Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 576
- 1,625
Ukraine kuanzisha kitovu cha nafaka katika bandari ya Mombasa ili kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika Mashariki, asema Rais Ruto baada ya mazungumzo na Rais Zelensky.
Haya yametokea wakati Ruto akiwa kwenye ziara nchini Marekani, ambapo alimpongeza Rais Zelensky kwa kuendelea kupambana na Urusi na kumwambia kuwa waelewe kuwa Kenya inawaunga mkono, katika mazunguzo hayo Rais Zelensky alimkaribisha Rais Ruto kutembelea Kyive, Ukraine.