Ni gari jipya kabisa aina ya Toyota V8 Landcruizer mbalo limenunuliwa kwa fedha halali za Chama Cha Mapinduzi ili kurahisisha Utendaji kazi wa kila siku
Katibu Mkuu Dkt Bashiru Ally amehuhudhuria hafla hiyo na kukabidhi gari hilo kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Arudha akiambatana na Mh Humphrey...
Inasemekana kwamba, wamiliki wa hotel ya Ngurdoto, wamewapa chuo cha uhasibu Arusha, siku zisizozidi 90 kuwa wamewahamisha wanafunzi wote walihamishiwa hapo Ngurdoto kutokea Njiro Compus. Tetesi zinasema kuwa sababu kubwa ni uharibifu uliokwishatokea toka wanafunzi hao wahamie hapo Ngurdoto hadi...
Wapendwa wote,
Nafanya utafiti kuhusu microfinance ya dar es salaam na Arusha.
Je, kuna taasisi maarufu inayohusika hasa kilimo?
Nashukuru kwa msaada wenu,
Asante
Makamanda Pipo's power ✌️
Mimi kamanda kindakindaki msemakweli naomba askofu Mwamakula ampe vidonge chairman wetu. Siasa za kitapeli sasa basi. Amekula ruzuku mpaka chama kikakosa nguvu ya kupata wabunge na madiwani,askofu kakaa kimya.
Sasa tunafanyiwa dharau na vidampa 19 ambavyo havina mbele...
Salaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake...
Habari wakuu.
Naomba yeyote mwenye biashara ya kutengeneza sabuni za mche hapa Arusha tuwasiliane anipe ujuzi.
Kama upo Arusha au una contact za mtu aliye Arusha naomba msaada wako.
Natanguliza shukrani.
Watu wamekuwa wakila mboga kwa visingio mbalimbali, wengine wakisingizia hii sio mboga, hii ni mishikaki.
Wengine wanasema hii sio mboga, hii ni supu na wengine wanasema hii sio mboga ni nyama choma.
Sasa katika hiyo mikubwa ni wapi mahiri zaidi kwa ulaji wa mboga?
Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu,
Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi,
Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa,
Sasa...
Nilishangaa kuona Hospitali inayoitwa ya Rufaa haina parking.
Sehemu pekee watu wanayotegemea kupaki ni nje kabisa pembezoni mwa barabara ya East Africa ambapo ni pafinyu labda niseme panatosha robo ya mahitaji.
Kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre kiliwahi kuwa na mchango mkubwa sana katika uchumi wa mkoa wa Arusha na Taifa kwa ujumla.
Kili generate ajira nyingi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja.
Shughuli za kiuchumi zilichangamka kiasi chake.
Baada ya kusimamishwa shughuli...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayehughulikia watu wenye Ulemavu, Mhe.Ummy Ndeliananga akitembeza bakora kwa watu wanaohusika kuwaendesha watu wenye ulemavu kuomba FEDHA barabarani kwa maslahi yao Binafsi kinyume cha Sheria na Haki za Binadamu.
Ni kwa kile alichodai kuwa wanawatoza walemavu...
Mahakama kuu Kanda ya Arusha leo Alhamis Desemba 31 imewapa dhamana wafuasi 19 wa Chadema waliokuwa watuhumiwa kwa makosa ya uhujumu uchumi.
Dhamana hiyo imetolewa na Jaji wa Mahakama hiyo Mohammed Gwae baada ya mahakama ya hakimu Mkazi kushindwa kutoa dhamana kutokana na mahakama hiyo kutokuwa...
MKAZI wa Kijiji cha Mwenge, Kata ya Mtina wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, Neema Athumani (24), anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake kwa kumwekea sumu ya panya kwenye soda.
Taarifa za tukio hilo zinadai kuwa mwanamke huyo alitekeleza mauaji hayo Desemba 24, mwaka huu, baada...
Ukijaribu kuona aina ya uongozi wa Rais Magufuli na hata anavyojinasibu kupitia kwa wapambe wake ni kwamba anaenenda kama Rais wa kwanza Baba wa Taifa Mwl Julius Nyerere.
Miongoni mwa Mambo aliyoanzisha Nyerere ni pamoja na Azimio la Arusha lililotaka watumishi wa umma kutenganisha utumishi wao...
Wana Jf natarajia kusafiri Alhamisi 24/12/ 2020. kwenda arusha nilikuwa naomba kujua nauli zikoje kwa basi na daraja lake!
Ukizingatia nauli za Dar to Arusha naskia huwa zinapanda msomi huu wa sikukuu!
Natanguliza shukran
Kiukweli kurejea kwa usafiri wa gari moshi kanda ya kaskazini imekuwa ni mkombozi mkubwa kwetu hasa nyakati hizi za sikukuu za kufungia mwaka.
Shukrani pekee ziwaendee viongozi wa CCM na hasa komredi Polepole kwa kuhakikisha usafiri wa gari Moshi unarejea.
2020 hakuna mchagga atakula Krismas...
Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali.
Wahanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo...
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu.
Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.