Tanzania Revenue...
  19. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Robatinyo

    Jina Robatinyo litamkwe kwa sauti ya Ahmed Ally.
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Picha: Mchungaji Eliona Kimaro Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo. Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
Back
Top Bottom