Mikopo ya asilimia 10 Kwa vijana vipi mbona kimya

Chance Media

New Member
Jun 19, 2019
2
3
November 2023 Waziri mkuu Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alifungua Wiki ya Huduma ya Fedha Kitaifa, jijini Arusha na kutoa maagizo kwa Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) na Wizara ya Fedha kumaliza mchakato wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 uliokuwa umesitishwa na Serikali. lakini Hadi leo kimya. Mimi kama kijana nahitaji kutumia fursa hiyo kujikwamua kiuchumi, lakini naona kimya naomba nyinyi Jamii Forum mtupazie saiti.
 
Back
Top Bottom