juma kipala
Member
- Oct 13, 2014
- 15
- 8
Bandari ya Mombasa imekumbwa na chnamogo kubwa ya msongamano wa meli kiasi cha watumiaji bandari hiyo kuwaandikia wateja wao na kuwapa tahadhari juu ya kuchelewa kupakuliwa kwa mizigo yao kwa zaidi ya siku kumi
Barua ya Januari 18, 2024 kwenda kwa watumiaji wa bandari hiyo inaeleza kuwepo kwa changamoto hiyo.
Hivi karibuni pamekuwa na kampeni kubwa ya kipropaganda za kibiashara zilizoasisiwa na bandari ya Mombasa dhidi ya Bandari ya Dar es salaam kuhusiana na walichokiita msongamano katika bandari ya Dar es salaam na kwamba wateja wameamua kuikimbia bandari hiyo ya DSM na kukimbilia kwao jambo ambalo haliwezi kuthibitika kwa asilimia hata 10
propaganda hizo zilielekea kuwaingia baadhi ya watanzania nikiwemo mimi hadi pale niliposikia ufafanuzi wa kibiashara ya mizigo kutoka kwa wataalam wa bandari kuwa miezi ya kuanzia oktoba hadi januari ni miezi ambayo bandari nyingi Duniani hupata mizigo mingi kutokana na shughuli nyingi hususan sherehe na siku kuu za mwisho na mwanzo wa mwaka
hii ndio kusema kwamba kila unapofika mwisho wa mwaka biashara na wafanyabiashara huagiza zaidi ya kawaida hivyo kusababisha kuwepo na wingi wa meli kulinganisha na mazoea wingi ambao kiukweli ni neema badala ya laana kama wengi walivyotamani itafsirike.