Asilimia kubwa ya wasichana wa mwanza hawakumbuki namba zao za simu

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
16,061
35,978
Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake.
Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period?

Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
 
Ukiipata namba shukuru, hayo mengine siyo kazi yako
 
Siyo wasukuma tu huu ni ugonjwa wa wasichana wengi wa siku hizi .
Shida inaanzia kubadili namber na kuwa na line nyingi za simu

Kila baada ya mwezi au siku anamahusiano mapya,Kama sivyo ana mambo mengi hiyo namber anaikumbukeje ?
 
Halafu unajiuliza kwanini junior yeye kila mtihani anazungusha kumbe tatizo lilianzia mbali.
 
Unakutana na msichana mzuri unaomba namba hana ujanja wa kukutajia,ataanza kupekenyua simu yake su ataomba ya kwako akubeep ndio upate nsmba yake.
Sasa mwanke kama huyu atakumbuka kweli tarehe yske ya kuwa kwenye period?

Si ajabu kugawa namba lakini hawakumbuki hizo namba kichwani
Kama anakumbuka kukupa kinyanduliwa wewe mnyandue tuu mkuu mambo ya period achana nayo
 
Back
Top Bottom