Ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha tano kutoka Isaka mkoani Shinyanga hadi Mkoa wa Mwanza urefu wa kilometa 341 ukijumuisha njia kuu na njia ya kupishana kwenye stesheni unazidi kushika kasi na hadi sasa mradi huo umefikia asilimia 44.25.
Meneja mradi kipande cha tano cha SGR...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema katika bajeti ya mwaka 2024/25 mpango wa Serikali kupitia Wizara yake ni kuendelea kutenga kiasi kikubwa cha fedha katika sekta ya uvuvi ili kuiwezesha kuchangia katika Pato la Taifa kwa Asilimia 10 ifikapo mwaka 2030.
Waziri Ulega amesema...
Zaidi ya wafanyakazi 738 kati 770 sawa na 95% wa kampuni maarufu zaidi duniani ya akili bandia ya OpenAI inayoendesha mfumo wa ChatGPT wamesema watajiondoa kazini na kujiunga na Microsoft endapo bosi wao mkuu aliyeondolewa, Sam Altman asiporudishwa kazini.
Sam Altman ambae pia ni mwanzilishi...
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Tanzania imekua na ongezeko kubwa la watu wanao tumia vyoo bora kutoka asilimia 21 mwaka 2016 hadi asilimia 74.8 mwaka 2022 ambapo ni hatua chanya ya kufikia lengo la 6.2 la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Dunia ya 2030 “Sustainable Development Goals”...
Utasikia wanasifia fisadi aliyeiba mali za umma kuwa mjanja na ametoboa.
Wanadanganywa na maigizo ya wanasiasa ambayo hayawezi kuwasaidia. Eti Makonda nyota imewaka.
Watoto wao wanavuta bangi na madawa ya kulevya na kuwa mashoga kisa tu kuiga maisha ya Usa.
Pumbavu kabisa.
Akizungumza katika mkutano wa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alizozifanya nchini Morocco na Saudi Arabia, Balozi Abdallah Abasi...
Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
Hatua hiyo inataokana na mikakati mbalimbali ikiwemo kufanya mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010, yaliyotekelezwa mwaka 2017, hivyo kuundwa Tume ya Madini.
-
Mikakati hiyo imebainishwa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba alipozungumza na waandishi wa habari...
Kitendo cha mwalimu kukatwa 2% ya mshahara kabla ya makato kwa ajili ya chama 'kisicho na msaada' ni mzigo mkubwa sana kwa mtumishi.
Kumkata mtu zaidi ya laki mbili kwa mwaka, ni kuongeza sonona tu kwa mwalimu huyu wa kijijini ambaye hatokuja kusaidiwa chochote na chama zaidi ya "t-shirt ya mei...
Haki ya Ulinzi wa Kijamii bado haiwezi kufikiwa na Watu wengi Duniani, hasa wale wanaohitaji zaidi wakiwemo Watoto, Wanawake na Wasichana, Wazee, Watu wenye Ulemavu na Masikini
Takwimu za Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa zinasema Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo...
Wandugu, hivi mmepitia bili zenu za maji mwezi huu, hasa wa Arusha. Naona imepanda kwa karibu asilimia 50.
Kuna nini kinaendelea. Ni hitilafu au ndiyo gharama ya maji imeongezeka? Inatisha.
WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - ZAIDI YA ASILIMIA 50 YA WATANZANIA HAWAIFAHAMU KATIBA, ELIMU YA KATIBA KUTOLEWA KWA MIAKA MITATU
"Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kubaini zaidi ya asilimia 50 ya Watanzania hawaifahamu katiba na wengine wanasema hata hawajawahi kuiona hiyo katiba, hatari yake ni...
Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
Imebainishwa kuwa asilimia 94 ya majeruhi wa mifupa na ubongo hupokelewa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) masaa sita baada ya kutokea kwa ajali kinyume na viwango vya kimataifa vinavyotaka majeruhi kufikishwa hospitalini hapo ndani ya saa moja ili kuokoa maisha yao...
Hii ni theory yangu nimeiwaza kichwani, sijajua kama ina efficiency ya walau asilimia 98% ya kutoa accurate results:
Mfano umempenda mdada ambaye unaishi naye mtaa mmoja, college moja, darasa moja n.k mchunguze anapenda kinywaji gani especially soda za take away, mfano mdada anapenda Kunywa...
Siyo kwa ubaya lakini!
Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele!
Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa!
Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga!
Wanaoonekana wamefanikiwa...
Hospitali ya Taifa Muhimbili na Amana zimesema upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa sasa ni asilimia 97.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam Mfamasia wa Hospitali ya Muhimbili, Nelson Faustine amesema, hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba katika taasisi hiyo imeimarika na wameshuhudia...
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba:
1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele.
2. Yanga wamewapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.