Ni kwelii kuna kuandika barua kwa mkono au kutype utie kwenye bahasha na hela mshenga apeleke kwa binti usubiri majibu

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Naitaka Nioe Sasa Kuna MTU kaniambia ukitaka kuoa Kuna mlolongo mrefu hadi kuandika barua kwa mkono au kutype then iende kwa binti usubiri majibu.

Binafsi Mimi ni Mtu ambae hua sipendi vitu vya kunisumbua au kusubiri hususani milolongo.

Naweza kubadil mawazo ndani ya Dakika moja

Sasa nauliza ni kwelii kuna haya mambo.
 
Ni kweli huwa wanaweka pesa, ila sisi UWABATA huwa hatuweki kitu chochote zaidi ya makaratasi.

CHAMA CHA WANAUME BAHIRI TANZANIA (UWABATA).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom