Tunapoanza mapumziko ya Christmas na Mwaka Mpya tujihadhari na laana

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Kwanza nataka kuongea kidogo kuhusu Putin.

Putin alikuwa na Press Conference jana. Sikuisikiza yote,lakini pale mwanzo alisema Wamarekani hawapendi compromise. Katika kilar kitu wanaleta ubabe tu. Kwa sababu wapiga kura wao wanataka kuiona serikali yao inaleta ubabe. MPAKA JAMBO BAYA LIWAFIKE WALE NDIO HESHIMA ITAREJEA.

Nasema,tunapoanza Sikukuu,tuache laana,tusitende mambo ya laana.

Kwa sababu makosa mengine yakitokea urekebishaji wake ni mgumu sana.

Laana zikitokea katika jamii,wa kulaumiwa ni mapadre( ba masheikh),ndio maana mimi napinga sana kuwafunga gerezani mapadre kwa visingizio vingi.

Watu kama hawana afya,the doctors are to blame.

Kama hakuna yako,the lawyers arem ti blame.

Lakini,what happens ni kwamba madaktari wakiwaona politicians jinsi wanavyoneemeka,basi na wao wanaamua kwamba they will deal only with the emergency cases.

Lawyers nao,wakiona wanasiasa wanakomba hela serkalini,nao wanaamua kwamba they will deal only with the emergency cases.

Wanasiasa nao,wakiona kufuru za wafanyabiashara,nao wanaamua kwamba watakomba hela serikalini.

Kwa hiyo,tujihadhari na mambo ya laana katika kipindi hiki cha mapumziko ili isitokee hali kwamba baada ya sikukuu watu tukashindwa kutazamana machoni.
 
Back
Top Bottom